Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
Nahisi labda kuna jini maalum au pepo Maalum lipo kwenye kichwa chake ambalo hilo jini linasafisha ubongo wake unakuwa tupuKichwani anaonekana hana kitu kabisa, huenda pengine elimu yake ni ya madrassa tu basi.
Dini hawaijui hao..njaa inawasumbuamkuu hao kina faiza foxy ni wafia dini mbumbumbu.
YEah uwezekano ulikuwepo lakini Pia hata hivyo hakukuwa na ulazma wa kuua piaHakika naona angarau mkuu wewe umeona na umeelewa imekuwa vipi hapo jamaa angekuwa anajua lugha kulikuwa na uwezekano mkubwa wa kuachiwa
Jina la Dini yake Mtanzania mwenzetu wewe ujue hilo. Hao wenzenu Hamas ndiyo wanatekeleza maelekezo ya Quran yenu ipasavyo. Siku ikifika hata wewe, tunahisi utatufanyia hayo hayo sisi Watanzania wenzako tulio wakiristoMimi ni muunga mkono wapalestina ila niseme ukweli kutoka moyoni, hii video ya mauaji ya huyu kijana imeniuma. Kauawa kikatili sana na hakuwa na bunduki wala nini maskini.
Halafu sidhani hata kama alikuwa anaelewa wanasema nini. Bora hata angekuwa Muisraeli, sasa mwafrika wana kisasi naye kipi hadi wamtendee hivyo?
Wewe ni mpumbavu.Wewe hiyo hapo ni Ghaza au Israel au wapi?
Msituletee video clips za uongo halafu mseme za Molel kutafuta huruma na shutuma za kijinga.
Yeah ni kweli kabisa maana wamejaribu vyote inaonekana chuki kubwa iko kwa wakristo na Wayahudi na sio Ardhi..Mie ndo maana nimeshika surah AL Fatiha incase it comes to the worse. Naijua shahada just incase ili nifanye Taqqiya yakinipata ya kunipata subhanallah
Kuna vitu vya kutetea lakini sio uislam kuna video za isis na boko haram na alqaida nikikutumia huwezi kulala usiku maana utakua unajiuliza hii dini baba yake na shetani ndo kaianzisha au huyo shetani hua anakuja kujifunza roho mbaya kwa wafasi wa Allah.Hivi mtu anakata kichwa cha mtu anakitundika juu ya chuma ama mti huku akisema allah akbar allah akba[emoji24][emoji24].Acha sasa hiyo wanawapanga watu wanawatandika risasi km wanapiga mti...hapana hawa watu hapan ni zaidi ya mashetani.Subhanallah
Wallah
Hakuna uislamu unaokubali kuuuwa na kudhulumu nafsi za watu hakuna
Ile video mwana "hamas" anasema shabab ya mashara shabab[emoji24][emoji24] pia akasema asalam alaykum [emoji24]marehemu hapo anaamua kujitetea kwa kiingereza.... Nais alikuwa anasema "I'm innocent, don't kill me"[emoji24]
Vivyo hivyo kijana ameonekana alivaa boxa ya jeshi so sad [emoji24][emoji24][emoji24] wakamchukulia kama kachero daah
Ndugu zangu tuache udini katika hili
Uislam hauruhusu haya mambo Qattu
Daah nimeumia mno
Yeah ni kweli kbisa na inasikitisha sana watu kama kina Faiza wanafurahia kwakuwa tu ni mweusi mtu kuitwa Ashab ul kufarTo radical islamists we are all kufar Ashab ul Kufar. They literally killed Muslim Arab Bedouins
Mimi sio Mwislam kwanza nikitaarifu hilo.Jina la Dini yake Mtanzania mwenzetu wewe ujue hilo. Hao wenzenu Hamas ndiyo wanatekeleza maelekezo ya Quran yenu ipasavyo. Siku ikifika hata wewe, tunahisi utatufanyia hayo hayo sisi Watanzania wenzako tulio wakiristo
Kaaba na amani mama staki kuanzisha chochoteKumbe ulikuwa unatakaje?
Sawa mkuu haina shakaKaaba na amani mama staki kuanzisha chochote
Kuna mtu anaemchukia mkristo zaidi ya myahudi?Yeah ni kweli kabisa maana wamejaribu vyote inaonekana chuki kubwa iko kwa wakristo na Wayahudi na sio Ardhi..
Vita sio ya Kimipaka ni ya Kidini
Wewe Gaidi hii video tulifikiri ndiyo ingekufumbua macho kwanini waisrael wakawa na hasira kiasi hicho!! Hebu fikiri mtu ambaye si Myahudi, magaidi hawa wa Kiislam wakamfanyia hivyo; sababu tu ana Jina la Kikiristo. Sasa jaribu kufikiri ukatili waliowafanyia wayahudi!! Ndiyo maana unaambiwa kuna ushahidi kuwa waliwachoma moto na pia kuwa rape wanawakeKama mauaji ni mabaya kwann ww unashabikia mauaji ya wapalestina?
Mm nikategemea utafurahi kama unavyo furahia mauaji wa watu wengine.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hukuzaliwa na mwanadamu wewe bila ShakaKama mauaji ni mabaya kwann ww unashabikia mauaji ya wapalestina?
Mm nikategemea utafurahi kama unavyo furahia mauaji wa watu wengine.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app