Ukiangalia hiyo video kijana akijitete mbele ya hao mbwa lakini bado wakamchoma visu na risasi kichwani inauma sana… acha na wao wapotezwe , GAZA HAPATAKUA NA AMANI ni mwendo wa mateso mwanzo mwisho.
 
Wapo humu wamekosa utu wa kumtetea mweusi mwenzao wako bize kutetea mabwana zao kisa dini
 
Nenda kaulize wizara ya mambo ya nje huu utoko wako
 
Hao Waisrael nao hawawezi kukwepa lawama.

Ilikuwaje hao askari wao wazembe na pia mifumo yao ya kiulinzi, na ambayo miaka nenda wamekuwa wakiisifia kuwa ni ya kisasa kushindwa kuwabaini/kuwazuia hao maadui zao wa Hamas; kiasi cha kuwavamia na kusababisha mauaji ya mamia ya watu wasio na hatia? Tena saa 12 asubuhi!!
 
halafu we mpuuzi SI ulikuwa unawatetea hao Hamas??Sasa ndo ujue Israeli inaishi na watu wa namna Gani!!mbwa wewe
Hammas wamefika hapo Kwa sababu za dhuluma za hao Wayahudi unaowatetea ndio hasira wanahamiahia Kwa Kila mtu.

Kuna Jamaa amesema walikuwa wanamwambia dogo atamke maneno ya kutukuza Hammas/Uislamu ila Kwa kuwa hajui lugha wakaona labda ni kiburi wakamuua kikatili.
 
Sio waislam ni mamumiani. Sasa bi. Tozo naye kiongozi?
 
Si mlisema kashikwa mateka?

Hao wanaweza kuwa mazayuni wametengeneza senema hiyo baada ya kumuuwa, wakajidai eti kauliwa na Waarabu.

Hollywood hiyo.
Wewe udini umekuingia Hadi umekupumbaza.

Ndio maana dini ya kiislamu inaonekana ni ya kigaidi kwa majuha kama wewe.
 
Moderator unganisheni hii mada ya kijinga na mada Ile ya mwanzo

Maxence Melo pls unganisha huu upuuzi kwenye mada zingine hatuhitaji mada za kijinga kama hizi zinafanya jamiiforum ionekane hakuna watu wenye Akili
Akili za wasomi wa Madrasa kuu pale MUM. Umefurahia kijana mdogo tena aliyekuwa anatoka shambani akiwa na kibaiskeli chake kukatizwa ndoto zake na yale Magaidi kisa tu bwana wenu muarabu kafanya hivyo? Pathetic usiwapangie mods wa JF. Kama hutaki hizi habari na sisi kutoa machungu yetu, nenda kasome hadith Idadi 16,245 Mkuu hapo Madrasa. Usitupangie vya kujadili. Hatupo msikitini hapa.
 
Wewe naona hujaona clip za Oct 7. Wathailand wameuwawa wengi tu. Anaetaka kuona nenda hamas-massacre.net
 
Halafu majamaa nguvu nyingi akili kisoda. Kila mtu anaongea ni makelele mtindo mmoja. Mtu anajiteteaje.
 
Nimefuatilia kwa umakini wa hali ya juu sana clip inayoonesha,kijana wa Kitanzania ndugu Joshua Mollel (Mmasai)akiuawa kinyama na watu wanaoaminika ni Waarabu wa kipalestina.............Marehemu alikuwa Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza kutoka chuo kikuu cha kilimo cha Sokoine (SUA).

Hali ya kushangaza kwa nchi yetu ni kuwa hakuna kiongozi yoyote wa serikali, aliyejitokeza kupinga huu uharamia unaofanywa na Hawa Waarabu juu ya kijana,ndugu na damu yetu kabisa Ndugu Mollel..........Ebu jiulize kama ndugu yako ndio angekutwa na hili dhahama ungejisikiaje???

Miaka ya nyuma Kuna Mbongo aliuawa China kwa sababu ya Unga lakini WaNigeria walifunga barabara kwa siku nzima mpaka Waziri wa mambo ya nje alipokuja kuwaomba msamaha..........Ndugu zetu wengi wa Africa uwa hawapendi ujinga linapokuja suala la kijana wa damu yao kuuawa namna Ile

Serikali kama inashindwa kutoa tamko, sisi kama wazalendo wa Taifa hili, tutakwenda kuifunga Ile balozi ya Palestina kwa nguvu yoyote Ile maaana hatuwezi vumilia huu upumbavu ata siku moja

#PalestinaFuckYou
 
Leta hiyo video acha mbwembwe wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…