Tuko pamoja sana man......, mimi hii App nimeipakua usiku wa saa tisa leo hii ingawa nimejiunga team NoFap toka juzi ila kwa mujibu wa app inaonekana nimeanza leo lakini sio mbaya maana lengo ni moja tu na kazi iendeleeee. team NoFap.Tuzidi kuombeana [emoji120]View attachment 2237736
Mimi nina kama wiki tatu kasoro sema app nimedownload Jana jioniTuko pamoja sana man......, mimi hii App nimeipakua usiku wa saa tisa leo hii ingawa nimejiunga team NoFap toka juzi ila kwa mujibu wa app inaonekana nimeanza leo lakini sio mbaya maana lengo ni moja tu na kazi iendeleeee. team NoFap.
Sasa asinit...mbe tunakuwa tunafanya nn yani?Utaandamana ukidai haki yako au sio
Msirudi hapa na malalamiko
Hakuna cha malalamiko wala nini maana faida ni nyingi kuliko hasara. Halafu ukiringa wewe bado kuna wanawake wengine kibao wavumilivu na wenye unyenyekevu wa hali ya juu.Msirudi hapa na malalamiko
Tunafanya sisi mwaumia nyie. Dawa ishaanza Kuingia. Dooh.Nyie mnataka maisha yawe magumu, wanaume wenyewe mpo wachache, challenge kama hizi hebu ziacheni.
Sisi hatujakubaliana na challenge yenu ni batili kwa kweli.
Wengine nyeto ndo kipengele[emoji23]Hii kitu imekaa poa sana kwa kweli hasa kwa sisi mabachelor na hata walio ndoani ila kwa mlengo mwengine tofauti aidha kuacha ulaibu fulani, mazoea n.k. Of course ukiamua kwa nia ya dhati u can do it possibly.
Nakumbuka mwaka 2019 kipindi hiko mazoezi kwa sana niliwahi kaa miezi tisa mfululizo yaani ni mwendo mazoezi daily kupumzika ilikuwa ni J pili tu hakuna kusex wala kumasturbate. Utofauti au faida nilizoziona ni pamoja na>
•Confidence kuongezeka maradufu
•Stamina ya hali juu
•Utulivu wa akili (Focus)
•Strong penis(Ni kama ndio kwanza unabaleghe)
•Afya nzuri ya moyo na mapafu kutokana na mazoezi ya mara kwa mara.
•Wepesi wa mwili na akili n.k
√Ni vizuri zaidi unapoianza hii challenge uwe na lengo mahususi mathalani kuacha addiction fulani kwa wale wenye addiction au kutimiza lengo fulani aidha na consistency nzuri kwenye mazoezi, ibada au shughuli zako zozote zile za kila siku.
Safi mkuuMabadiliko ni makubwa Sana.
Mwanzo week za Kwanza wa weza pata izo ndoto nyevu Mara 1,2 ila baada ya hapo haitokei tena.
Faida nilizo ona Hadi sasa.
-kwanza Unajiamini,Mwili una kuwa na nguvu,na afya tele.
-Akili inakuwa faster,tulivu na pia yenye mawazo chanya juu ya mstakabali wa maisha.
-Abdala kichwa wazi yupo strong,vibaya mno,anasimama imara Kama mnara,hii kwang ni zaidi ya mwanzo.
-Uchumi umekua maana nimejitenga mbali na hawa ndug zetu upande wa pili,nimejua kuji control kiasi kwamba ke Yani sumbui au kuniendesha kisa k,maana naweza survive without it.
-Imeniondolea ulimbukeni juu ya wanawake for 95% hivyo nakuwa na nafasi kubwa ya kufanya maamuzi sahihi kwa ajili ya maisha yangu ya kesho,nime save San Mkwanj wangu
✓bado naendelea ntazidi kuleta maendeleo yangu juu ya operation hi.