Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono

View: https://youtu.be/rVL1AnPq6vs?si=IchVSHQ3UejoNnOT


View: https://youtu.be/DTK04bjiWbQ?si=yCujC1T6cRd-Oic2

Hizo link zite zinaonyesha hao Hamas wakivuka kuingia Israel kufanya mauaji na kuchukua mateka. Sasa kama hawakuwahi kuingia Israel wale mateka 200+ waliwapataje? Hivi mnafikiria sawasawa kweli nyie?

Angalia kwanza walivyovaa ,just spot the difference na kwa pembeni kuna mtu na demu wake wanatembea ,tumia akili sana utaelewa.
Screenshot_20231218-061940.png
 
Nemda youtube zipo video kibao zinaonyesha wakati wamaenda kufanya uvamizi Israel Oct 7 walikua wanajirekodi hawajavaa mask. Walikua kwenye magari yao wamebeba silaha zao. Nenda zile video zipo huko kitambo hawavai mask.

Kuhusu dogo kuvaa boxer ya jeshi sijui kinachokushangaza ni nini kwa sababu hizo hata huku mtaani zipo nyingi tu. Acheni kuutetea ugaidi imagine ni mdugu yako wa damu amafanyiwa ivyo utatetea kwa sababu ni dini yako?
Hamas sio rahisi kwa vile mziki wa Umoja wa mataifa anaujua ,hawezi kufanya ujinga huo maana itakuwa ndio mwisho wao.
 
Hapa kuna maswali muhimu machache tu, Kwanza kuna chombo au family waliothibitisha kuwa anayeonekana kwenye video ndio mtoto wao? video hii nani ameitoa? je kwanini leo sio Oct? je mwili wa marehemu uko wapi? ukitoa haya maswali. Mimi binafsi kwa uchunguzi wangu na vyanzo vyangu tumeangalia hii video lakini matamshi ay lafudhi ni ya watu wa North African na imelengwa lile tukio lilitokea Libya na sio Israel. Gaddafi askari wake wengi aliajiri kutoka nchi za African kama Chad na Niger na baada ya kuuliwa ikawa wale jamaa wa Benghazi na hasira na mamluki hawa wa Chad na Niger wakawa wanawauwa baada ya kuwa wanakimbia. Hasira hizi ni kwa kuwa walikuwa watiifu sana kwa Gadaffi na walikuwa na power sasa ikawa kama kisasi. Kikubwa wahusika waje waseme anayeonekana ni mtoto wao au sio? kwa maoni yangu wale ni askari wa Libya waasi, kwa maneno na mavazi yao ni waasi wa Libya kutoka Beghazi.
Kwahiyo wewe ndiye unamjua vizuri Mtoto wao? Waziri Makamba kathibitisha ameuwawa wewe ni nani unapinga?
 
Ila wewe ukifa wakuchomeke mjiti wa fagio matakoni ..........kwani Israel ndio ilioanzisha vita hiyo October 7??
Ugomvi wa palestina na Israeli haujaanza tarehe 7 October labda kama wewe ni mtoto mdogo usiyejua lolote.
 
Kwahiyo wewe ndiye unamjua vizuri Mtoto wao? Waziri Makamba kathibitisha ameuwawa wewe ni nani unapinga?
Mimi kama wewe tu. Hivi huwa mnasoma mnaelewa au huwa mnajibu halafu ndio unasoma swali. Mimi sijasema hajauliwa maana taarifa imetolewa na Israel. Nimeuliza kwenye ile video inayosambazwa je ni yeye kwenye ile video? Siaona kauli ya wana Family kuthibitisha huyu anayeonekana kwenye video ni kweli mtoto wetu, ndio maswali yangu sijakana kuwa amefariki. Majibu au maswali ya Serikali kujibu alienda kule kufanya nini? chuo gani? na ilikuwaje akawa kwenye maeneo ya settlers kwenye mpaka na Ghaza sehemu hatari, yako maswali mengi au alikuwa anafanya kazi pale?
 
Kwahiyo wewe ndiye unamjua vizuri Mtoto wao? Waziri Makamba kathibitisha ameuwawa wewe ni nani unapinga?
Ameuliwa? yes kwa mujibu wa Serikali na naamini, ile video ni yeye? sijasikia kuthibitishwa na serikali wala ndugu. Mimi nasema ile video ni propaganda sababu ni ya Libya ilitokea.
 
Swali la msingi. Kwanini Hamas wamuue mtz.
Maswali ya kwanini Hamas wamuuwe yanatatizwa na hiyo clip iliyotolewa kwahiyo hatuwezi ku conclude moja kwamoja kuwa waliohusika ni Hamas. Hamas ndio walijirecord wakawapa Israeli hii clip?
 
Hamas sio rahisi kwa vile mziki wa Umoja wa mataifa anaujua ,hawezi kufanya ujinga huo maana itakuwa ndio mwisho wao.
Hamas anaujua mziki wa umoja wa mataifa kuliko Israel anayetengeneza video kila siku. Kila proof mnayoletwa mnasema ni staged kwakua mmeamua kuamini upande fulani.
 
Watz tuache unafiki. Kujifanya kuumizwa kwasababu aliyeuwawa ni mtz huo ni unafiki. Mtu mkweli analaani mauwaji ya binadamu yoyote yule.
 
Hamas anaujua mziki wa umoja wa mataifa kuliko Israel anayetengeneza video kila siku. Kila proof mnayoletwa mnasema ni staged kwakua mmeamua kuamini upande fulani.
Kafanywa nn tangu alipue hospital ,kauwa mateka wake watatu juzi , kaua waandishi wa habari .

Kammaliza wana diplomasia wa ufaransa wamemfanya nn hata tamko basi.
20231217_154407.jpg
 
Nchi 14 barani Afrika zimeiondoa Israel kwenye Umoja huo AU.

Nchi zilizokubali uamuzi wa kuiondoa Israel kwenye muungano huo ni; South Africa, Tunisia, Eritrea, Senegal, Tanzania, Niger, Archipelago ya Qamar, Gabon, Nigeria, Zimbabwe, Liberia pamoja na Seychelles.

Hizo nchi zote viongozi wake ni Waislam?
Ndio , na Wana matatizo
 
Back
Top Bottom