Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono
Eti dogo kaenda kusoma sawa ila angalia script, kwanz walisema katekwa tangu oktoba 7.
Sasa angalia Kama ndio yeye alikuwa na baiskeli ,uliona wapi wapiganiji wa Hamas wakawa wazi wazi tena kipind cha tensiona kama haswa oktoba 14 ? Hao wanafunika nyuso zao.

Dogo kavaa boxer ya jeshi👇


20231217_180054.jpg



Hao ndio Hamas yaani wamevaa wazi hivyo?
20231217_174410.jpg
 
Baki home mTanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

hapo alikuwa yeye na rafiki yake ila kauliwa kwa kuwa ni yeye mweusi
 
Yupo kwa waisrael ndio mana ameuliwa hamas wanapambana dhidi ya waisrael na waisrael ni wao ni dhidi ya wapalestina
 
Hivi we mtanzania unayeyaunga mkono haya magaidi akili zinakutosha kweli, dah! Nimeumia sana maana nimefikiria ndo ningekuwa mimi eneo la tukio yasingeniacha hai haya ma mbwa.
 
Huyu mtanzania mwenzetu
1. Baba na mama wamepoteza mtoto who
2. Ndugu zake wamepoteza ndugu yao
3. Marafiki wamepoteza mtu wai
4. Pia taifa limepoteza nguvu kazi yake

Faizafox, kosa vitu vyote ila usikose ability. Mfamle Suleiman aliomba hekima. Ila no bora ukae kimya kuliko kutoa maelezo kitu usichokijua. Una roho ya kishetwani.

Mnaosema kuhusu kavaa boxer ya Jeshi. Zipo kariakoo kibao. Huu ni msiba wa mtanzania mwenzetu acheni kubeza ....
 
Maskini daah halafu kuna wapuuzi wanawasifia hamas
Hawa Magaidi wa Hamas wamesema hakuna mateka atabaki hai kama Israel haichi mashambulizi.

Na wanawatumia kama shinikizo na wanafanya hivi Ili Wazazi au Mataifa ambayo Yana mateka wake waishinikize Israel iache mapigano.

Ni mbinu za kikatili za vita na za kishenzi na waathirika no Hawa raia wasio na hatia.
 
Kama alikuwa Afisa Kificho je?
Kama, kama, kama, kama. Ushezi umefanyika mambo ya kama ni kuuhalalisha. Huyu mtu sababu za kuondoka TZ zinajulikana, kupotea kwake kulisambaa mitandaoni hakuna sababu ya kama kama kama ila kuna sababu ya kuulaani huo ushenzi.
 
Niliwahi kusema haoa kwamba Rais alipiga kura kuwaunga mkono Hamas kwa msukumo wa dini wengi mlitoka povu. Kuna video inasambaa ktk mtandao wa X inatisha sana. Moyo wangu unavuja damu mtanazania mwenzetu alitokea shambani na kibaiskeli chake maskini ya Mungu. Anakamatwa najitetea lkn haeleweki kisha anapigwa risasi alaf wanashangilia huku wakisema Alakh akbar.

Kijana mdogo anazimishwa ndoto zake na wajinga wachache alaf et leo Rais anapiga kura kuwatetea wauwaji. Rais Samia damu hii utaijibia... Ulishindwa kuzuia wasimuue lkn hata kulaani mauwaji ya watanzania wenzako umeshindwa? Badala yake umewaunga mkono wauwaji.

Video hyo inaogofya sidhani kama inafaa kuwa shared hapa. Kama unataka unaweza kuingia mtandao X imesambaa sana. Inatia huruma.

R.I.P mdogo wetu
Balozi wa Palestine nchini Tanzania Mh. Hamdi Mansour Abuali alimwe barua mara moja na kutimuliwa kama persona non grata

Balozi wa Palestina badala ya kwenda wizara ya mambo ya nje kutafuta kuungwa mkono na Tanzania anaamua kuugawa umma wa waTanzania kwa kwenda msikitini kuomba kuungwa mkono na sehemu ya jamii inayounda Tanzania.

