Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono
Niliwahi kusema haoa kwamba Rais alipiga kura kuwaunga mkono Hamas kwa msukumo wa dini wengi mlitoka povu. Kuna video inasambaa ktk mtandao wa X inatisha sana. Moyo wangu unavuja damu mtanazania mwenzetu alitokea shambani na kibaiskeli chake maskini ya Mungu. Anakamatwa najitetea lkn haeleweki kisha anapigwa risasi alaf wanashangilia huku wakisema Alakh akbar.

Kijana mdogo anazimishwa ndoto zake na wajinga wachache alaf et leo Rais anapiga kura kuwatetea wauwaji. Rais Samia damu hii utaijibia... Ulishindwa kuzuia wasimuue lkn hata kulaani mauwaji ya watanzania wenzako umeshindwa? Badala yake umewaunga mkono wauwaji.

Video hyo inaogofya sidhani kama inafaa kuwa shared hapa. Kama unataka unaweza kuingia mtandao X imesambaa sana. Inatia huruma.

R.I.P mdogo wetu
R.I.P vita haina macho,
kulaumiana na kunyoosheana vidole hakuna faida wala maana yeyote
 
Punguza ujinga mashamba wanayofanyia field yapo Gaza au ndani ya israel ?


Hamas hawajawahi kuvuka mpaka na kuingia israel baada ya oktoba 7.

Hamas waache sura zao nje hivyo ?

View attachment 2845310
Huenda walimvalisha kujustify walichokifanya… hao watoto wa SUA Kwenda nje kufanya kazi mashamban kuna mtu niliwahi sikia mdogo wake anaprocess visa aende marekani! By the way hizo military cloth kwa nchi za nje watu wanavaa tu ! #Israel wawamalize tu sasa sio kwa unyama huu !
 
Mwanzo nilikuwa nawaonea huruma palestina ila kwa sasa Israel 🇮🇱 endeleza kipigo toa kipigo kitakatifu.
Piga yoyote awe mtoto,bibi,babu,vijana wewe kung'uta tu.
Mtu hana silaha yoyote zaidi ya kibaiskeli unamuua kinyama hivyo.
🤣 Endelea kufatilia zaidi , utakuja kuona wote hawana maana
 
Inaumiza sana...
Natamani Palestine ya Gaza ifutwe yote kwenye ramani ya dunia ... yaani kizazi chote kiwe ni Israel by force... maana kupitia wao wakibakishwa... yata zaliwa magaidi mengine.. Palestina ibaki ile ya West bank..

GOD BLESS ISRAEL
 
Si mlisema kashikwa mateka?

Hao wanaweza kuwa mazayuni wametengeneza senema hiyo baada ya kumuuwa, wakajidai eti kauliwa na Waarabu.

Hollywood hiyo.
Ukisikia "hypnosis" ndo hii sasa, mtasema chochote ili mradi kuwatetea.
 
Back
Top Bottom