sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Kaa pembeni kama huelewi π€£π€£ video imeachiwa na quote kwamba waliua ni Hamas ,hakuna aliyeangalia kwa makini .Mkuu sina haja ya kuogoogle magaidi. Picha uliyoweka ina maana haujui kithungu mpaka ushindwe kuelewa ilimaanisha nini
Kwamba unatakaje?
Mwafrika hatakiwi popoteWaarabu ni wabaguzi sana kwa watu weusi, kwao mtu mweusi ni laana na si dhambi kumdhuru
Which military? Fundamental Muslims mna mtindio WA ubongoPunguza ujinga mashamba wanayofanyia field yapo Gaza au ndani ya israel ?
Hamas hawajawahi kuvuka mpaka na kuingia israel baada ya oktoba 7.
Hamas waache sura zao nje hivyo ?
View attachment 2845310
Hamas waliua arab Bedouin na alikiri yeye ni muislamu bado Wakamuua. Kuna videos nyingi watz hamjaona bado. Ntatoa link muangalie unyama uliotokea. Unaambiwa ile Familia ikiwaona Hamasi itawamaliza kabisa.mapumbav tu haya ma hamasi ya buguruni .. wameambiwa alikuwa chuo... haya elewi.. Hao hamas wanaua watu wasio wa dini yao..
You have to blame Israel for all these. Leo palestina ingekua nchi huru sidhani kama joshua yangemkuta .ndio tuona madhara ya kuunga mkono ubabe wa israeli.
Mbona haionekani!??Habari wazalendo wa kitanzania. Video hii nimeipata IG kiukweli nina mixed emotions. Nina hasira na masikitiko makubwa kupita kiasi. Ewe mtanzania mzalendo wa nchi tuweke mbali udini etc ni kitu kilichoniumzia roho mno. Hii video inamuonyesha Joshua Mollel akitekwa na Hamas. All the deniers sijui nawasaidia vipi. Huyu alikuwa ndugu yetu. RIP Joshua. My heart bleeds kwa hii familia
TerroristYou have to blame Israel for all these. Leo palestina ingekua nchi huru sidhani kama joshua yangemkuta .ndio tuona madhara ya kuunga mkono ubabe wa israeli.
Ngoja reconfirm kwamb mwili bado wanao Hamas uone kama ni kweli...jamaa wanafuta makosa yao ya kushoot mateka yao ππ.
Nimeweka nyingine kwenye huu uziMbona haionekani!??
Terrorist No 2Ngoja reconfirm kwamb mwili bado wanao Hamas uone kama ni kweli...jamaa wanafuta makosa yao ya kushoot mateka yao ππ.
Operations ya kijeshi ya mwaka huu Hamas hawavaa vile maana ndio walianzisha vita so walijapanga kabisa .