streetsdisciple
Member
- Dec 24, 2022
- 9
- 1
Na wewe acha unafiki, kwani Hamas walivoanzisha mashambulizi kwa kurusha mabomu hakuna watoto wa Israel waliokufa?? Kwaio watoto wa palestina ndo Wana Haki tu ya kuishi..acha chuki kisa dini mzeeHuu unafiki mnaounesha hapa mngekuwa mnaumia kwa wale watoto wanaupigwa mabomu na israeli kule Gaza ningewaelewa sana.