Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 3,751
- 6,337
Nadhani ulitaka kusema Adamu Mwangosi badala ya Azory Gwanda.Kiukweli kuhusu ile video mimi hata sijaona panapohitaji kusikitika naona jamaa amefariki fair tu kisitumiize kuona VIDEO ya MAUAJI yake tena naona ameuwawa kawaida sana walimuhurumia
Je umeshawahi kujiuliza mfano tungeona VIDEO ya MAUAJI ya ALPHONCE MAWAZO CHEMU tungejisikiaje nani alipaza sauti mawazo alipouwawa kule busanda?
Kupotea kwa BEN SAANANE nani aliyehoji aliko? Na serikali ilichukua hatua gani?
Kupigwa bomu kwa AZROY NGWANDA nani aliywajibishwa? Au kupaza sauti au hadi nao tungeona video zao
WATANZANIA TUACHE UNAFIKI LIKITOKEA NCHINI KWETU TUNAKUWA WAKIMYA YAKIWATOKEA WENGINE MNATOLEA MACHO
Ndiyo mkuuNadhani ulitaka kusema Adamu Mwangosi badala ya Azory Gwanda.
Wapumbavu sana LIKITOKEA kwa manzania alietanzania kuuliwa na mkoloni mweusi wanakaa kimya iwe wasanii iwe infuluencerWengi wa watanzania ni wanafiki na wajinga sana!
Kiukweli kuhusu ile video mimi hata sijaona panapohitaji kusikitika naona jamaa amefariki fair tu kisitumiize kuona VIDEO ya MAUAJI yake tena naona ameuwawa kawaida sana walimuhurumia
Je umeshawahi kujiuliza mfano tungeona VIDEO ya MAUAJI ya ALPHONCE MAWAZO CHEMU tungejisikiaje nani alipaza sauti mawazo alipouwawa kule busanda?
Kupotea kwa BEN SAANANE nani aliyehoji aliko? Na serikali ilichukua hatua gani?
Kupigwa bomu kwa AZROY NGWANDA nani aliywajibishwa? Au kupaza sauti au hadi nao tungeona video zao
WATANZANIA TUACHE UNAFIKI LIKITOKEA NCHINI KWETU TUNAKUWA WAKIMYA YAKIWATOKEA WENGINE MNATOLEA MACHO
Umekosea sana katika kujenga mada yako. Kuna fundisho kuwa huwezi kwenda juu kwa kumrudisha chini aliye juu, inabidi wewe upande juu zaidi yake. Kudharau kuuawawa kwa huyo kijana wa kitanzania huku akidhalilishwa kwa kupigwa video na hao maharamia ambao wamesababisha amani ivurugike siyo jambo la kawaida ni kukosa busara sana. Ni nani mwingine aliyeuwawa hivyo na watu wa namna hiyo. Ungetafuta lugha nzuri ya kuhoji Ben Saanane bila kuhusisha na unyama aliofanyiwa kijano huyo. Yaani unataka ku-downgrade ubaya aliofanyiwa mbele ya dunia ili kukuza unaoona wewe kuwa ndio ubaya zaidi ambao hakuna video ya kulinganisha bali speculations tu.Kiukweli kuhusu ile video mimi hata sijaona panapohitaji kusikitika naona jamaa amefariki fair tu kisitumiize kuona VIDEO ya MAUAJI yake tena naona ameuwawa kawaida sana walimuhurumia
Je umeshawahi kujiuliza mfano tungeona VIDEO ya MAUAJI ya ALPHONCE MAWAZO CHEMU tungejisikiaje nani alipaza sauti mawazo alipouwawa kule busanda?
Kupotea kwa BEN SAANANE nani aliyehoji aliko? Na serikali ilichukua hatua gani?
