Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono
Hata wazungu hvyohvyo
Hao mabwana zako waarabu hata nao kutwa wanakimbilia Ulaya kutafuta maisha mazuri na haki ya kuishi kwa amani na uhuru. Ulaya + Marekani haki ya binadamu kuishi bila kujali rangi, imani au utaifa wake inazingatiwa kwa kiwango kikubwa mno kiasi kwamba hata huo ubaguzi ukikutana nao si kama utaokutana nao uarabuni.
 

Idara yetu na vyombo vya ulinzi na usalama inabidi viwe makini sana, kuna viashiria vya watanzania wenzetu kuupenda na kuunga mkono ugaidi wazi wazi bila aibu.

Tusipuuzie hizi dalili mbaya!
 
Vipi hiyo chupi ya kijeshi?
Chupi ya kijeshi kila mtu anavaa. Kwani alikuwa na silaha? Magaidi ndivyo yalivyo. Jitu linazaliwa linaimbishwa Takbirr chuki tu hatimaye linajivisha mabomu. Wazee wa mizigo 100 banah!
 
Ni kamkakati kao kakishenzi na mataifa ya kishenzi kutaka kufanya Israel kuonekana kama haijawah kuwepo.

Kuipinga Israel, ni Kumpinga Mungu.


TUNDU A LISSU, KWA UJINGA WAKE HUO , ASAHAU KATAKATA KUA RAIS WA JMT, ASAHAU KATAKATA, HATA KAMA CCM ITAKUJA KUONDOKA MADARAKANI, HATOKAA KAMWE KUA RAIS, KWA SABABU HIII TU YA KULIKUFURU TAIFA LA ISRAEL.


URUSI ni URUSI, ila hawaikufuru Israel, UCHINA pamoja na uwekezaji wake Kwa Waarabu, ila hawaikufuru Israel.


Wewe ni nani ??.
Kama unaamini kuna watu ni watakatifu basi wewe ni mpumbavu na hicho unachokiamini ni upumbavu tu.


Dunia nzima hakuna watu bora, mbora ni aliye mcha Mungu tu
 
Wewe pnguani sana unajiifanya una uchungu kumbe bwege huyu ndugu yetu tuliambiwa hivi….

Joshua Mollel, 21, an agricultural intern from Tanzania, was kidnapped by Hamas terrorists on October 7 from Kibbutz Nahal Oz. On December 13, his death was confirmed, and authorities said his body is being held hostage in Gaza.

Fellow Tanzanian Clemence Mtenga, who was originally thought to be held hostage following the October 7 attack, was declared dead on November 18, and his body was sent back to Tanzania for buria

Hiyo video imekuja leo baafa ya karibia miezi mitatu hapo alipokuwa Joshuo ni wapi na nani alikuwa anachukiwa hii video akaipost tuselete ushabiko mandazi tu kujifanya tuna uchungu kumbe unafiki tu jarida la THE TIMES OF ISRAEL lilisema wa Joshua upo Gaza isije kuwa sineme hii.
Wewe ni gaidi mpum.bavu, unatetea uovu kisa dini ya kijinga!!???
 
Muarabu na mabeberu wakichinjani sisi watz tunatakiwa kushindana kuhesabu mizoga tu ni ujinga muafrica kuwa tetea hao wahuni wa kixungu au waarabu
Mkuu huwezi kuishi kwenye dunia ya peke yako . Ndio maana leo Yemen anapozuia meli kupita red sea inaathiri dunia nzima hata ambao siyo waraabu wala waafrika. Tunachotakiwa kufanya kama binadamu ni kuhakikisha Haki na ubinadamu unazingatiwa bila kujali utaifa wetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kesho nina hakika serikali itatoa ufafanuzi
 
allah siyo Mungu, allah ni shetani linaloabudiwa na waislam. Mungu wa kweli hawezi kuruhusu haya yafanywe na viumbe wake.
Vipi hawa wanaoua watoto, Mungu wa kweli ameruhusu?
 

Attachments

  • F8zLPWBXwAAegOP.jpeg
    F8zLPWBXwAAegOP.jpeg
    103.6 KB · Views: 2
Back
Top Bottom