Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kwahiyo tukio walilofanya Hamas October 7 lilikuwa halali.Ile scanario ya kutekwa wengi wanadai palikuwa na Tamasha mambo ya show na hapo palikuwa na raia wa kigeni kibao .
Hata rocket za Hamas ziliua watu wachache na inakadiriwa mateka 200 na kitu walichuliwa ni kutokana na yule dogo aliyetoa ushuhuda ni Mtanzania ..
Inakuwaje pawe na special treatment wote wachukuliwa vizuri halafu huyu wamammalize na mwili wake waondoke nao ,mpaka sasa wanasema mwili upo kwa Hamas sasa ngoja tuone?
Kumbuka HAMAS walisharelease mateka kweny batch ya kwanza ,sasa iwejw wabaki na maiti!?
Kwanini hamtaki kutafuta chanzo cha hii shida yote ni Nani amesababisha?