Nimeitazama hizo clip na bila shaka yeyote nasema ni haki kwa Izrael kuuwa Hamasi wote, Izrael inatakiwa ifagie Gaza yote usiache ata panya wala kuku hai.
 
sijakuelewa mantiki ya kuniquote mkuu
 
RIP Banu Nadir, RIP Khaibar, RIP Banu Qureysh. Ila unaonekana wewe kidogo una utu. Sijui about the prophet kuishi kwa amani
Unakusudia prophet yupi mkuu kuishi kwa amani?
 
Waarabu ni wabaguzi sana kwa watu weusi, kwao mtu mweusi ni laana na si dhambi kumdhuru
Mkuu siyo waarabu tu wabaguzi. Mtu mweusi anabaguliwa karibu pande zote za dunia.

Ni sisi tu waafrika hatujitambui. Yaan tunaona Kama waarabu ndugu zetu, waisrael ndugu zetu, machina ndugu zetu, wazungu ndugu zetu.

Lakini wao hawatuchukulii hivyo, wanatuona Kama takataka.
Inasikitisha Sana.
 
NILIKUWA UPANDE WA HAMASA KWA KUSEMA KUWA WANATETEA ARDHI YAO ILA KWA UNYAMA HUU HAPANA KWA KWELI HAUKUBALIKI NA BADO SERIKALI YETU IPO KIMYA..

Endelea kupumzika Joshua
Haukutakiwa kuwa na upande!

Endelea kuwa upande wa mungu asie kuwa na upande wowote katika hao wanaopigana!!

Falsafa ya Dini hizi ndio falsafa iliyoua watu wengi zaidi Duniani!

Wenye akili hawana upande wanajua upande no kifo Cha kujitakia!!

Mungu atusaidie kuepukana na hisia Kali kuelekea falsafa hizi!!!
 
Terrorist sympathizer kama Sheikh ponda ni wa kum-terminate , watu kama hawa ni virus 🦠 kwenye jamii huwezi kuona vitu kama hivi bado ukawatetea MAGAIDI WAPALESTINA
 
BIBI HUNA AKILI KICHWA CHAKO KIMEJAA NYAA
Vichwa vyenu vina mlenda.

Huyo na yule wa kwanza mlisema ni mateka wa Hamas?

Mlikuwa mnadanganya au mlidanganywa na wajomba wa mungu wenu?
 
Safi sana Mimi Nilikuwa na upande sio kwa kigezo cha Dini maaana nilishaachana na mambo ya dini kitambo, Ni kwa kigezo cha kihistoria kwa hiyo nikaona huenda wanamuonea lakini hata kama kaonewa haikuwa sawa na yeye kuonea
 
Gaza imesambaratika wakamatie nini sasa?gaza imebaki magofu mpk sasa

Mnapigania uhuru toka mwaka 1948 mpk leo,miaka yote hio,kazi imewashinda hio,kuweni watumwa tu
Mbna unaongea kwa uchungu sana kijana wa kizayuni
Hamas pigeni kazi
 
Waarabu kwa asili ni wanafiki, tume-wasupport sana lakini kwenye vita vya Kagera wakatusaliti …wakampa msaada wa kijeshi IDD AMIN … Tanzania hatuna mahusiano mazuri na Israel hata ubalozi hawana nchi hii lakini leo hii HAMAS wanawaua wa-kwetu kama mbwa ifike wakati sasa tuachane na hawa waarabu wasio na shukrani MUNGU mwenyewe hayuko upande wao sisi ni kina nani?
 
Leta evidence, sio habari za Vijiwe vya lumumba
Leta evidence wewe si umesema ni Hamas..kuna media kubwa imeripot mpaka sasa na media zote zipo kweny mda wa kutoa taarifa haraka.

Sio wajinga kama uwezo wa akili yako mpaka wathibitishe kwanza,usiwe unaropoka tu .!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…