Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono
Huu unafiki mnaounesha hapa mngekuwa mnaumia kwa wale watoto wanaupigwa mabomu na israeli kule Gaza ningewaelewa sana.
Na wewe acha unafiki, kwani Hamas walivoanzisha mashambulizi kwa kurusha mabomu hakuna watoto wa Israel waliokufa?? Kwaio watoto wa palestina ndo Wana Haki tu ya kuishi..acha chuki kisa dini mzee
 
Israel ni war zone , unapoenda pale jua umeenda uwanja wa vita ,na vita haina macho
Nawashangaa wanaopiga kelele humu
Fools
Hivyo vifo ni collateral damage na sio watz tu ndio wamekufa ,mataifa mengine pia wamekufa na wapalestina wanaendelea kufa
 
Na wewe acha unafiki, kwani Hamas walivoanzisha mashambulizi kwa kurusha mabomu hakuna watoto wa Israel waliokufa?? Kwaio watoto wa palestina ndo Wana Haki tu ya kuishi..acha chuki kisa dini mzee
Kwani wazayuni wanaoua wapalestina kila siku wapo sawa si ndio ? pumbavu wewe
Au huu mgogoro umeanza kufuatilia October 7
Kenge we
 
Wameuawa wengi tu na wengine kutoka Africa kusini, na nchi zingine za kiafrika, The Philipines, Cambodia, Canada. Waisrael wanaijua vizuri Gaza, West bank etc. Hawahitaji wapelelezi kaka. Rejea history kama umekwenda shule kidogo ya Elimu dunia. Kama umeenda ya Quraan....pole
nenda kawasaidie basi,unalalamika hapa JF ILI IWEJE
 
Samia, ambaye ni muislam alikusanya hawa watoto, akaingia makubaliano na serikali ya Israel, akawatuma kwa niaba ya Watanzania wakasome kilimo ili warudi hapa waboreshe technolojia ya kilimo. hakuna mgalatia aliwatuma hawa watoto. labda kama mlipanga kuwatoa kafara, na ndio maana hamna hata uchungu nao. manyemaza kimyaaa.
Huyo mjinga fulani hivi asiye na majukumu yoyote, wengi humu ni watoto wa sekondari bado akili zao haziwasaidii.
 
Huu mgogoro ukiangalia kwa angle ya uhafidhina na unazi wa kidini kama wakristo wengi wanavyofanya, utakuwa unajipa ukichaa na uwendawazimu na utaishia kupotoka na kupotosha watu.

Yaani hao raia wawili ni tone ndani ya bahari kwa dhahama ambayo imekuwa involved miaka 75 hii ya vita isiyoisha kati ya wazayuni na palestinians .

Mtalalama na mtanena kwa lugha sana lakini hamna litakalobadilika
Issue ni kwamba ukae ukijua unapoenda Israel ile ni uwanja wa mapambano ,maisha yako ni jukumu lako .

Wajibika ,ni sawa na leo hii itoke hapa uende ka zuzu kule kivu -Congo wakati ile ni sehemu ambayo vita ni endelevu na massacres ni sehemu ya maisha ya kila siku pale, halafu ukifumuliwa ubongo ulaumu .

Hamna wa kulaumiwa hapo , unapoingia uwanja wa mapambano unawajibika ,kiufupi umeamua kuyatimba ,its your business
 
Niliwahi kusema haoa kwamba Rais alipiga kura kuwaunga mkono Hamas kwa msukumo wa dini wengi mlitoka povu. Kuna video inasambaa ktk mtandao wa X inatisha sana. Moyo wangu unavuja damu mtanazania mwenzetu alitokea shambani na kibaiskeli chake maskini ya Mungu. Anakamatwa najitetea lkn haeleweki kisha anapigwa risasi alaf wanashangilia huku wakisema Alakh akbar.

Kijana mdogo anazimishwa ndoto zake na wajinga wachache alaf et leo Rais anapiga kura kuwatetea wauwaji. Rais Samia damu hii utaijibia... Ulishindwa kuzuia wasimuue lkn hata kulaani mauwaji ya watanzania wenzako umeshindwa? Badala yake umewaunga mkono wauwaji.

Video hyo inaogofya sidhani kama inafaa kuwa shared hapa. Kama unataka unaweza kuingia mtandao X imesambaa sana. Inatia huruma.

R.I.P mdogo wetu
Wsamehe waliotoka povu , lakini mpaka sasa wanatoka povu wanataka proff, mara wanauliza ooh Mgaiadi ya kislamu ya Hamas yaliuweka mwili kwenye friji au ilikuwaje, in short Supportes wa Magaidi ya kislamu ya Hamas hayana tofauti na Hamas.
 
