Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono
Eti dogo kaenda kusoma sawa ila angalia script, kwanz walisema katekwa tangu oktoba 7.
Sasa angalia Kama ndio yeye alikuwa na baiskeli ,uliona wapi wapiganiji wa Hamas wakawa wazi wazi tena kipind cha tensiona kama haswa oktoba 14 ? Hao wanafunika nyuso zao.

Dogo kavaa boxer ya jeshi👇


View attachment 2845307


Hao ndio Hamas yaani wamevaa wazi hivyo?
View attachment 2845308
Ww ni mse....

Jaza nafasi iliyoachwa wazi.
 
Hamas kuvamia na kuua watu waliokua kwenye tamasha mliona ni sawa? Mkiua nyinyi mnafurahi na kuchekelea. Mkiuwawa mnaanza kulialia.
Shenzi kabisa. Piga hao mbwa wakawahi bikra 72.
 
Hiyo video ni uongo mtupu.
Acha uzushi bidada. Video ni ya kweli sema Mollel alikuwa na chupi ya kijeshi na ndiyo tatizo lilipoanzia. Vitan hata wajeda ukizidiwa huwa wanaachana na kiashiria chochote cha kijeshi. Mi naona kosa kubwa la Mollel ni hiyo chupi ya kijeshi.
 
Habari wazalendo wa kitanzania. Video hii nimeipata IG kiukweli nina mixed emotions. Nina hasira na masikitiko makubwa kupita kiasi. Ewe mtanzania mzalendo wa nchi tuweke mbali udini etc ni kitu kilichoniumzia roho mno. Hii video inamuonyesha Joshua Mollel akitekwa na Hamas. All the deniers sijui nawasaidia vipi. Huyu alikuwa ndugu yetu. RIP Joshua. My heart bleeds kwa hii familia

View attachment 2845298
InAumlza sana kijana wetu kosa lake nn mpk wanamuua tunaomba Israel iyafute yote magaidi ya HAMAS itumie hata nyuklia kuyapiga
 
Hao wanafundishwa kujilinda maana wamezungukwa na magaidi wavaa vipedo kazi yanashupaza tu shingo na misemo yao ya kujijaza sumu. Magaidi yauawe popote pale yalipo ili dunia iwe sehemu salama ya kuishi. Jitu linafundishwa kujitoa mhanga hovyo kabisa... Haya na wewe imba takbir ujijaze sumu ulale nayo
Hiv mnajua hasa nn kilichompeleka huko???
 
Inasikitisha sana! Lakini hata hivyo sidhani kama Hamas walimwua kana kwamba wanachuki na Watanzania.
Huenda walijua ni adui yao!

Ni kama vile IDF walivyoua juzi Mateka wao, waliamini ni maadui!
Kwenye Vita huwezi kumwamini mtu akiwa upande wa adui!
Hata hivyo inahuzunisha kwa kweli.
Humu watu wanachangia kimihemko,

Vita ni vita muraa, na hakuna kuaminiana kwenye vita


Halafu pia hata hao hamas washapoteza ndugu zao wengi, maaskari wenzao wengi,


Katika hali hiyo unadhani watakuwa na huruma na mtu??
 
Kwahiyo tukio walilofanya Hamas October 7 lilikuwa halali.

Kwanini hamtaki kutafuta chanzo cha hii shida yote ni Nani amesababisha?
Chanzo cha hii shida mkuu kimeanzia mwaka 1948 wayahudi walipopewa eneo la palestina kuwa taifa lao na UN tangu hapo hakujawahi kuwa na amani na haitakuwepo mpaka atakapokufa mpalestina wa mwisho au muyahudi wa mwisho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uzushi bidada. Video ni ya kweli sema Mollel alikuwa na chupi ya kijeshi na ndiyo tatizo lilipoanzia. Vitan hata wajeda ukizidiwa huwa wanaachana na kiashiria chochote cha kijeshi. Mi naona kosa kubwa la Mollel ni hiyo chupi ya kijeshi.
Screenshot_20231217-213440.png



Hayo ni maoni ila chupi haiwezi kuwa point kubwa ,sababu footages za uongo walishatoa nyingi na Israel wana teknolojia kubwa sana ya kufanya chochote yaani wamekaa mda sana .


Kumbuka hata wale waliojisalimisha ni scripts sio kweli ni video za kutunga.

Ile video wakidai hospital walilipua Hamas nayo ni uongo ,walikuja kugundulika kutokana na mabaki ya bomu ..

Assume mtu anauliwa watu wengine wanapita wana ishu zao hata hawashtuki..
 
Humu watu wanachangia kimihemko,

Vita ni vita muraa, na hakuna kuaminiana kwenye vita


Halafu pia hata hao hamas washapoteza ndugu zao wengi, maaskari wenzao wengi,


Katika hali hiyo unadhani watakuwa na huruma na mtu??
Hiyo ni tar 7/10 na hakukua na mapambano yoyote. Tusitafute utetezi dhaifu. HAMAS wamezingua sana kumuua dogo asiye na hatia.

Let them get fire
 
Hapana
Hapana tuseme ukweli, na hiking ndiyo tumekuwa tukisema kila siku kuwa Hamas wametangulizwa MBELE tu lakini Agenda kubwa ni Maagizo ya Quran. Quran inasema kwa Muislam yeyote maadui wao ni Mayahudi na Wakiristo. Hivyo kilicho Fanya wamuue ni Jina lake la Kikiristo. Someni Jamani Hamas Charter ya 1988.
1. Utangulizi
2. Article 7
3. Articles 11&13
tunaisomea wapi sasa chief
 
Nasikitika sana naungana na wazazi wa Joshua Mollel kuhusiana na kifo cha mtanzania mwenzetu..

Yapo maswali na sintofahamu nyingi na utata kuhusiana na taarifa za kifo cha Joshua ambapo si vibaya sisi kama watanzania tukahoji ingawa marehemu hatorudi lakini tusiwe ni kizazi cha kupokea tu bila kuhoji tutakuwa wajinga. Yapo mambo mawili ambayo yanahitaji ufafanuzi hapa.

Mosi huyu mtanzania mwenzetu tulipata taarifa kuwa amechukuliwa mateka na Hamas huko Gaza lakini leo tumeoneshwa hapa kuwa aliuwawa na Hamas nadhani tarehe 7.10.2923 ndani ya mipaka ya israeli.

Pili kama aliuwawa tangu tarehe 7.10.2023 kwanini serikali ya Israeli haikutoa taarifa ya kuuwawa kwake hadi leo walipotuletea hii clip?

Mwisho kabisa hii clip imekuja baada ya balozi wa palestina hapa nchini kuhojiwa na kituo cha radio cha clouds FM je kuna nini nyuma ya pazia? Naomba tujadili bila jazba wa mihemko.

Natoa Pole za dhati sana kwa familia ya Joshua Miller na watanzania wote kwa pamoja kwa kumpoteza Mtanzania mwenzetu.
Balozi alisema nini kwenye mahojiano?

Nini kinaunganisha story ya video na mahojiano?
 
Back
Top Bottom