Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono
Ile scanario ya kutekwa wengi wanadai palikuwa na Tamasha mambo ya show na hapo palikuwa na raia wa kigeni kibao .

Hata rocket za Hamas ziliua watu wachache na inakadiriwa mateka 200 na kitu walichuliwa ni kutokana na yule dogo aliyetoa ushuhuda ni Mtanzania ..

Inakuwaje pawe na special treatment wote wachukuliwa vizuri halafu huyu wamammalize na mwili wake waondoke nao ,mpaka sasa wanasema mwili upo kwa Hamas sasa ngoja tuone?

Kumbuka HAMAS walisharelease mateka kweny batch ya kwanza ,sasa iwejw wabaki na maiti!?
Kwahiyo tukio walilofanya Hamas October 7 lilikuwa halali.

Kwanini hamtaki kutafuta chanzo cha hii shida yote ni Nani amesababisha?
 
Ukute dogo alikuwa front line....apo apo jamaa wakamnasa,kwanza kavaa boxer ya kijeshi....

Anyway vita haicchagui wapi pa kupiga na nani wa kupigwa
Inawezekana alikuwa agent au ilitokea coincidence tu, vita inamambo mengi, mungu amrehemu
 
Na hawa hapa mabawana zako?
Hao wanafundishwa kujilinda maana wamezungukwa na magaidi wavaa vipedo kazi yanashupaza tu shingo na misemo yao ya kujijaza sumu. Magaidi yauawe popote pale yalipo ili dunia iwe sehemu salama ya kuishi. Jitu linafundishwa kujitoa mhanga hovyo kabisa... Haya na wewe imba takbir ujijaze sumu ulale nayo
 
Nasikitika sana naungana na wazazi wa Joshua Mollel kuhusiana na kifo cha mtanzania mwenzetu..

Yapo maswali na sintofahamu nyingi na utata kuhusiana na taarifa za kifo cha Joshua ambapo si vibaya sisi kama watanzania tukahoji ingawa marehemu hatorudi lakini tusiwe ni kizazi cha kupokea tu bila kuhoji tutakuwa wajinga. Yapo mambo mawili ambayo yanahitaji ufafanuzi hapa.

Mosi huyu mtanzania mwenzetu tulipata taarifa kuwa amechukuliwa mateka na Hamas huko Gaza lakini leo tumeoneshwa hapa kuwa aliuwawa na Hamas nadhani tarehe 7.10.2923 ndani ya mipaka ya israeli.

Pili kama aliuwawa tangu tarehe 7.10.2023 kwanini serikali ya Israeli haikutoa taarifa ya kuuwawa kwake hadi leo walipotuletea hii clip?

Mwisho kabisa hii clip imekuja baada ya balozi wa palestina hapa nchini kuhojiwa na kituo cha radio cha clouds FM je kuna nini nyuma ya pazia? Naomba tujadili bila jazba wa mihemko.

Natoa Pole za dhati sana kwa familia ya Joshua Miller na watanzania wote kwa pamoja kwa kumpoteza Mtanzania mwenzetu.
Kwa hiyo Israel baada ya kuisikiliza redio Clouds wakaona wa release hiyo video?
 
Ile scanario ya kutekwa wengi wanadai palikuwa na Tamasha mambo ya show na hapo palikuwa na raia wa kigeni kibao .

Hata rocket za Hamas ziliua watu wachache na inakadiriwa mateka 200 na kitu walichuliwa ni kutokana na yule dogo aliyetoa ushuhuda ni Mtanzania ..

Inakuwaje pawe na special treatment wote wachukuliwa vizuri halafu huyu wamammalize na mwili wake waondoke nao ,mpaka sasa wanasema mwili upo kwa Hamas sasa ngoja tuone?