Kupigwa bomu kwa AZROY NGWANDA nani aliywajibishwa? Au kupaza sauti au hadi nao tungeona video zao
WATANZANIA TUACHE UNAFIKI LIKITOKEA NCHINI KWETU TUNAKUWA WAKIMYA YAKIWATOKEA WENGINE MNATOLEA MACHO
Google picha za ALPHONCE MAWAZO aliyouwawa kwenye nchi yake au yeye hakuwa mtoto wa mtu?Mtu wa hovyo sana wewe, if u imagine status ya mtoto wa watu in a foreign land, inasikitisha sana, that waa a very brutal death.
Nikusaidie kuleta picha za ALPHONCE MAWAZO?Umekosea sana katika kujenga mada yako. Kuna fundisho kuwa huwezi kwenda juu kwa kumrudisha chini aliye juu, inabidi wewe upande juu zaidi yake. Kudharau kuuawawa kwa huyo kijana wa kitanzania huku akidhalilishwa kwa kupigwa video na hao maharamia ambao wamesababisha amani ivurugike siyo j\ni jambo la kawaida ni kukosa busara sana. Ni nani mwewingine aliyeuwawa hivyo na watu wa namna hiyo. Ungetafuta lugh nzuri ya kuhuji ben saanana bila kuhusisha na unyama aliofanyiwa kijano huyo. Yaani unataka ku-downgrade ubaya aliofanyiwa mbele ya dunia ili kukuza unaona wewe kuwa ndio ubaya zaidi ambao hakuna video ya kulinganisha bali speculations tu.
Huyu aliuliwa na WATANZANIA wenzakeUmekosea sana katika kujenga mada yako. Kuna fundisho kuwa huwezi kwenda juu kwa kumrudisha chini aliye juu, inabidi wewe upande juu zaidi yake. Kudharau kuuawawa kwa huyo kijana wa kitanzania huku akidhalilishwa kwa kupigwa video na hao maharamia ambao wamesababisha amani ivurugike siyo j\ni jambo la kawaida ni kukosa busara sana. Ni nani mwewingine aliyeuwawa hivyo na watu wa namna hiyo. Ungetafuta lugh nzuri ya kuhuji ben saanana bila kuhusisha na unyama aliofanyiwa kijano huyo. Yaani unataka ku-downgrade ubaya aliofanyiwa mbele ya dunia ili kukuza unaona wewe kuwa ndio ubaya zaidi ambao hakuna video ya kulinganisha bali speculations tu.
Your level of stupid left me specheechlessTwo wrongs Don't make it right you stupid fuc..cker..
Una akili nyingi sana mpk nyingine zinamwagika mkuu....Hawa majamaa ni waongowaongo sana....ukishadanganya kwny baadhi ya mambo hata mengine utakayoyasema huko mbeleni yatakuwa yanatiliwa shaka maana ushajiwekea alama ya kwmba ww ni muongomuongo tuVideo ni kuzima sakata hili la kuwaua wale mateka wao wa3 ....Hili limewachafua sana mpaka wamekubali.
The first failed footage ni ile ya kulipua hospital walitoa footage wakidai ni mistake ya Hamas wakati wakirusha rocket ... Finally mabaki yalionyesha bomu limetoka USA na wao walitangaza kabla watashambulia ile tweet walifuta ila watu walikuwa nayo.
Je ni ipi dhamira yao kwa hiyo video ?
👉Dhamira yao ni kuleta kasumba ya ubaguzi wa rangi ambao lazima ilete taswira mbovu na kuwachafua HAMAS daima .
👇👇👇
View attachment 2845386
Acha unanzi wa kijinga mkuu,kwa shambulio lilofanyika October 7,watu wameuliwa zaidi ya 1300,wengine wamechukuliwa mateka na tension ya kujilinda ni kubwa,huo muda wa kufanya utambuzi haraka haraka ungewezekanaje?Nasikitika sana naungana na wazazi wa Joshua Mollel kuhusiana na kifo cha mtanzania mwenzetu..
Yapo maswali na sintofahamu nyingi na utata kuhusiana na taarifa za kifo cha Joshua ambapo si vibaya sisi kama watanzania tukahoji ingawa marehemu hatorudi lakini tusiwe ni kizazi cha kupokea tu bila kuhoji tutakuwa wajinga. Yapo mambo mawili ambayo yanahitaji ufafanuzi hapa.
