Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono
Operesheni chakaza HAMAS itafanikiwa kwa kuwa jumuiya ya kimataifa ikiwemo nchi za kiarabu na pia wapalestina wenyewe wanasubiri imalizike ili suluhisho la kudumu la nchi mbili katika taifa moja kupatikana na amani ya kudumu endelevu kupatikana Mashariki ya Kati .
Sio rahisi mkuu alafu sana sana raia wa Palestina wasio na hatia ndio wanaoteseka na hii vita.

Suluhisho la kudumu la huu mzozo yaani Wapalestina kupata taifa lao lenye mipaka halali ndio linahitajika.
 
Hivi mkuu kama kweli mnapewa bikira 72, kwanini Hamas wanajificha hospitalini, kwenye mahandaki. Wakae tu watandikwe wawahi kuzichapa bikira zao
Mkuu Mimi sio Muislamu Wala sio shabiki wa dini zenu hizo za Wazungu.

Wewe ulitaka wakae wapi?
 
Wewe hiyo hapo ni Ghaza au Israel au wapi?

Msituletee video clips za uongo halafu mseme za Molel kutafuta huruma na shutuma za kijinga.
haijalishi, iwe Gaza, israel au wapo... ukweli uko pale pale. Amekufa au hakufa ndio swali? kama kafa, amefia mazingira gani na mikononi kwa nani? FaizaFoxy , chonde chonde ndugu yangu, acha ligi, kwa upendo wa kibinaadam, unatukwazwa sana humu ndani... tafadhari ndugu, toa kauli ya kuelewa watu watulize mioyo yao kwa umoja wetu sis kama watanzania. Ni hayo tu ndugu yangu.
 
Juzi humu kuna uzi umeletwa tunaambiwa alichinjwa na Hamas kisha maiti wakaondoka nayo uzi alilete yule punguani wa Kenya, leo tena baada miezi miwli inatoka video clip tena inatolewa na Israel siyo Hamas hii video walikuwa wanaichukuwa kina nani? swali la kujiuliza, nawapa pole familia ya Joshuo, pia sisi Watanzania tuache unafiki kujifanya tumeumizwa sana Joshua kafa hakuwa na hatia wale watoto Gaza zaidi ya 8000 wao hawana haki ya kuishi? Si mnashangilia humu wakiuliwa.
 
ugaidi ni ugaidi tu, hauna kisingizio chochote kumuuua mtanzania mwenzetu kwa unyama wa namna hii

yani washampiga risasi lakini wakamuongezea 9 za ziada
Pia ona Kuna jigaidi Moja la Kiislam likamkanyaga tumboni.
Jamani kama Kuna uwezekano video hii atumiwe Mheshimiwa Balozi wetu ktk Umoja wa MATAIFA Balozi Katanga. Ili alone ubatili wa kuunga mkono Hamas bila kuwapa Conditions
 
Yeah walikuwa wanajaribu kuangalia kama Ni mwarabu au Maana wamemuuliza pia wewe ni mwarabu au unajua kiarabu maskini hajui anachoulizwa mpaka wakaconclude mwishoni kwamba huyo ni mtu kutoka israel As-hab ul Kufur
Mie ndo maana nimeshika surah AL Fatiha incase it comes to the worse. Naijua shahada just incase ili nifanye Taqqiya yakinipata ya kunipata subhanallah
 
Hiyo video ni uongo mtupu.
Uongo wapi sasa..

Nisamehe kwa kusema maneno haya lakini unastahili....

"HIVI KWANINI UNAKUWA MPUMBAVU NA MJINGA KIASI HIKI SIUNGI MKONO UNYANYASAJI WOWOTE UNAOFANYIKA DHIDI YA UTU WA MTU KWA KIGEZO CHA DINI WALA URAIA ULIOFANYIKA NI UPUMBAVU NA UJINGA" NA BADO WATU KAMA NYINYI MNAZIDI KUUKUMBATIA LICHA YA KUONA MPAKA KWA MACHO YENU NA KUSIKIA KILICHOSEMWA..
 
Shoga sikiliza unaweza kukubali yaani wameua halafu maiti wakae nayo miezi miwili..Baada ya kukubali waliua mateka wao then wametoa video hii .
Kwa akili zako kama zile walizokutifulia kule mahabusu zenji nasema hivi rudi shule tena hivi peponi na nyie mashoga mnapewa wanaume 72 na allah?
 
onyo: video ina maudhui ya mauaji, angalia kwa tahadhari.

Lengo ni kuelimisha jamii kwamba ugaidi upo, Mtanzania mwenzetu hakuwa na silaha yoyote wala sidhani kama alikuwa anaelewa wanasema nini lakini wakamuua, hata hivyo hawakuridhika wakampiga risasi tisa za ziada.


View attachment 2845344
Kwanini hii video imejulikana leo hii miezi 2 baada ya vita kuanza.Uhakika kuwa ni yeye umepatikana vipi.
Kwenye hiyo video hatujui walikuwa wanajibishana vipi lakini kiongozi upande wa wanaozungumza kiarabu anauliza wenzake enye vjiana kuna nini hapo .Acheni ...
 
Back
Top Bottom