Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono
1. Magaidi huwa hawongozi na principles zozote katika mambo yao, waathirika wakubwa wa matendo ya ugaidi duniani ni Waarabu, Waislamu na Waafrika. Mfano kule Iraq, Afghanistan, Iran na Pakistan wanaouwawa na magaidi wanaojitoa mhanga ni Waislamu wenzao.
2. Waliopiga picha na kurekodi ni watu wengi, waathirika pamoja na kwamba walikuwa katika mashambulizi wengine waliweza kurekodi, Hamas na Wapalestina wengine pia wamerekodi matukio mengi tu na kutumiana kuhamasisha au kupeana taarifa bila hata udukuzi Israel imeweza kupata video na picha nyingi tu za hilo tukio.
Pia katika tukio la music festival kulikovamiwa kulikuwepo na waandishi wa habari.
 
Wewe ndiyo Kaffir mkubwa shetani wewe unayedanganywa na wajinga wenzake na huyo mtume wako mzinzi na asiye na akili. Mmedanganywa eti Quran imeshushwa toka mbinguni? una akili wewe kweli firauni? Unajua nini wewe muuaji kama wenzio, fala wewe.

Kwa hiyo Mtanzania anauwa kwa sababu gani? wakati siyo muisrael?
Wewe nani aliokwambia kuwa hao waliouwa ni Waislam?

Wajomba wa mungu wenu wanawachezea akili.
 
Tulia wewe jazba za nini kwani clip huioni au unajitoa ufahamu sababu ya zile Allahu Akbaru wanazomuimbia wakiwa wanamuua?
Umedanganywa na sauti zilizokuwa dubbed? Ndicho hicho tu?

Ama kweli mazayuni wanawajuwa wajinga ndiyo waliwao. Ndiyo maana mpaka leo mnaamini hao ni wajomba wa mungu wenu.

Mnasikitisha sana kuzipeleka livu akili zenu.
 
Niliwahi kusema haoa kwamba Rais alipiga kura kuwaunga mkono Hamas kwa msukumo wa dini wengi mlitoka povu. Kuna video inasambaa ktk mtandao wa X inatisha sana. Moyo wangu unavuja damu mtanazania mwenzetu alitokea shambani na kibaiskeli chake maskini ya Mungu. Anakamatwa najitetea lkn haeleweki kisha anapigwa risasi alaf wanashangilia huku wakisema Alakh akbar.

Kijana mdogo anazimishwa ndoto zake na wajinga wachache alaf et leo Rais anapiga kura kuwatetea wauwaji. Rais Samia damu hii utaijibia... Ulishindwa kuzuia wasimuue lkn hata kulaani mauwaji ya watanzania wenzako umeshindwa? Badala yake umewaunga mkono wauwaji.

Video hyo inaogofya sidhani kama inafaa kuwa shared hapa. Kama unataka unaweza kuingia mtandao X imesambaa sana. Inatia huruma.

R.I.P mdogo wetu
Kuna nchi sio za kwenda kupata elimu hata kama wazuri kiasi gani!
 
Wewe nani aliokwambia kuwa hao waliouwa ni Waislam?

Wajomba wa mungu wenu wanawachezea akili.

MAKAFIR WAKISKIA TUH ALLAHU AKBAR BASI WANAJUA NI WAISLAM,NIMEMPA ASSIGNMENT HAPO FUNGUA BIBLE YA KIARABU AMBAYO MAKAFIR WENZAKO WANAIOSMA UONE NENO GOD WANALITAMKAJE,KAKIMBIA.
 
Watanzania tunatakiwa kuelewa ya kwamba hilo shambulio la Hamas lilikuwa lina lengo la kulipiza kisasi kwa hao maadui zao wa Israel, na pia kuiamsha dunia kufuatilia hicho kinachoendelea kwenye huo mgogoro.

Na wanatakiwa wafahamu pia waliouwawa kwenye huo uvamizi wa Hamas, siyo Watanzania pekee! Walikuwa ni raia kutoka nchi mbalimbali duniani.

Na baada ya hapo tunatakiwa pia tufahamu chanzo hasa cha huo uvamizi na pia hayo mauaji na utekaji wa kila raia aliyeangukia mikononi mwa hao magaidi hiyo Oktoba 7, 2023.

All in all, na mimi pia nikiwa kama Mtanzania, sijafurahishwa na hayo mauaji ya Watanzania wenzetu.
 
On May 26, 1948, the Israel Defense Forces officially began acting as Israel's sole, unified military organization charged with protecting the territory and citizens of the two-week-old state

HAMAS formed in late 1987 at the beginning of the first Palestinian intifada (uprising). Its roots are in the Palestinian branch of the Muslim Brotherhood, and it is supported by a robust sociopolitical structure inside the Palestinian territories.

HAMAS IMEKUJA KWENYE OPERATION MWAKA HUO 1987,HAO IDF WAMENZA UOZO WAO TOKEA MWAKA 1948 NA BAADA YA KUWA HAWATAKI PEACEFUL WAYS YA KUTAFUTA AMANI NA WAO WAKAONA LAZIMA WAJIDEFEND,SASA UNAANZAJE KUMAPA LAWAMA MTU AMBAE ANAJIDEFEND KWA UMWAGAJI DAMU WA IDF WA ZAMA NA ZAMA??

HUTUMII AKILI WE KAFIRI??
Wewe zuzu hujajibu swali nimekuuliza nani aliemvamia mwenzake? Sio unajibu ki Mudi Mudi jibu swali km lilivyotangazwa na vyombo ulivyosema km vilionyesha hilo tukio je hivyo vyombo vilisema nani kamvamia mwenzake? Sio unarukaruka
 
Wewe nani aliokwambia kuwa hao waliouwa ni Waislam?

