Hao jamaa una hakika ni Hamas? Aliyetoa taarifa ya video ni page ya israel kule twitter .
 
Rest easy Joshua,
Pole kwa Mwalimu Mollel,
Pole sana kwa wana Simanjiro-Orkesumet kwa msiba huo!
 
Punguza ujinga mashamba wanayofanyia field yapo Gaza au ndani ya israel ?


Hamas hawajawahi kuvuka mpaka na kuingia israel baada ya oktoba 7.

Hamas waache sura zao nje hivyo ?

View attachment 2845310

Nimeishi nje ya bongo kuwa na nguo za kijeshi sio ishu, nimewahi kuwa na full uniform za kijeshi, siku nikivaa unaweza ukaamini ni mwanajeshi kumbe raia tu...

Israel wamuue kwa motive ipi labda?
 
Hii inaumiza lakini wanayofanyiwa wapalestina inaumiza pia. Unaposikia uchungu kwa mtu wako mmoja kuuwawa jaribu kuwaza wao ambao wamekua wakiuwawa kwa maelfu wana feel aje. Israeli kwa sasa siyo salama kupeleka vijana kufanya kazi nimesikia nchi moja jirani wana mpango huo watawapoteza vijana huko ni eneo la vita.
 
Na ukitaka kuona hawa watu ni mashetani,still huyo dogo alieuliwa kikatili ndo watamuona mkosaji,mwanzo walibisha ameuliwa na wayahudi,ila mumgu wa ajabu hadi video imetoka
Leo wamegeuza stori. Kuwa yule dogo alikuwa ni mpelelezi wa Israel (mossad) kisa kavaa boxer yenye rangi ya jeshi. Ndio maana hamas wamemuua.
 
onyo: video ina maudhui ya mauaji, angalia kwa tahadhari.


View attachment 2845313
Mimi ni muunga mkono wapalestina ila niseme ukweli kutoka moyoni, hii video ya mauaji ya huyu kijana imeniuma. Kauawa kikatili sana na hakuwa na bunduki wala nini maskini.
Halafu sidhani hata kama alikuwa anaelewa wanasema nini. Bora hata angekuwa Muisraeli, sasa mwafrika wana kisasi naye kipi hadi wamtendee hivyo?
 
Nimeishi nje ya bongo kuwa na nguo za kijeshi sio ishu, nimewahi kuwa na full uniform za kijeshi, siku nikivaa unaweza ukaamini ni mwanajeshi kumbe raia tu...

Israel wamuue kwa motive ipi labda?
Sasa huyu na mwingine wamekamatwa kweny ardhi gani ? Unaweza kufuatulia alikuwa anaulizwa na yeye kajibu nn?

Aliulizwe yeye ni muarabu akibu ndio ni muarabu!

Kwa wapalestina waarabu wamuue mwarabu mwenzao😳
 
Still makosa ni ya Israel kulazimisha kukaa kwenye ardhi ya watu mpaka wanawaponza wasio na hatia.

Hisia zingine zinaniambia huyu dogo alikuwa anaandaliwa kuwa jasusi maana hata hiyo boxer aliyovaa inaonesha alishaingia kwenye system ya ujasusi.

Pumzika kwa amani kijana, umeponzwa na watu wala sio kosa lako,tangu lini kilimo kikapatikana jangwani badala ya Africa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…