Unajaribu kusema nn mkuu?Kama alikuwa Afisa Kificho je?
Yan daah!!!!Maskini daah halafu kuna wapuuzi wanawasifia hamas
Hawa Magaidi wa Hamas wamesema hakuna mateka atabaki hai kama Israel haichi mashambulizi.Maskini daah halafu kuna wapuuzi wanawasifia hamas
Ningetag video nyingine nmeona X formerly known as Twitter unaina jinsi wanavyompiga bastola na AK47 kalashnikovThose pigs are satanic agents! Ni mashetani kweli kweli!
Kama, kama, kama, kama. Ushezi umefanyika mambo ya kama ni kuuhalalisha. Huyu mtu sababu za kuondoka TZ zinajulikana, kupotea kwake kulisambaa mitandaoni hakuna sababu ya kama kama kama ila kuna sababu ya kuulaani huo ushenzi.Kama alikuwa Afisa Kificho je?
Balozi wa Palestine nchini Tanzania Mh. Hamdi Mansour Abuali alimwe barua mara moja na kutimuliwa kama persona non grataNiliwahi kusema haoa kwamba Rais alipiga kura kuwaunga mkono Hamas kwa msukumo wa dini wengi mlitoka povu. Kuna video inasambaa ktk mtandao wa X inatisha sana. Moyo wangu unavuja damu mtanazania mwenzetu alitokea shambani na kibaiskeli chake maskini ya Mungu. Anakamatwa najitetea lkn haeleweki kisha anapigwa risasi alaf wanashangilia huku wakisema Alakh akbar.
Kijana mdogo anazimishwa ndoto zake na wajinga wachache alaf et leo Rais anapiga kura kuwatetea wauwaji. Rais Samia damu hii utaijibia... Ulishindwa kuzuia wasimuue lkn hata kulaani mauwaji ya watanzania wenzako umeshindwa? Badala yake umewaunga mkono wauwaji.
Video hyo inaogofya sidhani kama inafaa kuwa shared hapa. Kama unataka unaweza kuingia mtandao X imesambaa sana. Inatia huruma.
R.I.P mdogo wetu
BALOZI wa Palestina nchini Tanzania, Hamdi Mansour Abuali amewashukuru Watanzania wanaoendelea kupaza sauti zao kulaani mashambulizi ya makombora yanayofanya na Taifa la Israel katika Ukanda wa Gaza eneo la Palestina.
Balozi Abuali,ametoa shukrani hizo leo Jijini Dar es Salaam mbele ya Waumini mara baada ya swala ya kuombea amani katika nchi ya Palestina .
Aidha,Balozi Abuali,amesema mashambulizi hayo yamekuwa yakitoa roho za watu wasiokuwa na hatia.
Kwa upande wake Kaimu Mkoa wa Dar es Salaam,Shekh Walid Alhad Omar,amesema uhusiano wa Tanzania na Palestina ni wa siku nyingi hivyo na kuwataka watanzania kulaani kile kinachoendelea Palestina.
Sasa unakata Mawasiliano na nani wakati Hamas hawana Serikali inayotambulika?ni shasema tanzania na balozi zake zisikie ukipata matatizo hakuna watakalo kusaidia ukilinganisha na nchi zengine wakifanyiwa watu wao wanaweza kupeleka makomando au kukata diplomasia kabisa.
Hivi alienda kufanya nini Palestina?Habari wazalendo wa kitanzania. Video hii nimeipata IG kiukweli nina mixed emotions. Nina hasira na masikitiko makubwa kupita kiasi. Ewe mtanzania mzalendo wa nchi tuweke mbali udini etc ni kitu kilichoniumzia roho mno. Hii video inamuonyesha Joshua Mollel akitekwa na Hamas. All the deniers sijui nawasaidia vipi. Huyu alikuwa ndugu yetu. RIP Joshua. My heart bleeds kwa hii familia