Wajomba wa mungu wenu wanawachezea akili.
Hiyo Allahu akbar ya kufurahi kuua ni nani wametoa, tunawafahamu ninyi na tabia zenu, hamnaga akili hata kidogo, mnachojua ni kuua tu washenzi ninyi. Dini ya mtume ya ovyo, mnakimbilia kuua tu, Hapo hakuna cha muisrael, ni ninyi washamba wa kipalestina.
 
Nchi 14 barani Afrika zimeiondoa Israel kwenye Umoja huo AU.

Nchi zilizokubali uamuzi wa kuiondoa Israel kwenye muungano huo ni; South Africa, Tunisia, Eritrea, Senegal, Tanzania, Niger, Archipelago ya Qamar, Gabon, Nigeria, Zimbabwe, Liberia pamoja na Seychelles.

Hizo nchi zote viongozi wake ni Waislam?
NDIO

Taja nchi hapo ambayo Kiongozi wake sio Muislam zaidi ya Liberia peke yake
 
Hiyo Allahu akbar ya kufurahi kuua ni nani wametoa, tunawafahamu ninyi na tabia zenu, hamnaga akili hata kidogo, mnachojua ni kuua tu washenzi ninyi. Dini ya mtume ya ovyo, mnakimbilia kuua tu, Hapo hakuna cha muisrael, ni ninyi washamba wa kipalestina.

SAWA WENYE AKILI BASI TUFANYE NI NYINYI,AMBAO MNACHUKUA MWANASESERE WA KIZUNGU NA KUMTUNDIKA PALE MSALABANI KISHA MKAMUITA MUNGU,BASI NYINYI NDIE WENYE AKILI.

KILA MTU ABAKIE NA IMAN YAKE,KAMA MNASEMA DINI YETU INAUA HIYO MNAYOSHANGILIA KUUWA WAPALESTINA NI DINI GANI??
 
SAWA WENYE AKILI BASI TUFANYE NI NYINYI,AMBAO MNACHUKUA MWANASESERE WA KIZUNGU NA KUMTUNDIKA PALE MSALABANI KISHA MKAMUITA MUNGU,BASI NYINYI NDIE WENYE AKILI.

KILA MTU ABAKIE NA IMAN YAKE,KAMA MNASEMA DINI YETU INAUA HIYO MNAYOSHANGILIA KUUWA WAPALESTINA NI DINI GANI??
Allahu Akbaru ndio amewaagiza muwaue wote wasiohusika na Vita? Eti unaanza kukimbilia biblia ya kiarabu we kweli zuzu la Mudi
 
Allahu Akbaru ndio amewaagiza muwaue wote wasiohusika na Vita? Eti unaanza kukimbilia biblia ya kiarabu we kweli zuzu la Mudi
NAZIDI KUKUFUNGUA KUWA HIYO ALLAHU AKBAR PEKEE ISIKUTOE UPOFU,HATA BIBLE YA KIARABU GOD AU MUNGU IMEANDIKWA ALLAH VILE VILE,KAMA HUAMINI FUNGUA UJISOMEE MWENYEWE KAFIRI WEWE.

UISLAM NI DINI YENYE SHERIA ZAKE NA MIONGOZO YAKE,KUTOKEA MTU AU KIKIUNDI KUTUMIA NENO ALLAH NI KAWAIDA TUH,HAINA MAANA ETI KUWA NIDYO UISLAM UMESEMA AU KUAGIZA HIVYO,KAMA HUTAKI NI JUU YAKO KAFIRI WEWE.
 
Umeona ulivyokua zuzu la Mudi? Na Allahu Akbaru ni nani yako mumeo?

USIE NA AKILI NI WEWE KAFIRI,MFANO HAPA TANZANIA LUGHA YETU NI KISWAHILI,NENO MUNGU NI NENO MAMA AMBALO TUMEKUBALIANA WATU WA DINI ZOTE KULITUMIA,INGAWA MIMI NIKISEME MUNGU WANGU KWA IMANI YANGU NAJUA MAANISHA MUNGU WANGU NI YUPI,NA WEWE UKISEMA MUNGU KWA IMANI YAKO UNAJUA UNAAMAANISHA NI MUNGU YUPI.NA NDICHO NACHOKUELEZA UELEWE HAPA,NENO MUNGU NI NENO AMBALO LINATUMIKA KWA WATU WA IMAN ZOTE HAPA TZ,SAME APPLIES TO NENO ALLAH LINATUMIKA KWA WATU WA IMAN ZOTE UARABUNI,WAKRISTO WAMEKUWA WANALITUMIA NENO ALLAH HATA KABLA MUHAMMAD HAJAZALIWA NA KUWA MTUME TAMBUA HILO KAFIRI WEWE.
 
NAZIDI KUKUFUNGUA KUWA HIYO ALLAHU AKBAR PEKEE ISIKUTOE UPOFU,HATA BIBLE YA KIARABU GOD AU MUNGU IMEANDIKWA ALLAH VILE VILE,KAMA HUAMINI FUNGUA UJISOMEE MWENYEWE KAFIRI WEWE.

UISLAM NI DINI YENYE SHERIA ZAKE NA MIONGOZO YAKE,KUTOKEA MTU AU KIKIUNDI KUTUMIA NENO ALLAH NI KAWAIDA TUH,HAINA MAANA ETI KUWA NIDYO UISLAM UMESEMA AU KUAGIZA HIVYO,KAMA HUTAKI NI JUU YAKO KAFIRI WEW
Utoto ni kazi mno mpaka uje ujitambue.
 
Back
Top Bottom