ChawaWaMama
JF-Expert Member
- Jan 16, 2023
- 1,765
- 3,277
Ndiyo tatizo linapoanzia, vijana tuache kuiga. Naamini hao magaidi walijua ni mwanajeshi ndiyo maana wakamimina risasi wakijua ni mosad. Ni muhimu vijana wanaoenda huko waelekezwe mazingira.Mbona hizo zimejaa kariakoo?!