permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Kaungane na hayo magaidi, Israeli anafanya kazi nzuri ya kupunguza hizi nguruwe.Sawa
Ila haiwi sababu yakutowaunga mkono hamas kuipigania haki yao yakimsingi
Naweza kupata link ya mahojiano ya Clouds na Balozi huyo?Mwisho kabisa hii clip imekuja baada ya balozi wa palestina hapa nchini kuhojiwa na kituo cha radio cha clouds FM je kuna nini nyuma ya pazia? Nao
Video ipo wapi Hamasi anamuuwa, Israel hajauwa hata askari watano wa Hamasi yeye kisha vyekwa zaidi ya 7000 siri zitajulikana tu ndio sababu Netanyahu hataki kusimamisha vita na uwezo wa kuwashinda Hamasi hana, anaogopa kutupwa Jela 😄Wewe hauons video hiyo, acheni ujinga wa kutetea uovu. Hawa HAMAS ni wanyama wacha Israel wawamalize. I have zero sympathy for these mofos.
Kweli kabisa mkuu serikali yetu imeonesha udhaifu mkubwa sana kwenye suala la vifo vya watanzania huko Israeli. Wenzetu walisimamia raia wao wakaondolewa salama katika eneo la vita sisi tumekaa kimya kusubiri watakachoamua.Taarifa nyengine tunasoma kwenye twitter za Israel halfu na sisi tunapata la kusema kuwafikishia watu badala ya kutaka kupewa taarifa kimaandishi.Kwa njia ya kimaandishi huko mbele tunaweza kudai vitu vingi na fidia kutoka kwa serikali ya Israel kwa kuhusika na vifo vya wenzetu.
Ingia google Mkuu na type Hamas Charter of 1988 ipo imejaa telletunaisomea wapi sasa chief
Israel hawa wanaoua watoto ndio wabarikiwe..ISRAELI NI MASHETANIMungu Ibariki ISRAEL iipoteze HAMAS katika uso wa dunia
Kichwani siyo mzima.Ile scanario ya kutekwa wengi wanadai palikuwa na Tamasha mambo ya show na hapo palikuwa na raia wa kigeni kibao .
Hata rocket za Hamas ziliua watu wachache na inakadiriwa mateka 200 na kitu walichuliwa ni kutokana na yule dogo aliyetoa ushuhuda ni Mtanzania ..
Inakuwaje pawe na special treatment wote wachukuliwa vizuri halafu huyu wamammalize na mwili wake waondoke nao ,mpaka sasa wanasema mwili upo kwa Hamas sasa ngoja tuone?
Kumbuka HAMAS walisharelease mateka kweny batch ya kwanza ,sasa iwejw wabaki na maiti!?
Sio kweli ndugu, hakuna kitu kama hicho marekani kwa sasa! kama yanatokea ni mauaji ya kawaida tu kama yanayotokea nchini kwako!Watu weusi wanauwa na polisi karibia kila siku nchini Marekani vipi mlisha sitisha mahusiano?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Huijui vizuri Marekani we kafiriHao mabwana zako waarabu hata nao kutwa wanakimbilia Ulaya kutafuta maisha mazuri na haki ya kuishi kwa amani na uhuru. Ulaya + Marekani haki ya binadamu kuishi bila kujali rangi, imani au utaifa wake inazingatiwa kwa kiwango kikubwa mno kiasi kwamba hata huo ubaguzi ukikutana nao si kama utaokutana nao uarabuni.
Pita kushoto
Washaona nchi haina amani halafu wanakimbilia kisa njaa😂😂Nasikia Malawi na Kenya wana mpango wa kuwa sacrifice vijana wao waende huko. Kwasasa Israel anafuta watu wa kupigana upande wao. Sasa wacha waende waje kutuletea thread hapa JF.
sio wataniletea kwa lugha ya kiarabu mkuuIngia google Mkuu na type Hamas Charter of 1988 ipo imejaa telle
Yesu alieruhusu hawa watoto wauawe ndio Mungu?allah siyo Mungu, allah ni shetani linaloabudiwa na waislam. Mungu wa kweli hawezi kuruhusu haya yafanywe na viumbe wake.
Acha mihemko mkuu. Vita ya kupigania uhuru wa palestina ilianza mwaka 1948 baada ya kuundwa kwa taifa Fake la Israeli na haijawahi kusimama . Tarehe 7 October ni mwendelezo tuu .Hamas kuvamia na kuua watu waliokua kwenye tamasha mliona ni sawa? Mkiua nyinyi mnafurahi na kuchekelea. Mkiuwawa mnaanza kulialia.
Shenzi kabisa. Piga hao mbwa wakawahi bikra 72.
Alahu akbaru Alahu Akbaru...Takbirrr haya lala kesho uwahi madrassaUnadhani mzozo wa Israel na palestina umeanza 2023??
Shida wengi mnaleta comments huku mmeanza kuusikia huu mzozo 2023.
Hivi unadhani hamas ni wehu sana mpaka wavamie Israel bila sababu?
Hawa kwao co issue ila akiwa mzungu utasikia kelele kila konaVipi hawa wanaoua watoto, Mungu wa kweli ameruhusu?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sawa mkuu basi ngoja nisubiri mpaka vita iishe.Unahoji nini sasa wakati vita inaendelea
Pia Kuna south Afrika watu wanakufa sanaWatu weusi wanauwa na polisi karibia kila siku nchini Marekani vipi mlisha sitisha mahusiano?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app