Video hapa chini ikionesha Mh. Balozi Hamdi Mansour Abuali akiwa anafanya shughuli zinazohatarisha usalama wq nchi kinyume na mikataba ya Vienna protocol kuhusu kazi za balozi

View: https://m.youtube.com/watch?v=auOKnvgArZ8&pp=ygUSQmFsb3ppIHdhIHBhbGVzaW5h

Waarabu wanawachukulia kwa tahadhari kubwa wapalestina, lakini sisi waswahili tuna fuata mkumbo

BALOZI wa Palestina nchini Tanzania, Hamdi Mansour Abuali amewashukuru Watanzania wanaoendelea kupaza sauti zao kulaani mashambulizi ya makombora yanayofanya na Taifa la Israel katika Ukanda wa Gaza eneo la Palestina.
Balozi Abuali,ametoa shukrani hizo leo Jijini Dar es Salaam mbele ya Waumini mara baada ya swala ya kuombea amani katika nchi ya Palestina .

Aidha,Balozi Abuali,amesema mashambulizi hayo yamekuwa yakitoa roho za watu wasiokuwa na hatia.


Kwa upande wake Kaimu Mkoa wa Dar es Salaam,Shekh Walid Alhad Omar,amesema uhusiano wa Tanzania na Palestina ni wa siku nyingi hivyo na kuwataka watanzania kulaani kile kinachoendelea Palestina.

Huyu balozi aitwe wizara ya mambo ya nje kuonywa kuacha kukosoa sera za mahusiano kimataifa za Tanzania kutoingilia upande wowote, aache kutaka kuchochea maandamano.

Balozi huyu wa Palestina hajui mipaka yake ya kidiplomasia, muda mwingi anataka kutuamrisha kufanya mambo yasiyokwenda na sera za nchi yetu kimataifa za diplomasia ya kiuchumi, watalii waje wengi kupitia Tanzania Royal Tour, wawekezaji,

Anaweza kutimuliwa kutokana na mienendo yake isiyokuwa ya cheo cha balozi . Kule Chad balozi alitimuliwa kwa kufanya kazi sizizo za kibalozi.

Gov't of Chad orders Gordon Kricke to leave country within 48 hours for 'non-respect of diplomatic customs', ministry says.
Le Monde.fr
https://www.lemonde.fr › 2023/04/10
Chad expels German ambassador, blaming 'impolite attitude'

10 Apr 2023 — The German ambassador to Chad, declared persona non grata by the government for his "impolite attitude", was
 
Balozi Hamdi Mansour Abuali Hakulaani ugaidi wa Hamas, wala kuonesha masikitiko raia wa Tanzania wametekwa, ila kutumia mateka kama "zana" ya propaganda chafu.

Tanzania ni lazima kuwachukulia wa Palestina kwa tahadhari kubwa kama tunavyoona mataifa mengine ya kiArabu siyo wajinga kutowakumbatia hawa waPalestina kwa mikono miwili.
 
ni shasema tanzania na balozi zake zisikie ukipata matatizo hakuna watakalo kusaidia ukilinganisha na nchi zengine wakifanyiwa watu wao wanaweza kupeleka makomando au kukata diplomasia kabisa.
Sasa unakata Mawasiliano na nani wakati Hamas hawana Serikali inayotambulika?

Hiki hiki unachoona wanafanya Hamas ndicho wanafanya Israel Kwa Wapalestina wasio na hatia ,laiti wangekuwa wanafanya Kwa Hawa Hamas hakuna mtu angekuwa na shida.
 
Ngoja wapumbavu wa mbagala wavaa kanzu na kibagarashia kilichochakaa wanavokuja kutetea upumbavu,.

Ni wapumbavu pekee wanaoshabikia watu kuuwawa,mtoto wetu sio muisraeili ILa chakushangaza wanamuua kisa mkristo ukiambiwa Hamas ni magaid sio wapalestina

Chakushangaza Hamas wa mbagala wanavyoshabikia upumbavu ad wanaboa

Ningekua rais wa nchi hii dini ningeifuta rasmi nakuwaletea dini za matambiko
 
Habari wazalendo wa kitanzania. Video hii nimeipata IG kiukweli nina mixed emotions. Nina hasira na masikitiko makubwa kupita kiasi. Ewe mtanzania mzalendo wa nchi tuweke mbali udini etc ni kitu kilichoniumzia roho mno. Hii video inamuonyesha Joshua Mollel akitekwa na Hamas. All the deniers sijui nawasaidia vipi. Huyu alikuwa ndugu yetu. RIP Joshua. My heart bleeds kwa hii familia
Hivi alienda kufanya nini Palestina?
 
Back
Top Bottom