Hakwenda Palestina.Hivi alienda kufanya nini Palestina?
Huyo bibi ana Udini pro max. Halafu ana uwezo mdogo sana wa kufikiri. Nahisi ana changamoto kubwa kwenye ubongo.Huyo bibi nilishaacha kumfuatilia kitambo sana. Kile kipindi cha Kikwete kila ufisadi utakaoletwa hapa lazima aje atetee. Nikajua huyu itakuwa ni CCM kindakindaki mfia chama. Ilipofika awamu ya Magufuli ghafla kabadilika kaanza kumponda waziwazi kila kwake hakuona jema lolote kwa Magufuli. Awamu hii karudi tena kwa mama. Nimemfutilia sana nikagundua ana udini mkali sana ndani yake.
Inasikitisha kwa kweli. Mungu awasaidie. Hali ni mbaya kwa wenzetu.Ukisikia shetani ndio huyu, amefanikiwa kupeleka kuzimu mabilion ya watu, yaan huyu ndio pepo lililoishi live na watu
Subhanallah
Wallah
Hakuna uislamu unaokubali kuuuwa na kudhulumu nafsi za watu hakuna
Ile video mwana "hamas" anasema shabab ya mashara shabab[emoji24][emoji24] pia akasema asalam alaykum [emoji24]marehemu hapo anaamua kujitetea kwa kiingereza.... Nais alikuwa anasema "I'm innocent, don't kill me"[emoji24]
Vivyo hivyo kijana ameonekana alivaa boxa ya jeshi so sad [emoji24][emoji24][emoji24] wakamchukulia kama kachero daah
Ndugu zangu tuache udini katika hili
Uislam hauruhusu haya mambo Qattu
Daah nimeumia mno
Pole sana na tunasononeshwa sana na hili tukio,Pole nyingi kwa familia ya Joshua na watanzania wote Kwa ujumla. Wakati huohuo tukumbuke mateso wanayoyapata hawa Wapelstina toka mwaka 1948.Habari wazalendo wa kitanzania. Video hii nimeipata IG kiukweli nina mixed emotions. Nina hasira na masikitiko makubwa kupita kiasi. Ewe mtanzania mzalendo wa nchi tuweke mbali udini etc ni kitu kilichoniumzia roho mno. Hii video inamuonyesha Joshua Mollel akitekwa na Hamas. All the deniers sijui nawasaidia vipi. Huyu alikuwa ndugu yetu. RIP Joshua. My heart bleeds kwa hii familia
View attachment 2845298
Mjinga Mmoja weee, UISLAM uchwara umekujaa kichwan mamaae .Ndio maana nimesema huna unacho kijua bali nenda kwenye mada zakukujoza wanawake maana ndo unazo ziweza huku hapaufai.
Dunia inaongozwa na sheria za kimataifa na sio hadhithi za biblia,unajitia kuijua biblia hali yakuwa unashinda humu unahubiri uzinzi na uchafu?
Hapo unapo ishi akija mtu akakwambia kuwa hapa ni sehemu ya mababu zangu kwa miaka zaidi ya miaka 500 iliyo pita utakubali?
Alafu kila mtu tukisema arudi kwenye eneo la asili yake hii dunia itatawalika kweli?
Kwanza ww mwenyewe una uhakika gani kama hapo unapo ishi na ukoo wako ndo chimbuko la asili yenu?
Punguza usenge haya wanayo yapitia wapalestina siku moja na ww unaweza kuja kuyapitia ww na familia yako maana siasa hazijawahi kutabilika.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo kuna uhusiano kati ya dini hiyo na ugaidi!! Dini inaanza kwanza halafu ugaidi unafuata!! Maana yake pasipo dini hiyo ugaidi usingekuwepo!! Mchakato kuelekea kwenye ugaidi unapitia kwenye dini hiyo!! Ni kweli kuwa si wote wa dini hioyo ni magaidi lakini hata wasio magaidi, kwa mbaaaaaali wanaungana na kukubaliana na matendo ya ugaidi!! Ushahidi ni comments tunazoona hapa!! Hawa siyo magaidi ila ni waislamu wanaounga mkono magaidi!! Ngoja ajuza wa jf atinge hapa!!Waislamu sio magaidi
Ila magaidi wote ni waislamu
Unadhani ni inawezekana kuwafuta Hamas hapo Gaza ?....
Kibibi kinashabikia vita halafu kiko hapo CA nchi ya kinaowaita makafikiri .Na nyie kina FaizaFoxy mje kuelimika huku
huwa mnadanganywa kirahisi sana na hawa magaidi wanaotumia dini iwe mwamvuli wa kutenda maovu, mtanzania mwenzetu kapigwa risasi lakini wakaona haitoshi wakaongezea tisa za ziada.
Kubishana na mvaa kobazi ni kujidhalilisha tuUna hasira sana ,ilikupunguza hasira chukua gunzi ujichomekee huko nyuma ulizungushe zungushe hasira zita kupungua maana najua ni nyenge zinakusbua.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Salaam ni amani. Islam is the complete submission to the will of Allah and believing that Prophet Muhammad (pbuh) is the last Prophet. Usianze kuredefine IslamAllahu akbar uislam dini ya haki na amani ivoooh, Islam maana yake amani.
Jihadist!
Hapana tuseme ukweli, na hiking ndiyo tumekuwa tukisema kila siku kuwa Hamas wametangulizwa MBELE tu lakini Agenda kubwa ni Maagizo ya Quran. Quran inasema kwa Muislam yeyote maadui wao ni Mayahudi na Wakiristo. Hivyo kilicho Fanya wamuue ni Jina lake la Kikiristo. Someni Jamani Hamas Charter ya 1988.Huyu bwana mdogo ni dhahiri kilichochangia kuuwawa ni ngozi yake tu na sio kingine.......