Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono
Nchi 14 barani Afrika zimeiondoa Israel kwenye Umoja huo AU.

Nchi zilizokubali uamuzi wa kuiondoa Israel kwenye muungano huo ni; South Africa, Tunisia, Eritrea, Senegal, Tanzania, Niger, Archipelago ya Qamar, Gabon, Nigeria, Zimbabwe, Liberia pamoja na Seychelles.

Hizo nchi zote viongozi wake ni Waislam?
Hata tz yanayokea hayo. Waulize chadema
 
Naona unauliza vimaswali flani ivi ili kukwepesha/kuchanganya mada.

Hongera bhana.
Usiwe kama huelewi kwamba baadhi ya matekwa walipewa special treatment na huyu aliuliwa ? Kama walikuwa nayo hiyo video kwa nn wasitoe muda sana !?

Hii inakuja baada ya kupata lawama za kuua wale mateka wao watatu...Mbona walitoa footage baada ya kupiga hospital ile wakadai Hamas ndio walilipua ila ilikuwa ni forgery .
 
Wapalestina ni binadamu kama sisi.

Wanaosababisha haya mauaji ni NATO na US kwa kuchochea uhasama baina ya Israel na Palestina
Palestina ni Human Animal ndio maana hawatakiwi hata ukimbizi are always turn to become enemy and criminals are in blood
 
Silaani hata kidogo lakini he must stand for humanity for all. Namuona ni mnafiki kwa sababu unyama unaofanyika Gaza kila binadamu mwenye akili timamu anatakiwa aone na apinge kwa nguvu zote asipofanya hivyo tutamuona ni muuaji tu na yeye.
Mkuu
Je yanayotokea Cabo Delgado, Somalia, Juba, Khartoum, DRC na maeneo mengine Africa ambapo maelfu wanakufa, je yameinua sauti ya dunia kulaani au kuna utofauti wa kufia Gaza na kufia kwenye battlefield Africa?


Nalaani vita yeyote. Nalaani mauaji yote. Nalaani viwanda vyote vya silaha za moto
 
Ukute dogo alikuwa front line....apo apo jamaa wakamnasa,kwanza kavaa boxer ya kijeshi....

Anyway vita haicchagui wapi pa kupiga na nani wa kupigwa
 
Nasikitika sana naungana na wazazi wa Joshua Mollel kuhusiana na kifo cha mtanzania mwenzetu..

Yapo maswali na sintofahamu nyingi na utata kuhusiana na taarifa za kifo cha Joshua ambapo si vibaya sisi kama watanzania tukahoji ingawa marehemu hatorudi lakini tusiwe ni kizazi cha kupokea tu bila kuhoji tutakuwa wajinga. Yapo mambo mawili ambayo yanahitaji ufafanuzi hapa.

Mosi huyu mtanzania mwenzetu tulipata taarifa kuwa amechukuliwa mateka na Hamas huko Gaza lakini leo tumeoneshwa hapa kuwa aliuwawa na Hamas nadhani tarehe 7.10.2923 ndani ya mipaka ya israeli.

Pili kama aliuwawa tangu tarehe 7.10.2023 kwanini serikali ya Israeli haikutoa taarifa ya kuuwawa kwake hadi leo walipotuletea hii clip?

Mwisho kabisa hii clip imekuja baada ya balozi wa palestina hapa nchini kuhojiwa na kituo cha radio cha clouds FM je kuna nini nyuma ya pazia? Naomba tujadili bila jazba wa mihemko.

Natoa Pole za dhati sana kwa familia ya Joshua Miller na watanzania wote kwa pamoja kwa kumpoteza Mtanzania mwenzetu.
 
Mkuu
Je yanayotokea Cabo Delgado, Somalia, Juba, Khartoum, DRC na maeneo mengine Africa ambapo maelfu wanakufa, je yameinua sauti ya dunia kulaani au kuna utofauti wa kufia Gaza na kufia kwenye battlefield Africa?


Nalaani vita yeyote. Nalaani mauaji yote. Nalaani viwanda vyote vya silaha za moto
Mkuu kinachotokea Gaza ni "Genocide " huwezi linganisha na vita yeyote inayopiganwa hapa duniani kwasasa.
 
Sad enough unaweza kuta mtu wanamuua kuwa kuwa tu hawezi kutaja mistari ya kuruani ama ana jina la kigaratia .haya majamaa ya dini ya kishetani
 
Punguzeni munkari tuwe na akiba ya maneno

Video imeonyesha wanajeshi waliobeba silaha huku wakiongea kiarabu hakuna uthibitisho wa uhakika kwamba hao ni hamas especially hamas wako na dresscode 7 oct tuliona

Tusubiri uchunguzi ufanyike kama ni kweli hamas itajulikana

Chuki isiwe ngome ya maamuzi
 
Back
Top Bottom