Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Mshamba kweli wewe mambo yq umasikini na utajiri umekujaje Watanzania bana mtu akipata kajumba na kagari basi anajitapa tajiri daaah taarifa yako mimi ni masikini sana nauza kahawa na kashata.Mimi sio masikini kama wewe..waisrael wanawamaliza hizo takataka zenye laana..statists zinaonyeshe Palestinians they perish everyday in good number..nice
Wapelestina wamezaliwa viwanja vya vita vifo kwao ni sehemu ya maisha yao yaani wapata bahati ya kumuawa Muisrael moja ni ushindi kwao.
Historia ya Israel hawajahi kupoteza Wanajeshi wingi kama kwenye vita ya Gaza ni ushindi kwa Wapestina.