Eddo Sambai
JF-Expert Member
- Aug 1, 2013
- 2,377
- 1,861
Nimeitazama hizo clip na bila shaka yeyote nasema ni haki kwa Izrael kuuwa Hamasi wote, Izrael inatakiwa ifagie Gaza yote usiache ata panya wala kuku hai.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeleta taarifa watu wajadili au unayo upande wako tena...mwanzo umesema tusilete ushabiki ila tayari umeshatoa hitimisho...ushabiki ni mbaya sana inapofusha.Mbinu za IDF kuzima Genocide ya Gaza hazitafanikiwa sehemu nyingi wameujua uwongo wao.
Sent using Jamii Forums mobile app
sijakuelewa mantiki ya kuniquote mkuuHamas na mfano wao mbona wanapingwa sana na Wanachuoni na Masheikh wanaofuata njia ya Salaf. Njia zao na misimamo yao Hamas na mfano wao inapingwa. Njia zao zisizofaa umeona zinavyosababisha madhara kwa waislam huko Palestine? Damu ngapi zimemwagika? Mali kiasi gani zimeharibiwa?
Kwa njia zao zisizofaa hao Hamas, mazayuni wanaitumia hiyo kama fursa ya kuwabamiza zaidi watu wanyonge wasio na hatia yoyote.
Allah awanusuru ndugu zetu wanyonge kabisa wasio na nguvu huko Palestina.
Aameen.
Unakusudia prophet yupi mkuu kuishi kwa amani?RIP Banu Nadir, RIP Khaibar, RIP Banu Qureysh. Ila unaonekana wewe kidogo una utu. Sijui about the prophet kuishi kwa amani
Mkuu siyo waarabu tu wabaguzi. Mtu mweusi anabaguliwa karibu pande zote za dunia.Waarabu ni wabaguzi sana kwa watu weusi, kwao mtu mweusi ni laana na si dhambi kumdhuru
Haukutakiwa kuwa na upande!NILIKUWA UPANDE WA HAMASA KWA KUSEMA KUWA WANATETEA ARDHI YAO ILA KWA UNYAMA HUU HAPANA KWA KWELI HAUKUBALIKI NA BADO SERIKALI YETU IPO KIMYA..
Endelea kupumzika Joshua
Mbona tunasikia kila siku wameua kiongozi wa Boko haram hao umaja wa mataifa.
Vichwa vyenu vina mlenda.BIBI HUNA AKILI KICHWA CHAKO KIMEJAA NYAA
So sad mijitu mikatii inamtumikia mungu wao allah!
cc:wavaa vipedo wote ,misuli na makobazi.waumini dini ya mnyazimungu
Ritz
FaizaFoxy
Alwaz
kimsboy
green rajab
haya leta na kipande cha pili.
Kashindwa mjomba wa Mungu wenu kwa miaka 75 sasa akisaidiwa na mabwana zake, utaweza wewe?ua hamasi wote afu uje uue israel wote
Hamas Wanaongoza Serikali ipi?
KabisaHuyo allah si ndio mpumbavu mwenzao anayesukuma kufanya haya
Safi sana Mimi Nilikuwa na upande sio kwa kigezo cha Dini maaana nilishaachana na mambo ya dini kitambo, Ni kwa kigezo cha kihistoria kwa hiyo nikaona huenda wanamuonea lakini hata kama kaonewa haikuwa sawa na yeye kuoneaHaukutakiwa kuwa na upande!
Endelea kuwa upande wa mungu asie kuwa na upande wowote katika hao wanaopigana!!
Falsafa ya Dini hizi ndio falsafa iliyoua watu wengi zaidi Duniani!
Wenye akili hawana upande wanajua upande no kifo Cha kujitakia!!
Mungu atusaidie kuepukana na hisia Kali kuelekea falsafa hizi!!!
Mbna unaongea kwa uchungu sana kijana wa kizayuniGaza imesambaratika wakamatie nini sasa?gaza imebaki magofu mpk sasa
Mnapigania uhuru toka mwaka 1948 mpk leo,miaka yote hio,kazi imewashinda hio,kuweni watumwa tu
Leta evidence wewe si umesema ni Hamas..kuna media kubwa imeripot mpaka sasa na media zote zipo kweny mda wa kutoa taarifa haraka.Leta evidence, sio habari za Vijiwe vya lumumba