Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Acheni hizooo, sasa mnataka wanawake wale nini....!!

Wakale wapi...!!!

Halafu utamu wa Ke aukulenani....??!

Ngoja nikawasemee...
Si mkasuguane wenyewe hii challenge inabidi iwe nationawide.

Tuone reaction itakuaje[emoji2]!?

Halafu good way undergo default settings economically [emoji2](kwa kimgereza cha ntantilyabashashi)
 
Kweli hili vuguvugu liki serious mpaka Apps aisee, nimeona app inaelekeza vizuri ngoja tuone nitafikia cheo gani, still new kid
Noma sana ile app ya Iron Will ina rank za kutia hamasa vibaya mno yaani zinakuoa mzuka wa kuendelea na kufikua rank inayafuata.... mimi naitamani sana rank ya siku 500 na kuendelea inaitwa The Immortal.
 
Nyie mnataka maisha yawe magumu, wanaume wenyewe mpo wachache, challenge kama hizi hebu ziacheni.

Sisi hatujakubaliana na challenge yenu ni batili kwa kweli.
Hii challenge ni lazima tuifanye maana tumegundua faida zake ni nyingi saaaana yani saaaanaaaaaa kuliko tukiendekeza huko chini, na pia inasaidia kuondoa uraibu wa vitu vingi kama pombe, pornography, punyeto, na mauraibu mengine huku hivyo tungewaomba muwe wapole kidogo.
 
Shukrani sana mdau kwa elimu konki kama hii vipi lakini unaendelea au ulisimama kidogo!!!!?
 
Ngumu saana ila kaza.. mi nilianza nikakaa siku tatu tu.... Kuna demu nilikuwa namtamani kisee., Akanichek nimtoe ... Balaa likaanzia hapo nimkazie au vip.

Na hadi that time alikuwa ashakula 45elf yangu na nimewinda miezi 6.

Nkavunja.
 
kampeni na iendelee kwa kufanya hivi;

#NoFap kwa kila nyuzi humu jf hasa za MMU

mm ntaanza challenge tareh 1 june
Karibu sana mdau tuko pamoja kwenye hii njia pia tuna app ambayo tunaitumia kuhesabu siku incase mtu una shughuli nyingi unaweza ukapitiwa ukasahau leo siku ya ngapi.... sasa hii app ukifungua inakwambia leo ni siku ya ngapi na pia kwa siku hizo kuna rank yake na hiyo rank ina jina lake la kibabe sana la kukutia hamasa...... hiyo app inaitwa IRON WILL ipo playstore #NoFap.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…