streetsdisciple
Member
- Dec 24, 2022
- 9
- 1
Na wewe acha unafiki, kwani Hamas walivoanzisha mashambulizi kwa kurusha mabomu hakuna watoto wa Israel waliokufa?? Kwaio watoto wa palestina ndo Wana Haki tu ya kuishi..acha chuki kisa dini mzeeHuu unafiki mnaounesha hapa mngekuwa mnaumia kwa wale watoto wanaupigwa mabomu na israeli kule Gaza ningewaelewa sana.
Kwani wazayuni wanaoua wapalestina kila siku wapo sawa si ndio ? pumbavu weweNa wewe acha unafiki, kwani Hamas walivoanzisha mashambulizi kwa kurusha mabomu hakuna watoto wa Israel waliokufa?? Kwaio watoto wa palestina ndo Wana Haki tu ya kuishi..acha chuki kisa dini mzee
nenda kawasaidie basi,unalalamika hapa JF ILI IWEJEWameuawa wengi tu na wengine kutoka Africa kusini, na nchi zingine za kiafrika, The Philipines, Cambodia, Canada. Waisrael wanaijua vizuri Gaza, West bank etc. Hawahitaji wapelelezi kaka. Rejea history kama umekwenda shule kidogo ya Elimu dunia. Kama umeenda ya Quraan....pole
Na wewe unafanyaje hapa? Unaongea pumba fala wewe.nenda kawasaidie basi,unalalamika hapa JF ILI IWEJE
Huyo mjinga fulani hivi asiye na majukumu yoyote, wengi humu ni watoto wa sekondari bado akili zao haziwasaidii.Samia, ambaye ni muislam alikusanya hawa watoto, akaingia makubaliano na serikali ya Israel, akawatuma kwa niaba ya Watanzania wakasome kilimo ili warudi hapa waboreshe technolojia ya kilimo. hakuna mgalatia aliwatuma hawa watoto. labda kama mlipanga kuwatoa kafara, na ndio maana hamna hata uchungu nao. manyemaza kimyaaa.
Panua ubongo uongee kama mtu mzima anayejielewa kuliko kuongea kama mtoto anayetunzwa na wazazi nyumbani.Mkome kwenda kujipendekeza Israel manina zenu.
Pelekeni wanafunzi wengine tena wakaliwe vichwa. Mamaee
Akili ya kitumwa southafrica kaipeleka israel icc nayo ni maskini israel kawalisha sumu wakristo ujinga mtupundiyo maana Tanzania ni maskini hata leo
Wsamehe waliotoka povu , lakini mpaka sasa wanatoka povu wanataka proff, mara wanauliza ooh Mgaiadi ya kislamu ya Hamas yaliuweka mwili kwenye friji au ilikuwaje, in short Supportes wa Magaidi ya kislamu ya Hamas hayana tofauti na Hamas.Niliwahi kusema haoa kwamba Rais alipiga kura kuwaunga mkono Hamas kwa msukumo wa dini wengi mlitoka povu. Kuna video inasambaa ktk mtandao wa X inatisha sana. Moyo wangu unavuja damu mtanazania mwenzetu alitokea shambani na kibaiskeli chake maskini ya Mungu. Anakamatwa najitetea lkn haeleweki kisha anapigwa risasi alaf wanashangilia huku wakisema Alakh akbar.
Kijana mdogo anazimishwa ndoto zake na wajinga wachache alaf et leo Rais anapiga kura kuwatetea wauwaji. Rais Samia damu hii utaijibia... Ulishindwa kuzuia wasimuue lkn hata kulaani mauwaji ya watanzania wenzako umeshindwa? Badala yake umewaunga mkono wauwaji.
Video hyo inaogofya sidhani kama inafaa kuwa shared hapa. Kama unataka unaweza kuingia mtandao X imesambaa sana. Inatia huruma.
R.I.P mdogo wetu
Wewe ni mpumbavu sana ,unajua Lords resistance army ya Joseph Kony pale Uganda walifanya mambo gani wakati wanapambana na Museveni ? ,Ile si ilikuwa taasisi ya kikristo ?Mifano yako iko IRRELEVANT kabisa na hoja yangu. Je, umeshawahi kusikia Taasi yoyote ya Dini za Kikristo zinamiliki Makundi ya Mauaji kama vile Al-Qaeda, Boko-Haram, Al-Shabab, Houth, IS, ISIS na makundi mengine yanayofanana na hayo??? Je, unaweza ukayataja Makundi ya namna hii yanayomilikiwa na Kanisa Katoliki hapa duniani?
Kwa hiyo Watoto wa Israel wakiuliwa na Hamas inahalalisha na Israel kuua watoto wa Palestine? Yaani wakristo mnawachukia Waislam kwa kias hicho kwamba yoyote anayepigana na Muislam mna-side nae regardless anafanya makosa au lah?Na wewe acha unafiki, kwani Hamas walivoanzisha mashambulizi kwa kurusha mabomu hakuna watoto wa Israel waliokufa?? Kwaio watoto wa palestina ndo Wana Haki tu ya kuishi..acha chuki kisa dini mzee
Sawa sio Hamas alijiuaHawa wanaomsukubu huyo kijana siyo Wapalestina. Siyo Waarabu. Hao ni Wayahudi. Waangalie vizuri.
Mkuu ww huna busara yoyote, Bali unaweza kuandika tu kwa usahihi na kuweka paragraph. Ni hivi watu wameuwawa hapo Zanzibar kwenye uchaguzi ili ccm iendelee kusalia madrakani, na ushahidi wa hayo upo. Sikuona busara zako kwenye mauaji Yale, Sasa Leo unapata wapi nguvu za kutaka kuonyesha una busara? Acha utapeli usio na tija boss.
Wapigwe tu, wawe watoto, si ndiyo hao wakikuwa wanavamia kule Israel? Wapigwe hao wanawake wanaojifunga mabomu kujilipua, na hao wazee wasio na adabu, wapigwe wote. Safari hii watakoma.Issue sio video imetoka lini, issue ni wewe umeiona lini kwani una hakika hii video imetoka jana???
Huhitaji akili ya zaida kujua hawa ni watu gani, kuanzia muonekano mpaka lugha sema tu kama umeamua kukaza fuvu , kitu ambacho siwezi kuzuga kuwa hawa sijui wakina nani ilhali we fika unaona ni HAMAS
hawa mbwa wapigwe mpaka wachakae kudadeki zao
KWa majibu haya tutegemee lolote kutoka kwako kwa damu isiyo na hatia ya joshua mollelMkome kwenda kujipendekeza Israel manina zenu.
Pelekeni wanafunzi wengine tena wakaliwe vichwa. Mamaee