Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono
Hivi alienda kufanya nini Palestina?
Hakwenda Palestina.

ila alienda Israel masomoni, wakati Hamas walipovamia miji ya Israel 7/10/2023 ndio akakumbwa na hayo maafa kama raia wengine waliokuwa maeneo hayo.
 
Huyo bibi nilishaacha kumfuatilia kitambo sana. Kile kipindi cha Kikwete kila ufisadi utakaoletwa hapa lazima aje atetee. Nikajua huyu itakuwa ni CCM kindakindaki mfia chama. Ilipofika awamu ya Magufuli ghafla kabadilika kaanza kumponda waziwazi kila kwake hakuona jema lolote kwa Magufuli. Awamu hii karudi tena kwa mama. Nimemfutilia sana nikagundua ana udini mkali sana ndani yake.
Huyo bibi ana Udini pro max. Halafu ana uwezo mdogo sana wa kufikiri. Nahisi ana changamoto kubwa kwenye ubongo.
 
Sitaki kwenda kwenye njia ya quotation.Twende na ulilosema
Subhanallah

Wallah

Hakuna uislamu unaokubali kuuuwa na kudhulumu nafsi za watu hakuna

Ile video mwana "hamas" anasema shabab ya mashara shabab[emoji24][emoji24] pia akasema asalam alaykum [emoji24]marehemu hapo anaamua kujitetea kwa kiingereza.... Nais alikuwa anasema "I'm innocent, don't kill me"[emoji24]

Vivyo hivyo kijana ameonekana alivaa boxa ya jeshi so sad [emoji24][emoji24][emoji24] wakamchukulia kama kachero daah

Ndugu zangu tuache udini katika hili

Uislam hauruhusu haya mambo Qattu

Daah nimeumia mno
 
Habari wazalendo wa kitanzania. Video hii nimeipata IG kiukweli nina mixed emotions. Nina hasira na masikitiko makubwa kupita kiasi. Ewe mtanzania mzalendo wa nchi tuweke mbali udini etc ni kitu kilichoniumzia roho mno. Hii video inamuonyesha Joshua Mollel akitekwa na Hamas. All the deniers sijui nawasaidia vipi. Huyu alikuwa ndugu yetu. RIP Joshua. My heart bleeds kwa hii familia

View attachment 2845298
Pole sana na tunasononeshwa sana na hili tukio,Pole nyingi kwa familia ya Joshua na watanzania wote Kwa ujumla. Wakati huohuo tukumbuke mateso wanayoyapata hawa Wapelstina toka mwaka 1948.

Wanakimbizwakimbizwa,kuuwawa na kuteswa katika nchi yao wenyewe. Hawa wanadhulumiwa makusudi tena bila hata kujali kama ni binaadam. Hawa wanajitetea kwa dhuluma wanazofanyiwa miaka nenda miaka rudi.

Palestina hakuna waislam tu hata wakristo wapo nao wanaangukia katika dhuluma hii.Wakati tunaungana na familia ya Joshua kuombolleza basi na tufikirie na madhila makubwa wanayoyapata watoto na wanawake wa kipalestina.
 
Ndio maana nimesema huna unacho kijua bali nenda kwenye mada zakukujoza wanawake maana ndo unazo ziweza huku hapaufai.
Dunia inaongozwa na sheria za kimataifa na sio hadhithi za biblia,unajitia kuijua biblia hali yakuwa unashinda humu unahubiri uzinzi na uchafu?

Hapo unapo ishi akija mtu akakwambia kuwa hapa ni sehemu ya mababu zangu kwa miaka zaidi ya miaka 500 iliyo pita utakubali?
Alafu kila mtu tukisema arudi kwenye eneo la asili yake hii dunia itatawalika kweli?

Kwanza ww mwenyewe una uhakika gani kama hapo unapo ishi na ukoo wako ndo chimbuko la asili yenu?

Punguza usenge haya wanayo yapitia wapalestina siku moja na ww unaweza kuja kuyapitia ww na familia yako maana siasa hazijawahi kutabilika.



Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mjinga Mmoja weee, UISLAM uchwara umekujaa kichwan mamaae .


Unajua Kutawanyika Kwa Israel katika mataifa mbali mbali , hakukuanzia Kwa Adof Hitler ???. Ns kutawanyika huku ndiko kuliwanya wakakimbilia ULAYA , MAREKAN, URUSI , NA AMERIKA YA KUSINI.

Israel walianza kutawanyika Baada ya Utawala wa Rumi miaka mingi ilopita .

