Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Kabisa, tunahitaji kubadilikaSerikali yetu imeshindwa kuchukua hatua za uhakika juu ya watu wetu.pia nathubutu kusema hata kama tungekua na mateka wengi huko israeli naamini wangekufa tusingeweza kuwakomboa . Tumekua ni serikali ya kupokea kila tunachoambiwa badala ya ku demand.