Ndio maana nimesema huna unacho kijua bali nenda kwenye mada zakukujoza wanawake maana ndo unazo ziweza huku hapaufai.
Dunia inaongozwa na sheria za kimataifa na sio hadhithi za biblia,unajitia kuijua biblia hali yakuwa unashinda humu unahubiri uzinzi na uchafu?
Hapo unapo ishi akija mtu akakwambia kuwa hapa ni sehemu ya mababu zangu kwa miaka zaidi ya miaka 500 iliyo pita utakubali?
Alafu kila mtu tukisema arudi kwenye eneo la asili yake hii dunia itatawalika kweli?
Kwanza ww mwenyewe una uhakika gani kama hapo unapo ishi na ukoo wako ndo chimbuko la asili yenu?
Punguza usenge haya wanayo yapitia wapalestina siku moja na ww unaweza kuja kuyapitia ww na familia yako maana siasa hazijawahi kutabilika.
Sent from my Infinix X657 using
JamiiForums mobile app
Mjinga Mmoja weee, UISLAM uchwara umekujaa kichwan mamaae .
Unajua Kutawanyika Kwa Israel katika mataifa mbali mbali , hakukuanzia Kwa Adof Hitler ???. Ns kutawanyika huku ndiko kuliwanya wakakimbilia ULAYA , MAREKAN, URUSI , NA AMERIKA YA KUSINI.
Israel walianza kutawanyika Baada ya Utawala wa Rumi miaka mingi ilopita .
Ndipo Waarabu wakaikalia Ardhi hiyo kwakua ilikua yenye Neema.
Uingereza na ukolon wake mwaka ambao ulianza Rasimi miaka ya 1800, uliwakuta tayari warabu wameikalia Ardhi ya Israel.
Baada ya vita kuu ya pili ambayo Hitler alikua mamilion ya wayahudi walikua Ulaya ya Mashariki. ( Wengi wenu msivyojua HISTORIA, mnadhan Hitler alikua anafata wayahudi hapo Isarel ilipo Sasa na kuwapeleka Ujeruman na kuwaua. ).
Ndipo Uiengereza Kwa Msukumo wa Marekan, wanaamua kuwarudisha Waisrael kwenye Ardhi ya kwao kwakua mtesi wao kaangushwa !!.
Ndipo Taifa la Israel Kwa mara ya pili, linasimamishwa Upya.
Yaan wee Hamasi mpuuzi, utoke kwenu, uende sehem, familia imekimbiaa sehem hiyo kutokana na sababu zilizo nje ya Uwezo, wewe ujimilikishe.
Baada ya miaka kupita, hali ni shwari, wanafamilia waamue kurudi kwenye Ardhi Yao, Uanze kuwambia hapa sio kwenu ?? Tumezaliwa hapahapa??.