Duh !!!

Inafikirisha.....

Watuletee tu Mwili wa NDungu yetu Mwenzetu Tuzike kwa HESHIMA


Rip Mollel
 
Sasa unakata Mawasiliano na nani wakati Hamas hawana Serikali inayotambulika?

Hiki hiki unachoona wanafanya Hamas ndicho wanafanya Israel Kwa Wapalestina wasio na hatia ,laiti wangekuwa wanafanya Kwa Hawa Hamas hakuna mtu angekuwa na shida.
Hivi mkuu kama kweli mnapewa bikira 72, kwanini Hamas wanajificha hospitalini, kwenye mahandaki. Wakae tu watandikwe wawahi kuzichapa bikira zao
 
Ndio maana nimesema huna unacho kijua bali nenda kwenye mada zakukujoza wanawake maana ndo unazo ziweza huku hapaufai.
Dunia inaongozwa na sheria za kimataifa na sio hadhithi za biblia,unajitia kuijua biblia hali yakuwa unashinda humu unahubiri uzinzi na uchafu?

Hapo unapo ishi akija mtu akakwambia kuwa hapa ni sehemu ya mababu zangu kwa miaka zaidi ya miaka 500 iliyo pita utakubali?
Alafu kila mtu tukisema arudi kwenye eneo la asili yake hii dunia itatawalika kweli?

Kwanza ww mwenyewe una uhakika gani kama hapo unapo ishi na ukoo wako ndo chimbuko la asili yenu?

Punguza usenge haya wanayo yapitia wapalestina siku moja na ww unaweza kuja kuyapitia ww na familia yako maana siasa hazijawahi kutabilika.



Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nina maswali mengi sana..
Why him!?
Kwanini wachukua video!?
Ujumbe gani wanautuma Africa!?
Why why!? So many whys!

Alafu walienda kumchinjia mbali huko!? Why was he pointed!?
Kuna kitu..
Kuna kitu. Sth is not right!
Kumbe walimpiga risasi wakaenda kumchinja tena!!!!!!?
 
Nimesikiliza mpka mwisho na kinachoonekana ameuwawa kwa sababu ya Lugha Gongana na walimistake kwamba yeye katoka somalia

wengine wanasema hapo na wengine wanasema As-hab" yaanu (أصحاب) Maana yake wanasema ni Mole kutoka Kwa waisrael na anaammbiwa ajitete kama ni kweli kipindi bado hajajibu kuhusu Tuhuma ya kuwa Alshaba kutka somalia Kuna mwengine alidakia kusema Kuwa... Mash" (مش), yaani hapana huyu ni As -hab yaani..
Huyu ni mshirika wa Israel ..

So mabishano yalikuwa ni lugha gongana kama angekuwa anajua lugha nahisi asingefariki maana walijua israel wametuma Watu kupelelza

SO SAD ...KWAKWEL
 
Kwa taarifa yako tu, hapo Gaza hapakuwahi kuwa ardhi ya Wapalestina. Ile ilitekwa na Israel kutoka Misri halafu Israel ikawapa Palestine wakae pale
 
Dah imeniuma sana..hiv hakuna wapalestina hapa bongo tukalipe
 
Hiyo wakati Wana mhoji walimpa salam..... "Assalam alaykum " hakuwa anajibu ila alikuwa anajitetea Tu daah hiyo box ina asilimia 20 za kuuwawa na watu hao
Yeah walikuwa wanajaribu kuangalia kama Ni mwarabu au Maana wamemuuliza pia wewe ni mwarabu au unajua kiarabu maskini hajui anachoulizwa mpaka wakaconclude mwishoni kwamba huyo ni mtu kutoka israel As-hab ul Kufur
 

Kwani Raisi wa Joshua anasemaje katika hili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…