Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono
Wewe hauons video hiyo, acheni ujinga wa kutetea uovu. Hawa HAMAS ni wanyama wacha Israel wawamalize. I have zero sympathy for these mofos.
Video ipo wapi Hamasi anamuuwa, Israel hajauwa hata askari watano wa Hamasi yeye kisha vyekwa zaidi ya 7000 siri zitajulikana tu ndio sababu Netanyahu hataki kusimamisha vita na uwezo wa kuwashinda Hamasi hana, anaogopa kutupwa Jela 😄
 
Taarifa nyengine tunasoma kwenye twitter za Israel halfu na sisi tunapata la kusema kuwafikishia watu badala ya kutaka kupewa taarifa kimaandishi.Kwa njia ya kimaandishi huko mbele tunaweza kudai vitu vingi na fidia kutoka kwa serikali ya Israel kwa kuhusika na vifo vya wenzetu.
Kweli kabisa mkuu serikali yetu imeonesha udhaifu mkubwa sana kwenye suala la vifo vya watanzania huko Israeli. Wenzetu walisimamia raia wao wakaondolewa salama katika eneo la vita sisi tumekaa kimya kusubiri watakachoamua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • F8zLPWBXwAAegOP.jpeg
    F8zLPWBXwAAegOP.jpeg
    103.6 KB · Views: 2
Ile scanario ya kutekwa wengi wanadai palikuwa na Tamasha mambo ya show na hapo palikuwa na raia wa kigeni kibao .

Hata rocket za Hamas ziliua watu wachache na inakadiriwa mateka 200 na kitu walichuliwa ni kutokana na yule dogo aliyetoa ushuhuda ni Mtanzania ..

Inakuwaje pawe na special treatment wote wachukuliwa vizuri halafu huyu wamammalize na mwili wake waondoke nao ,mpaka sasa wanasema mwili upo kwa Hamas sasa ngoja tuone?

Kumbuka HAMAS walisharelease mateka kweny batch ya kwanza ,sasa iwejw wabaki na maiti!?
Kichwani siyo mzima.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Hao mabwana zako waarabu hata nao kutwa wanakimbilia Ulaya kutafuta maisha mazuri na haki ya kuishi kwa amani na uhuru. Ulaya + Marekani haki ya binadamu kuishi bila kujali rangi, imani au utaifa wake inazingatiwa kwa kiwango kikubwa mno kiasi kwamba hata huo ubaguzi ukikutana nao si kama utaokutana nao uarabuni.
Huijui vizuri Marekani we kafiri
 
Nasikia Malawi na Kenya wana mpango wa kuwa sacrifice vijana wao waende huko. Kwasasa Israel anafuta watu wa kupigana upande wao. Sasa wacha waende waje kutuletea thread hapa JF.
Washaona nchi haina amani halafu wanakimbilia kisa njaa😂😂
 
allah siyo Mungu, allah ni shetani linaloabudiwa na waislam. Mungu wa kweli hawezi kuruhusu haya yafanywe na viumbe wake.
Yesu alieruhusu hawa watoto wauawe ndio Mungu?
 

Attachments

  • F8zLPWBXwAAegOP.jpeg
    F8zLPWBXwAAegOP.jpeg
    103.6 KB · Views: 2
Hamas kuvamia na kuua watu waliokua kwenye tamasha mliona ni sawa? Mkiua nyinyi mnafurahi na kuchekelea. Mkiuwawa mnaanza kulialia.
Shenzi kabisa. Piga hao mbwa wakawahi bikra 72.
Acha mihemko mkuu. Vita ya kupigania uhuru wa palestina ilianza mwaka 1948 baada ya kuundwa kwa taifa Fake la Israeli na haijawahi kusimama . Tarehe 7 October ni mwendelezo tuu .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unadhani mzozo wa Israel na palestina umeanza 2023??


Shida wengi mnaleta comments huku mmeanza kuusikia huu mzozo 2023.


Hivi unadhani hamas ni wehu sana mpaka wavamie Israel bila sababu?
Alahu akbaru Alahu Akbaru...Takbirrr haya lala kesho uwahi madrassa
 
Jarida la THE TIMES OF ISRAEL liliandika hovi..
Joshua Mollel, 21, an agricultural intern from Tanzania, was kidnapped by Hamas terrorists on October 7 from Kibbutz Nahal Oz. On December 13, his death was confirmed, and authorities said his body is being held hostage in Gaza.

Tusiwe mapunguani kujifanya tuna uchungu kumbe tunaingizwa chaka hii video imetoka leo karibia miezi 3 hiyo
Maiti ilikuwa Gaza?

Hapo alipopigwa risasi Joshua ni wapi?

Nani alikuwa anachukua hiyo video?

Hii video wangepost Hamas maswali yasingekuwa mengi lakini wamepost Israel wakati walituambia ameishakufa Gaza.
 
Back
Top Bottom