Mifano yako iko IRRELEVANT kabisa na hoja yangu. Je, umeshawahi kusikia Taasi yoyote ya Dini za Kikristo zinamiliki Makundi ya Mauaji kama vile Al-Qaeda, Boko-Haram, Al-Shabab, Houth, IS, ISIS na makundi mengine yanayofanana na hayo??? Je, unaweza ukayataja Makundi ya namna hii yanayomilikiwa na Kanisa Katoliki hapa duniani?
Wewe ni mpumbavu sana ,unajua Lords resistance army ya Joseph Kony pale Uganda walifanya mambo gani wakati wanapambana na Museveni ? ,Ile si ilikuwa taasisi ya kikristo ?

Unaijua IRA (Irish republican Army) ya Ireland wakati wanaendesha mapambano ya kiharakati na mlengo wa kidini dhidi ya serikali ya Uingereza mpaka leo hii ?
Unajua ni tactics gani walizokuwa wanatumia ?
Tactics za IRA na Hamas zina tofauti gani ?
Unawajua Neonazis na klux klax clan (Right wing Chrisian groups ) pale Marekani ambao wana indoctrinate watu kufanya mass shooting na kuua watu kila siku pale Marekani na matukio kama Thimothy Mcgveigh aliyefanya bombing ya kule Oklahoma -USA ?

Mpuuzi sana wewe ,jaribu kuwa unafuatilia mambo ulimwenguni humu na uache kuendeshwa na mihemko na udumavu wa kifikra iliyopandikizwa na viongozi wako wa dini
 
Na wewe acha unafiki, kwani Hamas walivoanzisha mashambulizi kwa kurusha mabomu hakuna watoto wa Israel waliokufa?? Kwaio watoto wa palestina ndo Wana Haki tu ya kuishi..acha chuki kisa dini mzee
Kwa hiyo Watoto wa Israel wakiuliwa na Hamas inahalalisha na Israel kuua watoto wa Palestine? Yaani wakristo mnawachukia Waislam kwa kias hicho kwamba yoyote anayepigana na Muislam mna-side nae regardless anafanya makosa au lah?
 
Hawa wanaomsukubu huyo kijana siyo Wapalestina. Siyo Waarabu. Hao ni Wayahudi. Waangalie vizuri.
Sawa sio Hamas alijiua
Screenshot_20231217-192817_014202.png
 
Waislam wana ugomvi na wayahudi
Waislam wana ugomvi na wakristo
Waislam wana ugomvi na wahindu
Sunni Vs Shia
Zaidi ya asilimia 90 ya migogoro ya kidini inayohusisha silaha inahisisha waislam,shida ni nini hasa?
Kila siku kwenye midahalo swali kubwa ni is Islam a religion of peace? Jibu ni no it's not a religion of peace.

Hatusikii ukatili wa dini zingine au vita vyenye misingi ya kidini isipokua waislam.

Sijawahi kuwasapoti Israel kwenye huu mgogoro lakini najiuliza kwa hawa watu ,unauaje kwa jina la Mungu wenu kisha utegemee huruma kutoka kwa jamii? Allahu Akbar 🐔
 
Ntazidi kusema nalaani kabisa aliyewaua na kifo hichi kinadhibitisha kuwa mtu mweusi yupo huru tu afrika pekee.
Tulikuwa colonized na all other races ,iwe mwarabu,mhindi , mzungu n.k .
In history sijapata kuona wafrika tumevuka border kuchukua mateka any other race ,never.
Yule kijana hana makosa yyte kando na kuwa sio mwarabu , tupendane waafrika jamani, afrika ndipo pekee tupo huru aisee
 
Mkuu ww huna busara yoyote, Bali unaweza kuandika tu kwa usahihi na kuweka paragraph. Ni hivi watu wameuwawa hapo Zanzibar kwenye uchaguzi ili ccm iendelee kusalia madrakani, na ushahidi wa hayo upo. Sikuona busara zako kwenye mauaji Yale, Sasa Leo unapata wapi nguvu za kutaka kuonyesha una busara? Acha utapeli usio na tija boss.

Bado huna Busara hata ukiamisha hamisha madai. Kama watu wameuwawa Zanzibar huwezi kusema wamakufa "kifo cha kawaida "
 
Issue sio video imetoka lini, issue ni wewe umeiona lini kwani una hakika hii video imetoka jana???

Huhitaji akili ya zaida kujua hawa ni watu gani, kuanzia muonekano mpaka lugha sema tu kama umeamua kukaza fuvu , kitu ambacho siwezi kuzuga kuwa hawa sijui wakina nani ilhali we fika unaona ni HAMAS

hawa mbwa wapigwe mpaka wachakae kudadeki zao
Wapigwe tu, wawe watoto, si ndiyo hao wakikuwa wanavamia kule Israel? Wapigwe hao wanawake wanaojifunga mabomu kujilipua, na hao wazee wasio na adabu, wapigwe wote. Safari hii watakoma.
 
Back
Top Bottom