Kumbuka HAMAS walisharelease mateka kweny batch ya kwanza ,sasa iwejw wabaki na maiti!?
Hamas hawawezi kuwa na majokofu ya kuhifadhi maiti.
Kama huyu alikufa oktoba 7 basi Israel waliiona maiti yake lakini wakaipuuza na kutojali hata kumtambua ni nani na kumuhesabu katika waliouliwa.
Kama hiyo video si mchezo wa kuigiza basi kwa sauti ya mmoja wa watekaji ni kwamba kulikuwa na kurushiana maneno kiasi kwamba mmoja wao alikuwa akiwazuia wenzake.
Kumbuka Israel wanajitapa kuwa wana hisroria ya kuwa na wafuasi Arusha na hata wametengeneza wafuasi wa kutosha maeneo hayo ambao wanajua baadhi ya lafdhi za kiyahudi.
 
Kwahiyo tukio walilofanya Hamas October 7 lilikuwa halali.

Kwanini hamtaki kutafuta chanzo cha hii shida yote ni Nani amesababisha?
Vita ya pale kwanza haina mwanzo ni suala la muda ,kila mtu yupo attention Hamas walishambulia kama wanavyoshambuliwa ila israel alitangaza vita .

Ukifuatilia hao israel wanau wapalestina kutwa sasa unyonge umefika mwisho.
 
Nasikitika sana naungana na wazazi wa Joshua Mollel kuhusiana na kifo cha mtanzania mwenzetu..

Yapo maswali na sintofahamu nyingi na utata kuhusiana na taarifa za kifo cha Joshua ambapo si vibaya sisi kama watanzania tukahoji ingawa marehemu hatorudi lakini tusiwe ni kizazi cha kupokea tu bila kuhoji tutakuwa wajinga. Yapo mambo mawili ambayo yanahitaji ufafanuzi hapa.

Mosi huyu mtanzania mwenzetu tulipata taarifa kuwa amechukuliwa mateka na Hamas huko Gaza lakini leo tumeoneshwa hapa kuwa aliuwawa na Hamas nadhani tarehe 7.10.2923 ndani ya mipaka ya israeli.

Pili kama aliuwawa tangu tarehe 7.10.2023 kwanini serikali ya Israeli haikutoa taarifa ya kuuwawa kwake hadi leo walipotuletea hii clip?

Mwisho kabisa hii clip imekuja baada ya balozi wa palestina hapa nchini kuhojiwa na kituo cha radio cha clouds FM je kuna nini nyuma ya pazia? Naomba tujadili bila jazba wa mihemko.

Natoa Pole za dhati sana kwa familia ya Joshua Miller na watanzania wote kwa pamoja kwa kumpoteza Mtanzania mwenzetu.
Muarabu na mabeberu wakichinjani sisi watz tunatakiwa kushindana kuhesabu mizoga tu ni ujinga muafrica kuwa tetea hao wahuni wa kixungu au waarabu
 
Serikali yetu imeshindwa kuchukua hatua za uhakika juu ya watu wetu.pia nathubutu kusema hata kama tungekua na mateka wengi huko israeli naamini wangekufa tusingeweza kuwakomboa . Tumekua ni serikali ya kupokea kila tunachoambiwa badala ya ku demand.
Taarifa nyengine tunasoma kwenye twitter za Israel halfu na sisi tunapata la kusema kuwafikishia watu badala ya kutaka kupewa taarifa kimaandishi.Kwa njia ya kimaandishi huko mbele tunaweza kudai vitu vingi na fidia kutoka kwa serikali ya Israel kwa kuhusika na vifo vya wenzetu.
 
Wale ndugu zake KIpozeo watutafsirie walichokuwa wanaongea.Maana utakutana na Swala tano humu kutwa kushinda kwenye Godawn kila siku wakapewe mabikra na nguvu za kiume za kuwa mbato hao ma bikra.
Nimejikuta na hasira sana na hawa Basi acha niishie hapa
 
Halafu Kuna mtu anakaa anabisha kua UISLAM NA UGAIDI NI PETE MA KIDOLE??.

NDIO MAANA DOLA INAWAPIGA MIAKA YA KUTOSHA GEREZANI.

Israel isirudi nyuma, iwatandike Hawa wajingaa ,wasiwepo tena ukanda wa Gaza .
Kwani hayo ndiyo mafundisho ya uislamu??

Kwani palestina na Israel wanagombea dini?? Watu wanapigania ardhi yao wewe unaleta habari za uislamu na ukristo
 
Back
Top Bottom