Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono
Hapa unasema vita haina macho kwa Mtanzania aliyeuawa, ila unataka iwe na macho Israeli anaposhambulia gaza.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Am always stand for humanity mkuu. Popote pale natambua vita haina macho ndio maana hata wasiohusika wanapoteza uhai. Tuombe Haki kwa wapalestina wapate uhuru wao ili tusishuhudie mauaji ya watu wasiyo na hatia.
 
Wamemuus,basi. Labda ungefurahi zaidi wangekwenda kumtafuna.
Kuna vita kule,watu wanakufa.
Wagaza pia wamekufa wengi.
Lakini wewe hutaki Mtanzania afe.
And besides,hiyo ndio inakupa kisingizio cha kwenda kupata ajira kama walivyofanya Kenya na Malawi
 
Alienda maosomoni kujifunza kilimo, hiyo siku alitekwa ndio siku Hamas walivamia kwa kushitukiza na kuua raia wengi na kuteka wengine, hakukuwa na vita kabla.
Hamas waliteka watu wakiwa wapi? Mbona inasemekana kweny Tamasha !
 
Serikali ipo kimyaaaa, na ishaanza kampeni
 
Back
Top Bottom