Vipi hawa wanaoua watoto, Mungu wa kweli ameruhusu?
Ukitaka kujua ni watoto au magaidi jichanganye kwenye anga zao uone wanakuchinja huku wanaimba Allahu Akbaru Allahu akbaru...takbirrr.
 
Serikali yetu imeshindwa kuchukua hatua za uhakika juu ya watu wetu.pia nathubutu kusema hata kama tungekua na mateka wengi huko israeli naamini wangekufa tusingeweza kuwakomboa . Tumekua ni serikali ya kupokea kila tunachoambiwa badala ya ku demand.
Kama kuhoji ndio huku hakuna maana. Uache kumwita balozi wa Pakestina ambao ndio wahusika wa mauaji ukamhoji aliyeshambuliwa?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Jama pana kitu lazima alikifanya akakamatwa ndio wakaamua kutoa hukumu hiyo,

Kwanini kwenye hiyo video yeye yuko peke yake eneo hilo,

Kwanini hao jamaa wote kila mmoja anataka kumua attack yeye?
 
Unahitaji kuwa binadamu tu kuweza kupigania haki za wapalestina na kuzuia Genocide.
Acha kelele nenda kawapiganie hawapo huku jf wala hawakujui kama unawasapoti wakikuona na hio ngozi yako nyeusi watakuua kama walivoua wengine
 
Wewe ni gaidi mpum.bavu, unatetea uovu kisa dini ya kijinga!!???
Usiniletee ushoga kuhoji ni kutetea? Mimi siyo punguani kama wewe kumeza tu eti kanali
Labda kanali wa mashoga.
 
Watu wameanza kusikia habari za palestina mwaka huu 2023

Hawajui mateso waliyoyapitia muda mrefu

Wanakuja JF kunyakunya tu
 
Kilichompeleka ni elimu. Kwani wakati anakamatwa alikuwa na silaha? Si alikuwa tu na kibaiskeli chake? Alipokamatwa alileta upinzani? Magaidi mbwa mwitu yamemuua bila hatia. Takbirrr siyo salama duniani
Alijificha kwenye shelter. Sources nimezipost hapa
 
Balozi alisema nini kwenye mahojiano?

Nini kinaunganisha story ya video na mahojiano?
Watanzania wengi hawajui kuwa Israeli haikuwepo kabla ya 1948 na kwamba wale waliopo pale ni wazungu kutoka ulaya walioletwa na Umoja wa mataifa. Hii ni habari ambayo Israeli hataki watu wajuwe hasa mataifa ya huku ushenzini ili waendelee kupata uungwaji mkono kwa kupitia Bibilia wakati asilimia zaidi ya 67 ya raia wa Israeli hawaamini Mungu akiwemo waziri wao mkuu wa sasa Benjamin Netanyahu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…