Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini Mamlaka ya Palestine Haina Jeshi ila hao Hammas ni kikundi Cha Kisiasa na Jeshi so unategemea Serikali ya Ramalah itawafanyaje Sasa na wao ndio wengi licha ya kutotambulika Kimataifa
Wapo humu wamekosa utu wa kumtetea mweusi mwenzao wako bize kutetea mabwana zao kisa diniDaah halafu kuna mpuuzi anasema usikute ni wazayuni eti wametengeneza hii. Mtoto wa watu hana silaha yoyote amewekwa mtu kati na watu wenye silaha zao wanaongea lugha yawezekana hata haelewi wakaamua kumu execute.
Kuna watu wamejawa roho za kikatili, kinyama, kiuwaji na hawastahili katika ulimwenfu tuliopo binadamu.
Nenda kaulize wizara ya mambo ya nje huu utoko wakoTumia akili shule ulienda kusomea nn?
Walitekwa wote wawili ,swali mwili wa kwanza wa clemence Mtega waliupataje ? Huyu nae wanadai kauliwa na kachukuliwa na Hamas !?
Hao Hamas wakae na maiti pia tungewabana maiti ya kwanza wameipataje si wamesema katekwa.
Kwa hiyo ww ndo utafanya uchunguzi dhidi ya hao unao waita magaidi?
Hammas wamefika hapo Kwa sababu za dhuluma za hao Wayahudi unaowatetea ndio hasira wanahamiahia Kwa Kila mtu.halafu we mpuuzi SI ulikuwa unawatetea hao Hamas??Sasa ndo ujue Israeli inaishi na watu wa namna Gani!!mbwa wewe
Halafu we jamaa inaonekana upo upande wa magaidi.Wewe tena uyo aliyefariki alipaswa kuwa mtoto wako
Sio waislam ni mamumiani. Sasa bi. Tozo naye kiongozi?Nchi 14 barani Afrika zimeiondoa Israel kwenye Umoja huo AU.
Nchi zilizokubali uamuzi wa kuiondoa Israel kwenye muungano huo ni; South Africa, Tunisia, Eritrea, Senegal, Tanzania, Niger, Archipelago ya Qamar, Gabon, Nigeria, Zimbabwe, Liberia pamoja na Seychelles.
Hizo nchi zote viongozi wake ni Waislam?
Wewe udini umekuingia Hadi umekupumbaza.Si mlisema kashikwa mateka?
Hao wanaweza kuwa mazayuni wametengeneza senema hiyo baada ya kumuuwa, wakajidai eti kauliwa na Waarabu.
Hollywood hiyo.
Anafuata mkumbo tu Hana lolote analolijua.Sio waislam ni mamumiani. Sasa bi. Tozo naye kiongozi?
Akili za wasomi wa Madrasa kuu pale MUM. Umefurahia kijana mdogo tena aliyekuwa anatoka shambani akiwa na kibaiskeli chake kukatizwa ndoto zake na yale Magaidi kisa tu bwana wenu muarabu kafanya hivyo? Pathetic usiwapangie mods wa JF. Kama hutaki hizi habari na sisi kutoa machungu yetu, nenda kasome hadith Idadi 16,245 Mkuu hapo Madrasa. Usitupangie vya kujadili. Hatupo msikitini hapa.Moderator unganisheni hii mada ya kijinga na mada Ile ya mwanzo
Maxence Melo pls unganisha huu upuuzi kwenye mada zingine hatuhitaji mada za kijinga kama hizi zinafanya jamiiforum ionekane hakuna watu wenye Akili
Hata wao wanaona aibu, hapa wanajitekenya tu ila moyoni mambo mabaya sanaAcheni ujinga HAMAS wamemuua yule Mtanzania kinyama!
Leta hiyo video acha mbwembwe wewe!Niliwahi kusema haoa kwamba Rais alipiga kura kuwaunga mkono Hamas kwa msukumo wa dini wengi mlitoka povu. Kuna video inasambaa ktk mtandao wa X inatisha sana. Moyo wangu unavuja damu mtanazania mwenzetu alitokea shambani na kibaiskeli chake maskini ya Mungu. Anakamatwa najitetea lkn haeleweki kisha anapigwa risasi alaf wanashangilia huku wakisema Alakh akbar.
Kijana mdogo anazimishwa ndoto zake na wajinga wachache alaf et leo Rais anapiga kura kuwatetea wauwaji. Rais Samia damu hii utaijibia... Ulishindwa kuzuia wasimuue lkn hata kulaani mauwaji ya watanzania wenzako umeshindwa? Badala yake umewaunga mkono wauwaji.
Video hyo inaogofya sidhani kama inafaa kuwa shared hapa. Kama unataka unaweza kuingia mtandao X imesambaa sana. Inatia huruma.
R.I.P mdogo wetu