Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
2. Waliopiga picha na kurekodi ni watu wengi, waathirika pamoja na kwamba walikuwa katika mashambulizi wengine waliweza kurekodi, Hamas na Wapalestina wengine pia wamerekodi matukio mengi tu na kutumiana kuhamasisha au kupeana taarifa bila hata udukuzi Israel imeweza kupata video na picha nyingi tu za hilo tukio.1. Magaidi huwa hawongozi na principles zozote katika mambo yao, waathirika wakubwa wa matendo ya ugaidi duniani ni Waarabu, Waislamu na Waafrika. Mfano kule Iraq, Afghanistan, Iran na Pakistan wanaouwawa na magaidi wanaojitoa mhanga ni Waislamu wenzao.
Pia katika tukio la music festival kulikovamiwa kulikuwepo na waandishi wa habari.