Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono
Habari wazalendo wa kitanzania. Video hii nimeipata IG kiukweli nina mixed emotions. Nina hasira na masikitiko makubwa kupita kiasi. Ewe mtanzania mzalendo wa nchi tuweke mbali udini etc ni kitu kilichoniumzia roho mno. Hii video inamuonyesha Joshua Mollel akitekwa na Hamas. All the deniers sijui nawasaidia vipi. Huyu alikuwa ndugu yetu. RIP Joshua. My heart bleeds kwa hii familia

View attachment 2845298

Wanathubutu kusema Mungu Mkubwa. Waliyemuua amewakosea nini?
Huu ukatili wao ndio maana hakuna anayewataka Middle East
 
Kwa hiyo kuishabikia mauaji ya hamas sio sawa ila kushabikia mauaji ya Israel ni sawa?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Soma vizuri hapo nimeandika hizo dini za kitapeli na unafiki ndio zinafundisha kushabikia mauaji?

Sio Palestine au Israel wote binadamu ni sawa ndio maana sipendezwi na mtu wa upande wowote kuuwawa au upande unaoshabikia mauaji.
 
Halafu leo ndio wakaachia hiyo video tuione?
Baada ya miezi miwili mwanzo tuliambiwa amechinjwa soma huu uzi
 
Kambaku na Chaliifrancisco mko wapi? Proved mtu wangu wa nguvu will you ever again have sympathy to Palestinians?

KAMBAKU and CHALIIFRANSISCO I HATE.

Chaliifrancisco angalia homeboy walivyomuua.
Mgerasi, source ya hiyo video ina credibility? Je kuna alieprove kuwa hao ni HAMAS?

Je kuna alieprove kuwa huyo ni Joshua?

Au ni propaganda tu
 
Back
Top Bottom