Ndipo Waarabu wakaikalia Ardhi hiyo kwakua ilikua yenye Neema.


Uingereza na ukolon wake mwaka ambao ulianza Rasimi miaka ya 1800, uliwakuta tayari warabu wameikalia Ardhi ya Israel.


Baada ya vita kuu ya pili ambayo Hitler alikua mamilion ya wayahudi walikua Ulaya ya Mashariki. ( Wengi wenu msivyojua HISTORIA, mnadhan Hitler alikua anafata wayahudi hapo Isarel ilipo Sasa na kuwapeleka Ujeruman na kuwaua. ).



Ndipo Uiengereza Kwa Msukumo wa Marekan, wanaamua kuwarudisha Waisrael kwenye Ardhi ya kwao kwakua mtesi wao kaangushwa !!.


Ndipo Taifa la Israel Kwa mara ya pili, linasimamishwa Upya.


Yaan wee Hamasi mpuuzi, utoke kwenu, uende sehem, familia imekimbiaa sehem hiyo kutokana na sababu zilizo nje ya Uwezo, wewe ujimilikishe.

Baada ya miaka kupita, hali ni shwari, wanafamilia waamue kurudi kwenye Ardhi Yao, Uanze kuwambia hapa sio kwenu ?? Tumezaliwa hapahapa??.
 
Waislamu sio magaidi
Ila magaidi wote ni waislamu
Kwa hiyo kuna uhusiano kati ya dini hiyo na ugaidi!! Dini inaanza kwanza halafu ugaidi unafuata!! Maana yake pasipo dini hiyo ugaidi usingekuwepo!! Mchakato kuelekea kwenye ugaidi unapitia kwenye dini hiyo!! Ni kweli kuwa si wote wa dini hioyo ni magaidi lakini hata wasio magaidi, kwa mbaaaaaali wanaungana na kukubaliana na matendo ya ugaidi!! Ushahidi ni comments tunazoona hapa!! Hawa siyo magaidi ila ni waislamu wanaounga mkono magaidi!! Ngoja ajuza wa jf atinge hapa!!
 
Unadhani ni inawezekana kuwafuta Hamas hapo Gaza ?....

Operesheni chakaza HAMAS itafanikiwa kwa kuwa jumuiya ya kimataifa ikiwemo nchi za kiarabu na pia wapalestina wenyewe wanasubiri imalizike ili suluhisho la kudumu la nchi mbili katika taifa moja kupatikana na amani ya kudumu endelevu kupatikana Mashariki ya Kati .
 
Na nyie kina FaizaFoxy mje kuelimika huku

huwa mnadanganywa kirahisi sana na hawa magaidi wanaotumia dini iwe mwamvuli wa kutenda maovu, mtanzania mwenzetu kapigwa risasi lakini wakaona haitoshi wakaongezea tisa za ziada.
Kibibi kinashabikia vita halafu kiko hapo CA nchi ya kinaowaita makafikiri .

Vita yake anapigania kwenye kochi akicheza na wajukuu.

Kibibi hata mshale tu hakiwezi kurusha kinashangilia mauaji .

Kiukweli hizi dini ni utapeli mtupu Kiranga anasemwa sana ila ajabu hao atheist unakuta ndio watu wenye utu ila sio huu utapeli wa kuchagua upande kiushabiki.

Sipendi vita na inaumiza kuona mauaji ya nchi zote mbili.
 
Allahu akbar uislam dini ya haki na amani ivoooh, Islam maana yake amani.
Jihadist!
Salaam ni amani. Islam is the complete submission to the will of Allah and believing that Prophet Muhammad (pbuh) is the last Prophet. Usianze kuredefine Islam
 
Kuna watu wapumbavu kweli...
Yaani unatetea kuuliwa kinyama kwa ndugu yako...
 
Duuuh afu Kuna vibwengo humu wanasema ........
Hivi kweli mungu yupi hurusu mauaji hivi ?
 
Hapana
Huyu bwana mdogo ni dhahiri kilichochangia kuuwawa ni ngozi yake tu na sio kingine.......
Hapana tuseme ukweli, na hiking ndiyo tumekuwa tukisema kila siku kuwa Hamas wametangulizwa MBELE tu lakini Agenda kubwa ni Maagizo ya Quran. Quran inasema kwa Muislam yeyote maadui wao ni Mayahudi na Wakiristo. Hivyo kilicho Fanya wamuue ni Jina lake la Kikiristo. Someni Jamani Hamas Charter ya 1988.
1. Utangulizi
2. Article 7
3. Articles 11&13
 
Back
Top Bottom