GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
WafinyweWafinywe au wafinyane?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WafinyweWafinywe au wafinyane?
Hao jamaa una hakika ni Hamas? Aliyetoa taarifa ya video ni page ya israel kule twitter .Huenda walimvalisha kujustify walichokifanya… hao watoto wa SUA Kwenda nje kufanya kazi mashamban kuna mtu niliwahi sikia mdogo wake anaprocess visa aende marekani! By the way hizo military cloth kwa nchi za nje watu wanavaa tu ! #Israel wawamalize tu sasa sio kwa unyama huu !
Na ukitaka kuona hawa watu ni mashetani,still huyo dogo alieuliwa kikatili ndo watamuona mkosaji,mwanzo walibisha ameuliwa na wayahudi,ila mumgu wa ajabu hadi video imetokaNi blasphemy kubwa astaghafirullah. Wanalitaja Jina la Allah kwa uovu.
Rest easy Joshua,Habari wazalendo wa kitanzania. Video hii nimeipata IG kiukweli nina mixed emotions. Nina hasira na masikitiko makubwa kupita kiasi. Ewe mtanzania mzalendo wa nchi tuweke mbali udini etc ni kitu kilichoniumzia roho mno. Hii video inamuonyesha Joshua Mollel akitekwa na Hamas. All the deniers sijui nawasaidia vipi. Huyu alikuwa ndugu yetu. RIP Joshua. My heart bleeds kwa hii familia
Hawatakaa wapewe uhuru wowote hao,wanatakiwa waishi Maisha ya kutangatanga na kutawaliwa mpk mwisho wa enziInasikitisha na inaumiza sana. Lakini haya yote hayakutokea kwa bahati mbaya . Wapalestina wanahitaji uhuru wao. Pole sana joshua na familia yako.
Punguza ujinga mashamba wanayofanyia field yapo Gaza au ndani ya israel ?
Hamas hawajawahi kuvuka mpaka na kuingia israel baada ya oktoba 7.
Hamas waache sura zao nje hivyo ?
View attachment 2845310
Nafikiria hata mavazi ya kijeshi hujui basi nenda google kaandike Hamas then utapewa sare zao.
View attachment 2845316
Nafikiria hata mavazi ya kijeshi hujui basi nenda google kaandike Hamas then utapewa sare zao.
View attachment 2845316
Hizo footage zilipatikana baada ya camera ya gopro ilipatikana kwa mmoja wa hao nguruwe kuuwawa israel ikaona iachie hiyo footage punguza usenge tumepoteza nguvu kazi udini wako paleka masjidHao jamaa una hakika ni Hamas? Aliyetoa taarifa ya video ni page ya israel kule twitter .
Hii inaumiza lakini wanayofanyiwa wapalestina inaumiza pia. Unaposikia uchungu kwa mtu wako mmoja kuuwawa jaribu kuwaza wao ambao wamekua wakiuwawa kwa maelfu wana feel aje. Israeli kwa sasa siyo salama kupeleka vijana kufanya kazi nimesikia nchi moja jirani wana mpango huo watawapoteza vijana huko ni eneo la vita.Huenda walimvalisha kujustify walichokifanya… hao watoto wa SUA Kwenda nje kufanya kazi mashamban kuna mtu niliwahi sikia mdogo wake anaprocess visa aende marekani! By the way hizo military cloth kwa nchi za nje watu wanavaa tu ! #Israel wawamalize tu sasa sio kwa unyama huu !
Leo wamegeuza stori. Kuwa yule dogo alikuwa ni mpelelezi wa Israel (mossad) kisa kavaa boxer yenye rangi ya jeshi. Ndio maana hamas wamemuua.Na ukitaka kuona hawa watu ni mashetani,still huyo dogo alieuliwa kikatili ndo watamuona mkosaji,mwanzo walibisha ameuliwa na wayahudi,ila mumgu wa ajabu hadi video imetoka
Mimi ni muunga mkono wapalestina ila niseme ukweli kutoka moyoni, hii video ya mauaji ya huyu kijana imeniuma. Kauawa kikatili sana na hakuwa na bunduki wala nini maskini.
Ndo ubaya wa kupigana na mijitu hio. Inaamini kifo ndo kizuri zaidi they have nothing to loose. Watu very dangerousNimesikitiaka sanaaa kwakweli hawa wanao subiri mabikra 72 ni magaidi ya dunia
Sasa huyu na mwingine wamekamatwa kweny ardhi gani ? Unaweza kufuatulia alikuwa anaulizwa na yeye kajibu nn?Nimeishi nje ya bongo kuwa na nguo za kijeshi sio ishu, nimewahi kuwa na full uniform za kijeshi, siku nikivaa unaweza ukaamini ni mwanajeshi kumbe raia tu...
Israel wamuue kwa motive ipi labda?
Nenda kawasaidie kupigana .unaonesha ujasiri JF nenda kwenye battlefieldHawatakaa wapewe uhuru wowote hao,wanatakiwa waishi Maisha ya kutangatanga na kutawaliwa mpk mwisho wa enzi
Wote pamoja na Accumen Mo Sir John Roberts ChoiceVariable