Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Ww ni mse....Eti dogo kaenda kusoma sawa ila angalia script, kwanz walisema katekwa tangu oktoba 7.
Sasa angalia Kama ndio yeye alikuwa na baiskeli ,uliona wapi wapiganiji wa Hamas wakawa wazi wazi tena kipind cha tensiona kama haswa oktoba 14 ? Hao wanafunika nyuso zao.
Dogo kavaa boxer ya jeshi👇
View attachment 2845307
Hao ndio Hamas yaani wamevaa wazi hivyo?
View attachment 2845308
Jaza nafasi iliyoachwa wazi.