G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,795
- 36,704
Ukitaka kujua ni watoto au magaidi jichanganye kwenye anga zao uone wanakuchinja huku wanaimba Allahu Akbaru Allahu akbaru...takbirrr.Vipi hawa wanaoua watoto, Mungu wa kweli ameruhusu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukitaka kujua ni watoto au magaidi jichanganye kwenye anga zao uone wanakuchinja huku wanaimba Allahu Akbaru Allahu akbaru...takbirrr.Vipi hawa wanaoua watoto, Mungu wa kweli ameruhusu?
Kama kuhoji ndio huku hakuna maana. Uache kumwita balozi wa Pakestina ambao ndio wahusika wa mauaji ukamhoji aliyeshambuliwa?Serikali yetu imeshindwa kuchukua hatua za uhakika juu ya watu wetu.pia nathubutu kusema hata kama tungekua na mateka wengi huko israeli naamini wangekufa tusingeweza kuwakomboa . Tumekua ni serikali ya kupokea kila tunachoambiwa badala ya ku demand.
Itoshe kusema ww n mpumbavuHii clip muda wote ilikuwa wapi wasiitoe mpaka balozi wa Palestine alivyoongea na Clouds FM ?
Labda mungu wa mchongo anayeruhusu kuua mpaka waliopo hospitalinMungu Ibariki ISRAEL iipoteze HAMAS katika uso wa dunia
Jama pana kitu lazima alikifanya akakamatwa ndio wakaamua kutoa hukumu hiyo,Habari wazalendo wa kitanzania. Video hii nimeipata IG kiukweli nina mixed emotions. Nina hasira na masikitiko makubwa kupita kiasi. Ewe mtanzania mzalendo wa nchi tuweke mbali udini etc ni kitu kilichoniumzia roho mno. Hii video inamuonyesha Joshua Mollel akitekwa na Hamas. All the deniers sijui nawasaidia vipi. Huyu alikuwa ndugu yetu. RIP Joshua. My heart bleeds kwa hii familia
View attachment 2845298
Acha kelele nenda kawapiganie hawapo huku jf wala hawakujui kama unawasapoti wakikuona na hio ngozi yako nyeusi watakuua kama walivoua wengineUnahitaji kuwa binadamu tu kuweza kupigania haki za wapalestina na kuzuia Genocide.
Usiniletee ushoga kuhoji ni kutetea? Mimi siyo punguani kama wewe kumeza tu eti kanaliWewe ni gaidi mpum.bavu, unatetea uovu kisa dini ya kijinga!!???
Watu wameanza kusikia habari za palestina mwaka huu 2023Sasa ww kama unaumizwa na mtz mwenzako mmoja aliye uawa vipi kuhusu wapalestina ambao kwa miaka 75 wamekuwa wakiuawa maelfu kwa maelfu bila sababu?
Kila binadamu anastahili kuhurumiwa na kutetewa pale anapo onewa maana mbele ya mungu thamani yako haitambuliki kama mtz bali unatambulika kama mwanadamu.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo Israel haipaswi kuwepo duniani?Acha mihemko mkuu. Vita ya kupigania uhuru wa palestina ilianza mwaka 1948 baada ya kuundwa kwa taifa Fake la Isrseli na haijawahi kusimama . Tarehe 7 October ni mwendelezo tuu .
Sent using Jamii Forums mobile app
Magaidi wakijificha mpk hospital wanafuatwa huko huko lipua hospital nzima na wapalestina waoLabda mungu wa mchongo anayeruhusu kuua mpaka waliopo hospitalin
Pole kijanaSiwezi kumuunga mkono mtu anayemuona mtu mweusi kama ni mnyama.
Hivi azana mwisho saa ngapi?Usiniletee ushoga kuhoji ni kutetea? Mimi siyo punguani kama wewe kumeza tu eti kanali
Labda kanali wa mashoga.
Alijificha kwenye shelter. Sources nimezipost hapaKilichompeleka ni elimu. Kwani wakati anakamatwa alikuwa na silaha? Si alikuwa tu na kibaiskeli chake? Alipokamatwa alileta upinzani? Magaidi mbwa mwitu yamemuua bila hatia. Takbirrr siyo salama duniani
Hivi azana mwisho saa ngapi?
Nenda ukashiriki nao hayo mateso km Tz umepachokaWatu wameanza kusikia habari za palestina mwaka huu 2023
Hawajui mateso waliyoyapitia muda mrefu
Wanakuja JF kunyakunya tu
Watanzania wengi hawajui kuwa Israeli haikuwepo kabla ya 1948 na kwamba wale waliopo pale ni wazungu kutoka ulaya walioletwa na Umoja wa mataifa. Hii ni habari ambayo Israeli hataki watu wajuwe hasa mataifa ya huku ushenzini ili waendelee kupata uungwaji mkono kwa kupitia Bibilia wakati asilimia zaidi ya 67 ya raia wa Israeli hawaamini Mungu akiwemo waziri wao mkuu wa sasa Benjamin Netanyahu.Balozi alisema nini kwenye mahojiano?
Nini kinaunganisha story ya video na mahojiano?
Nendeni mkaswali mnatupigia kelele humu. Allahu AkbaruSaa kumi na moja utaisikia
Hivi lini unaenda kubatizwa? papa si karuhusu mashoga wabatizwe au basha wako hatati?Hivi azana mwisho saa ngapi?
Nimejiona Bright kwasababu nimeeleza ukweli mkuu?Mimi nina uwezo mdogo kweli, ila nashangaa wewe kujiona bright halafu unaandika matope