Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

NoFap ina nguvu kubwa na faida katika mambo mengi mkuu, watu wengi kwenye historia ni kweli walitumia mbinu hii ku-channel energy kwenye mambo mengine na iliwasaidia sana kuleta raw ideas kwenye maisha halisi.

Unapomwaga shahawa umemwaga energy kubwa sana, unakuwa dhaifu kiroho, kimwili, sometimes kiakili hata kimtazamo.

Kwa hiyo Nofap pia itakupa benefits nyingi sana, unakuwa more resilient, hata kwenye changamoto za kimaisha unakuwa unajiamini zaidi.

Nakumbuka kuna padri mmoja aliwahi kuniambia, "ukiweza kuishi bila kukutana na mwanamke kimwili, nguvu ya kiroho utaipata kubwa sana." Na kweli kuna kipindi nilikaa muda mrefu kuna faida niliziona kweli.
 
Alikwambia kweli tupu.
Hata watumishi wa Mungu ambao hujitenga kwa maombi ya muda mrefu...wana nguvu kubwa kiroho na wengi wao hufanya miujiza...sio manabii fake lkn
 
Tuko pomoja mdau mpaka kieleweke
Hongera kwa uzi Mkuu, wanaume wengi wakijua hii kitu watastawi sana.
Sema Nofap ni kitu tofauti na unachofanya.
NoFap ni jumuiya ya watu mitandaoni wanaopambana kukabili addictions za Porno & puchu. Kwenye NoFap, me anatomba kawaida isipokuwa ni mwiko kuangalia porno au kupiga puchu.
Unacho practice wewe ni SEMEN RETAINTION.
Kwenye semen retaintion ni kujiepusha na material yote yenye viashiria vya pornography, kuepuka kumwaga shahawa kwa njia ya sex kawaida au puchu.
Wanaume tunapoteza vitu vingi mno tunapomwaga shahawa, kuchakaa mwili mgongo, magoti, kiuno n.k, kuharibika akili gradually hasa kupoteza kumbukumbu, kufa mapema n.k. Ukisikia kuangamia kwa kukosa maarifa ni pale Me anapotoa pesa ili afanikishe kupiz. Ni vizuri me apiz wakati wa kutungisha mimba tena baada ya kuwa approached na Ke.
Hilo zoezi nimekuwa nikifanya mara kwa mara na kwa miezi kadhaa. Siku ya 6&7 kunakuwa na ongezeko la testosterone, unaweza kuwa aggressive na hasira kiasi. Lakini baada ya hapo faida ni nyingi mno, hasa baada ya wiki mbili na kuendelea.
Mengine tutasimuliana kwenye huu uzi, nitakuwa naupitia pitia. Kudos.
 
Ronaldo el phenominal alikuwa akigonga shoo ya sita kwa sita akija kwenye 100 by 70 utamtaka....so hii kitu bwana ni mtu na mtu.

Wengine bila kugegeda stress tupu ata akili haifanyi kazi
 
Baada ya kuona hili bandiko nikajaribu ku google faida na hasara za hii kitu,moja wapo ni ED (erectile dysfunction),kinga ya mwili kupungua,kuwa na wasi wasi pamoja na hasira muda mwingi,n.k.
Kwa uzoefu wako wa mwaka mmoja hebu tutoe wasi wasi siku unakutana na mwanamke kama uume unakuwa shupavu zaidi au kinyume chake kama tafiti zinavyodai.
 
Day 1 nimekata
 
Shukrani sana mdau kwa kutuongezea ufahamu juu ya hili na kiukweli ina faida nyingi sana katika masha ya binadamu. Tunalisongesha mtaalam..
 
Haya ndo madhara ya kuishiwa pesa za kuhonga!
Mama anabania fursa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…