Mosi huyu mtanzania mwenzetu tulipata taarifa kuwa amechukuliwa mateka na Hamas huko Gaza lakini leo tumeoneshwa hapa kuwa aliuwawa na Hamas nadhani tarehe 7.10.2923 ndani ya mipaka ya israeli.
Pili kama aliuwawa tangu tarehe 7.10.2023 kwanini serikali ya Israeli haikutoa taarifa ya kuuwawa kwake hadi leo walipotuletea hii clip?
Mwisho kabisa hii clip imekuja baada ya balozi wa palestina hapa nchini kuhojiwa na kituo cha radio cha clouds FM je kuna nini nyuma ya pazia? Naomba tujadili bila jazba wa mihemko.
Natoa Pole za dhati sana kwa familia ya Joshua Miller na watanzania wote kwa pamoja kwa kumpoteza Mtanzania mwenzetu.
Gaidi ni kipenzi cha roho yakoNini maana ya gaidi?
Kwa hiyoo kumuua mtanzania yule kumewapa uhuruuu??? Yani ile hamas israel itusaidie pabaki patupuuuu bila gaidi yeyote...Lengo lao watu wawachukie hamas wawaone kama wauaji
Ila watashindwa nampaka sasa washashindwa tayari
Pole kwa familia ya mollel pole zao sana sana sanaaa
Ila ukweli tutaendelea kusimama na hamas wapigania uhuru
Alivyouwawa mawazo ni speculations? Alivyouwawa Mwangosi ni speculations? Au kwakuwa mauji ya huko hayawahusishi watawala wa hapa basi mnataka kuonyesha mnachukia mauaji?Umekosea sana katika kujenga mada yako. Kuna fundisho kuwa huwezi kwenda juu kwa kumrudisha chini aliye juu, inabidi wewe upande juu zaidi yake. Kudharau kuuawawa kwa huyo kijana wa kitanzania huku akidhalilishwa kwa kupigwa video na hao maharamia ambao wamesababisha amani ivurugike siyo j\ni jambo la kawaida ni kukosa busara sana. Ni nani mwewingine aliyeuwawa hivyo na watu wa namna hiyo. Ungetafuta lugh nzuri ya kuhuji ben saanana bila kuhusisha na unyama aliofanyiwa kijano huyo. Yaani unataka ku-downgrade ubaya aliofanyiwa mbele ya dunia ili kukuza unaona wewe kuwa ndio ubaya zaidi ambao hakuna video ya kulinganisha bali speculations tu.
Kukua kwa kasi haimaanishi ndo dini ya kweli!Utakufa utauacha Uislam. Tena Dini inayokuwa kwa kasi. Unajiumiza bure tu. Hamtoweza kuifuta Dini hii tukufu.
Vitimbi vyenu havitashinda. Na Allah ni Mbora wa wenye kuweka mipango.
View attachment 2845513
Tamim al-Dari reported: The Messenger of Allah, peace and blessings be upon him, said, “This matter will certainly reach every place touched by the night and day. Allah will not leave a house or residence but that Allah will cause this religion to enter it, by which the honorable will be honored, and the disgraceful will be disgraced. Allah will honor the honorable with Islam, and he will disgrace the disgraceful with unbelief.”
Source: Musnad Aḥmad 16957
Namuomba Allah uwe miongoni mwa watu watakaopata neema ya kuingia katika Dini hii tukufu na kufa ndani yake. Ameen.
Ninyi mtusaidie tuu hayo maneno wanayotamka kwenye hiyo video kwa hilo lugha mnayotumia ninyi na majini mnayosema ni ya mnyaaaaanzi anayependa damu za watu kwa kuamrisha wafuasi wake wachinje wanyama na watu ili ile damu ainywe yeye. Hayo mengine tutamlilia Jehova shami atashugulika na huyu mpenda kafara za ddmu za watuUna uhakika gani km ameuwawa na hamas kama israel tu raia wake wamewauwa ile siku
Tumia akili shule ulienda kusomea nn?