Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono
Sasa huyu na mwingine wamekamatwa kweny ardhi gani ? Unaweza kufuatulia alikuwa anaulizwa na yeye kajibu nn?

Aliulizwe yeye ni muarabu akibu ndio ni muarabu!

Kwa wapalestina waarabu wamuue mwarabu mwenzao😳

Mimi sijajua kaulizwa maswali gani hapo au kaelezwa mambo gani hapo, isipokuwa tulichoona ni huyo dogo kutokuwa na cha kuzungumza wala kujitetea kwa maneno...

Ninachoamini, kama angelikuwa ni muislamu pengine angeweza okoka kwa kurecite baadhi ya dua za quran kwa kiarabu...(pengine)
 
onyo: video ina maudhui ya mauaji, angalia kwa tahadhari.

Lengo ni kuelimisha jamii kwamba ugaidi upo, Mtanzania mwenzetu hakuwa na silaha yoyote wala sidhani kama alikuwa anaelewa wanasema nini lakini wakamuua, hata hivyo hawakuridhika wakampiga risasi tisa za ziada.


View attachment 2845344
adriz incharge Malaria 2 Bwana Utam FaizaFoxy mtaficha wapi nyuso zenu. Hamuoni hata aibu kuwatetea hawa watu. Ndo maana mimi sihuzuniki mitoto yao na wanawake wakiuwawa. brazaj kaka yangu angalia tu huu unyama. Ritz kaka yangu angalia ndugu yetu alivyouwawa kikakarili. green rajab Accumen Mo

Chaliifrancisco angalia ndugu yetu alivyokatishwa maisha kikatili.
 
Waulize hilo swali eti halafu ni oktoba 7 ambapo vita imepamba moto ,hata ukisema alikuwa israel mashambani jiulize hao Hamas wana ubavu wa kuwafuata israel kweny ardhi yao🤣🤣.
Vyovyote iwavyo unaona ni sawa walichomfanyia mwananchi mwenzako wa taifa moja? Haki nyinyi watanzania ni wapumbavu. Najivunia baba yangu ni mtutsi. Aisee mimi scenario hiyo siwezi kuwa na mahaba ya dini.
Nimeamini dini ni opium.
https://jamii.app/JFUserGuide you all mnaona ni sawa alichofanyiwa huyu mtanzania mwenzetu.
 
Watu weusi wanauwa na polisi karibia kila siku nchini Marekani vipi mlisha sitisha mahusiano?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sisi tunazungumzia huyu kijana alikosa nini mpaka akafanyiwa mauwaji ya kikatili hivyo? Mmejawa na ushetani tu mkiongozwa ALLAH yule SHETANI MWENYEWE
 
Nimesikiliza mpka mwisho na kinachoonekana ameuwawa kwa sababu ya Lugha Gongana na walimistake kwamba yeye katoka somalia

wengine wanasema hapo na wengine wanasema As-hab" yaanu (أصحاب) Maana yake wanasema ni Mole kutoka Kwa waislael na anaammbiwa ajitete kama ni kweli kipindi bado hajajibu kuhusu Tuhuma ya kuwa Alshaba kutka somalia Kuna mwengine alidakia kusema Kuwa... Mash" (مش), yaani hapana huyu ni As -hab yaani..
Huyu ni mshirika wa Israel ..

So mabishano yalikuwa ni lugha gongana kama angekuwa anajua lugha nahisi asingefariki maana walijua israel wametuma Watu kupelelza

SO SAD ...KWAKWEL
Wewe umeongea ukweli.
 
onyo: video ina maudhui ya mauaji, angalia kwa tahadhari.

Lengo ni kuelimisha jamii kwamba ugaidi upo, Mtanzania mwenzetu hakuwa na silaha yoyote wala sidhani kama alikuwa anaelewa wanasema nini lakini wakamuua, hata hivyo hawakuridhika wakampiga risasi tisa za ziada.


View attachment 2845344
Nimeumia sana baada ya kuona hii video na niwe mkweli nilikuwa sina upande ila kwa video hii naunga mkono ISRAEL.
 
Inaumiza sana...
Natamani Palestine ya Gaza ifutwe yote kwenye ramani ya dunia ... yaani kizazi chote kiwe ni Israel by force... maana kupitia wao wakibakishwa... yata zaliwa magaidi mengine.. Palestina ibaki ile ya West bank..

GOD BLESS ISRAEL
Kuna raia wengine wameuliwa kwa mtindo huo na Waisrael...
Pande zote zina shida..
 
Mimi ni muunga mkono wapalestina ila niseme ukweli kutoka moyoni, hii video ya mauaji ya huyu kijana imeniuma. Kauawa kikatili sana na hakuwa na bunduki wala nini maskini.
Halafu sidhani hata kama alikuwa anaelewa wanasema nini. Bora hata angekuwa Muisraeli, sasa mwafrika wana kisasi naye kipi hadi wamtendee hivyo?
Ndio muelewe Israel anapigana na majini ya namna gani, mwanzoni watu walizua kuwa huyu aliuawa na majeshi ya Israel

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Inaumiza sana...
Natamani Palestine ya Gaza ifutwe yote kwenye ramani ya dunia ... yaani kizazi chote kiwe ni Israel by force... maana kupitia wao wakibakishwa... yata zaliwa magaidi mengine.. Palestina ibaki ile ya West bank..

GOD BLESS ISRAEL
Wanafutwa mkuu,leo labda siku yao ya mwisho either mwaka hauishi huu watu wapo kazini.
 
Back
Top Bottom