Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono
Kuna la kujifunza hapa!!shida vita hii inajadidiliwa kidini badala ya uhalisia wa vita yenyewe
 
mapumbav tu haya ma hamasi ya buguruni .. wameambiwa alikuwa chuo... haya elewi.. Hao hamas wanaua watu wasio wa dini yao..
Hamas waliua arab Bedouin na alikiri yeye ni muislamu bado Wakamuua. Kuna videos nyingi watz hamjaona bado. Ntatoa link muangalie unyama uliotokea. Unaambiwa ile Familia ikiwaona Hamasi itawamaliza kabisa.
 
Habari wazalendo wa kitanzania. Video hii nimeipata IG kiukweli nina mixed emotions. Nina hasira na masikitiko makubwa kupita kiasi. Ewe mtanzania mzalendo wa nchi tuweke mbali udini etc ni kitu kilichoniumzia roho mno. Hii video inamuonyesha Joshua Mollel akitekwa na Hamas. All the deniers sijui nawasaidia vipi. Huyu alikuwa ndugu yetu. RIP Joshua. My heart bleeds kwa hii familia
Mbona haionekani!??
 
Inasikitisha sana! Lakini hata hivyo sidhani kama Hamas walimwua kana kwamba wanachuki na Watanzania.
Huenda walijua ni adui yao!

Ni kama vile IDF walivyoua juzi Mateka wao, waliamini ni maadui!
Kwenye Vita huwezi kumwamini mtu akiwa upande wa adui!
Hata hivyo inahuzunisha kwa kweli.
 
Back
Top Bottom