Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Naomba ujibu hayo maswali hapo juu.Acheni ujinga HAMAS wamemuua yule Mtanzania kinyama!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba ujibu hayo maswali hapo juu.Acheni ujinga HAMAS wamemuua yule Mtanzania kinyama!
Ila umeona hiyo chupi yenye rangi ya jeshi????? Hivi ungekuwa wewe ndiyo Mosad ukutane na raia kavaa nguo ya hamas utamuacha????I assume hujaona video zilizochukuliwa na wao wenyewe Oct 7 ndo maana unanyoropoka
Gaidi naniUgaidi hauna visingizio vyovyote. Tusishabikie hata kidogo. Tusihalalishe ugaidi kwa kisingizio chochote
Acheni porojo hamas sio magaidi
Hakuna maswali wala majibu yoyote yatakayo badili ukweli kwamba Hamas ni magaidi na wamemuua mtanzania mwenzetu.
Don't enclose yourself inside the trap.
Hakuna maswali wala majibu yoyote yatakayo badili ukweli kwamba Hamas ni magaidi na wamemuua mtanzania mwenzetu.
Ile scanario ya kutekwa wengi wanadai palikuwa na Tamasha mambo ya show na hapo palikuwa na raia wa kigeni kibao .Upstairs uko sawa kweli? Magaidi wa Hamas wanachafuliwaje?
Hebu tueleze nini kilichotokea October 7?
Ni kweli, ile chupi ya kijeshi ilimponza sana. Vijana tuache kujifanya wajeda. Kibaya hata kama angewaeleza shida hamas wameumizwa mno tena sana na mashushushu wa mosad.Kabisa, chupi itakuwa ilimponza, kiarabu sikijui ila nasikia neno elshabaab yaani ewe kijana!
Sasa mtanzania anahusikaje, hapo ndio uwezo wako wa kufikiri umefika mwishoUkiweka mihemko pembeni utajadili vizuri sana suala la Israel na palestina. Hamas ni chama cha kupigania uhuru wa Taifa la palestina.
Yale ni magaidi. Kitoto cha miaka 3 kinafundishwa kuchinja hayo ni magaidi na yanastahili kuuawa ili amani iwepo. Mtu mwenye akili timamu hawezi kufundishwa kuvaa mabomu.Unawajua Waisrael wewe au unaropoka umeona hiyo boxer ya kijeshi umejilizq kaavaa kwa makusudi haraffu Watanzania wengi wanafiki sana watoto 8000 waliouliwa Gaza hawana thamani zaidi ya Joshua? Au wale watoto ni Hamas hawana haki ya kuishi? Serikali inajua kila kitu ndiyo maaana imekaa kimya.
Maswali kuhusu mateka wa Tanzania yapo mengi kuliko hayo na mengine serikali yenyewe ingepaswa kuyatolea ufafanuziNasikitika sana naungana na wazazi wa Joshua Mollel kuhusiana na kifo cha mtanzania mwenzetu..
Yapo maswali na sintofahamu nyingi na utata kuhusiana na taarifa za kifo cha Joshua ambapo si vibaya sisi kama watanzania tukahoji ingawa marehemu hatorudi lakini tusiwe ni kizazi cha kupokea tu bila kuhoji tutakuwa wajinga. Yapo mambo mawili ambayo yanahitaji ufafanuzi hapa.
Mosi huyu mtanzania mwenzetu tulipata taarifa kuwa amechukuliwa mateka na Hamas huko Gaza lakini leo tumeoneshwa hapa kuwa aliuwawa na Hamas nadhani tarehe 7.10.2923 ndani ya mipaka ya israeli.
Pili kama aliuwawa tangu tarehe 7.10.2023 kwanini serikali ya Israeli haikutoa taarifa ya kuuwawa kwake hadi leo walipotuletea hii clip?
Mwisho kabisa hii clip imekuja baada ya balozi wa palestina hapa nchini kuhojiwa na kituo cha radio cha clouds FM je kuna nini nyuma ya pazia? Naomba tujadili bila jazba wa mihemko.
Natoa Pole za dhati sana kwa familia ya Joshua Miller na watanzania wote kwa pamoja kwa kumpoteza Mtanzania mwenzetu.
Wanaogopa kuhoji hasa kuihoji Israel. Watu wamekufa siku ya 70 leo tumekua ni taifa la kupokea kila taarifa tunayoletewa na serikali ya israeli bila kuhoji huoni udhaifu hapo?What i can say is Tanzania tuna viongozi wanafiki na irresponsible.
Shida ya Watanzania wengi haswa Vijana ni wajinga mno na ndio maana hawana uwezo wa kuhoji wala kujadili mambo ya misingi.Watanzania wengi tupo kama mizigo hatuhoji wala kufikiria kwanini? Tunapelekwa pelekwa tu kama bendera.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni porojo hamas sio magaidi
Msijizime data,Habari wazalendo wa kitanzania. Video hii nimeipata IG kiukweli nina mixed emotions. Nina hasira na masikitiko makubwa kupita kiasi. Ewe mtanzania mzalendo wa nchi tuweke mbali udini etc ni kitu kilichoniumzia roho mno. Hii video inamuonyesha Joshua Mollel akitekwa na Hamas. All the deniers sijui nawasaidia vipi. Huyu alikuwa ndugu yetu. RIP Joshua. My heart bleeds kwa hii familia
View attachment 2845298
Serikali yetu imeshindwa kuchukua hatua za uhakika juu ya watu wetu.pia nathubutu kusema hata kama tungekua na mateka wengi huko israeli naamini wangekufa tusingeweza kuwakomboa . Tumekua ni serikali ya kupokea kila tunachoambiwa badala ya ku demand.Maswali kuhusu mateka wa Tanzania yapo mengi kuliko hayo na mengine serikali yenyewe ingepaswa kuyatolea ufafanuzi
.Hawa watanzania walikwenda kusoma au walikwenda kufanya kazi mashambani au kazi nyengine za usafi majumbani .Kama walikwenda kusoma walipelekwa chuo gani cha kilimo.
Siku ya tarehe 7 oktoba walikuwa maeneo gani ya Israel.Isijekuwa walikamatwa ndani ya kambi za jeshi za Israel na hivyo Hamas wakawachukulia ni askari wa kawaida wa Israel.Kwa sababu kama hawakwenda kusoma yawezekana walikuwa ndani ya kambi wakifanya kazi nyengine.
Maswali hayo serikali inaweza kujibu kwa kushirikiana na balozi wa Tanzania nchini Israel au na balozi wa Israel nchini Tanzania.
Na hawa hapa mabawana zako?Yale ni magaidi. Kitoto cha miaka 3 kinafundishwa kuchinja hayo ni magaidi na yanastahili kuuawa ili amani iwepo. Mtu mwenye akili timamu hawezi kufundishwa kuvaa mabomu.
Haya ndio mnayoweza kuyaona .poor TanzanianMtu anayepigana kwa kujificha nyuma ya raia wake mwenyewe na kuteka raia na kuua raia ni gaidi tu.