mtechnical
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 238
- 570
Kwani kumewahi kuwa na Taifa la Palestina?Unaongea ujinga mtupu. Israeli haikuwepo kabla 1948 . Palestina ina haki ya kupigania uhuru wa taifa lake.
Sasa huyu na mwingine wamekamatwa kweny ardhi gani ? Unaweza kufuatulia alikuwa anaulizwa na yeye kajibu nn?
Aliulizwe yeye ni muarabu akibu ndio ni muarabu!
Kwa wapalestina waarabu wamuue mwarabu mwenzao😳
adriz incharge Malaria 2 Bwana Utam FaizaFoxy mtaficha wapi nyuso zenu. Hamuoni hata aibu kuwatetea hawa watu. Ndo maana mimi sihuzuniki mitoto yao na wanawake wakiuwawa. brazaj kaka yangu angalia tu huu unyama. Ritz kaka yangu angalia ndugu yetu alivyouwawa kikakarili. green rajab Accumen Moonyo: video ina maudhui ya mauaji, angalia kwa tahadhari.
Lengo ni kuelimisha jamii kwamba ugaidi upo, Mtanzania mwenzetu hakuwa na silaha yoyote wala sidhani kama alikuwa anaelewa wanasema nini lakini wakamuua, hata hivyo hawakuridhika wakampiga risasi tisa za ziada.
View attachment 2845344
Feki yenye Mtu halisia mtanzania aliyefariki sasa ufake wake uko wapi hapo..Kuna mtu anaemchukia mkristo zaidi ya myahudi?
Hiyo picha ni wapi? Feki hiyo.
Vyovyote iwavyo unaona ni sawa walichomfanyia mwananchi mwenzako wa taifa moja? Haki nyinyi watanzania ni wapumbavu. Najivunia baba yangu ni mtutsi. Aisee mimi scenario hiyo siwezi kuwa na mahaba ya dini.Waulize hilo swali eti halafu ni oktoba 7 ambapo vita imepamba moto ,hata ukisema alikuwa israel mashambani jiulize hao Hamas wana ubavu wa kuwafuata israel kweny ardhi yao🤣🤣.
Sisi tunazungumzia huyu kijana alikosa nini mpaka akafanyiwa mauwaji ya kikatili hivyo? Mmejawa na ushetani tu mkiongozwa ALLAH yule SHETANI MWENYEWEWatu weusi wanauwa na polisi karibia kila siku nchini Marekani vipi mlisha sitisha mahusiano?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wewe umeongea ukweli.Nimesikiliza mpka mwisho na kinachoonekana ameuwawa kwa sababu ya Lugha Gongana na walimistake kwamba yeye katoka somalia
wengine wanasema hapo na wengine wanasema As-hab" yaanu (أصحاب) Maana yake wanasema ni Mole kutoka Kwa waislael na anaammbiwa ajitete kama ni kweli kipindi bado hajajibu kuhusu Tuhuma ya kuwa Alshaba kutka somalia Kuna mwengine alidakia kusema Kuwa... Mash" (مش), yaani hapana huyu ni As -hab yaani..
Huyu ni mshirika wa Israel ..
So mabishano yalikuwa ni lugha gongana kama angekuwa anajua lugha nahisi asingefariki maana walijua israel wametuma Watu kupelelza
SO SAD ...KWAKWEL
Allah ndo she gani mwenyewe! Uko sawa kabisa!Yaan yule shetani aliyetupwa kutoka mbinguni ndio huyo allah
Nimeumia sana baada ya kuona hii video na niwe mkweli nilikuwa sina upande ila kwa video hii naunga mkono ISRAEL.onyo: video ina maudhui ya mauaji, angalia kwa tahadhari.
Lengo ni kuelimisha jamii kwamba ugaidi upo, Mtanzania mwenzetu hakuwa na silaha yoyote wala sidhani kama alikuwa anaelewa wanasema nini lakini wakamuua, hata hivyo hawakuridhika wakampiga risasi tisa za ziada.
View attachment 2845344
Bora Allah sio Mungu angekua ndo Mungu nisingemwamini hata huyo Mungu.Uzuri shahada inakataa hakuna Mungu apasae kuabudiwa ila AllahKuna mtu anaemchukia mkristo zaidi ya myahudi?
Hiyo picha ni wapi? Feki hiyo.
Kuna raia wengine wameuliwa kwa mtindo huo na Waisrael...Inaumiza sana...
Natamani Palestine ya Gaza ifutwe yote kwenye ramani ya dunia ... yaani kizazi chote kiwe ni Israel by force... maana kupitia wao wakibakishwa... yata zaliwa magaidi mengine.. Palestina ibaki ile ya West bank..
GOD BLESS ISRAEL
Huu ni uongo wa wazi kabisa. Taifa la Israel lilianzishwa mwaka 1948 chini ya Umoja wa mataifa.Kwa taarifa yako tu, hapo Gaza hapakuwahi kuwa ardhi ya Wapalestina. Ile ilitekwa na Israel kutoka Misri halafu Israel ikawapa Palestine wakae pale
Ndio muelewe Israel anapigana na majini ya namna gani, mwanzoni watu walizua kuwa huyu aliuawa na majeshi ya IsraelMimi ni muunga mkono wapalestina ila niseme ukweli kutoka moyoni, hii video ya mauaji ya huyu kijana imeniuma. Kauawa kikatili sana na hakuwa na bunduki wala nini maskini.
Halafu sidhani hata kama alikuwa anaelewa wanasema nini. Bora hata angekuwa Muisraeli, sasa mwafrika wana kisasi naye kipi hadi wamtendee hivyo?
Hivi Hawa Hamas wanafanya haya kumkomoa nani? Huyo mtu ni Muizrael? Inasikitisha sana.
Basi angejibu awaaa wakubarNgozi sio tatizo bali kutojua kiarabu ndio shida,angapitia madrasa akawajibu hata neno moja tu angepona
Wamemuita al shabab.....Ngozi sio tatizo bali kutojua kiarabu ndio shida,angapitia madrasa akawajibu hata neno moja tu angepona
Mkuu wee mnafiki. I HATE YOUVita haina macho .Pole sana joshuaa
Hamas ni Mashetani hasa.
Wanafutwa mkuu,leo labda siku yao ya mwisho either mwaka hauishi huu watu wapo kazini.Inaumiza sana...
Natamani Palestine ya Gaza ifutwe yote kwenye ramani ya dunia ... yaani kizazi chote kiwe ni Israel by force... maana kupitia wao wakibakishwa... yata zaliwa magaidi mengine.. Palestina ibaki ile ya West bank..
GOD BLESS ISRAEL