Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono
Mimi ni muunga mkono wapalestina ila niseme ukweli kutoka moyoni, hii video ya mauaji ya huyu kijana imeniuma. Kauawa kikatili sana na hakuwa na bunduki wala nini maskini.
Halafu sidhani hata kama alikuwa anaelewa wanasema nini. Bora hata angekuwa Muisraeli, sasa mwafrika wana kisasi naye kipi hadi wamtendee hivyo?
Jina la Dini yake Mtanzania mwenzetu wewe ujue hilo. Hao wenzenu Hamas ndiyo wanatekeleza maelekezo ya Quran yenu ipasavyo. Siku ikifika hata wewe, tunahisi utatufanyia hayo hayo sisi Watanzania wenzako tulio wakiristo
 
Subhanallah

Wallah

Hakuna uislamu unaokubali kuuuwa na kudhulumu nafsi za watu hakuna

Ile video mwana "hamas" anasema shabab ya mashara shabab[emoji24][emoji24] pia akasema asalam alaykum [emoji24]marehemu hapo anaamua kujitetea kwa kiingereza.... Nais alikuwa anasema "I'm innocent, don't kill me"[emoji24]

Vivyo hivyo kijana ameonekana alivaa boxa ya jeshi so sad [emoji24][emoji24][emoji24] wakamchukulia kama kachero daah

Ndugu zangu tuache udini katika hili

Uislam hauruhusu haya mambo Qattu

Daah nimeumia mno
Kuna vitu vya kutetea lakini sio uislam kuna video za isis na boko haram na alqaida nikikutumia huwezi kulala usiku maana utakua unajiuliza hii dini baba yake na shetani ndo kaianzisha au huyo shetani hua anakuja kujifunza roho mbaya kwa wafasi wa Allah.Hivi mtu anakata kichwa cha mtu anakitundika juu ya chuma ama mti huku akisema allah akbar allah akba[emoji24][emoji24].Acha sasa hiyo wanawapanga watu wanawatandika risasi km wanapiga mti...hapana hawa watu hapan ni zaidi ya mashetani.
 
Jina la Dini yake Mtanzania mwenzetu wewe ujue hilo. Hao wenzenu Hamas ndiyo wanatekeleza maelekezo ya Quran yenu ipasavyo. Siku ikifika hata wewe, tunahisi utatufanyia hayo hayo sisi Watanzania wenzako tulio wakiristo
Mimi sio Mwislam kwanza nikitaarifu hilo.
Pili, mimi mgogoro wa Israel na Palestina siutazami kwa angle au ushabiki wa kidini na ndio maana nawaunga uhuru wa Palestina.
Ila kitendo cha kumuua huyo kijana pasipo sababu kimeniuma maana yeye wala hawakuwa na kisasi naye na wala si Muisrael.
Si kila anayeunga mkono Palestina ni mwislamu hata tundu lissu si mwislam
 
Hii video imerecordiwa na naani/wakina nani....kwa lengo gani.

Huyu kijana alitekwa wapi akiwa anafanya nini...?

Anyway vitavita murwa....haichagui wapi pa kupiga na nani....kama vitoto vidogo vinauwawa sembuse huyu kijana
 
Kama mauaji ni mabaya kwann ww unashabikia mauaji ya wapalestina?

Mm nikategemea utafurahi kama unavyo furahia mauaji wa watu wengine.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wewe Gaidi hii video tulifikiri ndiyo ingekufumbua macho kwanini waisrael wakawa na hasira kiasi hicho!! Hebu fikiri mtu ambaye si Myahudi, magaidi hawa wa Kiislam wakamfanyia hivyo; sababu tu ana Jina la Kikiristo. Sasa jaribu kufikiri ukatili waliowafanyia wayahudi!! Ndiyo maana unaambiwa kuna ushahidi kuwa waliwachoma moto na pia kuwa rape wanawake
 
Haya mambo ya kujitoa muhanga na kuuwa watu kisa JIHADI feki acha wayafanye huku Africa maporini ambako viongozi hawama uchungu na raia wao. Ila usijaribu kwa nchi zinazojali raia wake kama Israel utaumia. Jamaa wanapeleka moto kila siku pale Gaza. Akina Shabani kila siku wanasikilza BBC swahili jioni wanaona moto unaendelea walifikiri Israel ni Msumbiji ile uchinje raia wake wakuangalie tu.
 
Back
Top Bottom