Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Kwa kweli kuto..mbana ndio starehe namba moja hapa duniani....utalewa utavuta bangi uenda vacation lakini mwishowe lazima mgegeduane tuu.
Wee jiachie bwana kula raha ya de libolo
 
Wee endelea tu na challenge, mimi kwa kweli kati yangu na mbususu hakuna wakuingilia.

Yaani nisiwaguse wake zangu kwa sababu za kijinga namna hii. Alafu nikifa minjemba ndo itasimamia ukucha?

Mimi mbususu napiga!
Kama umeoa we kula mzigo mzee baba, tena isugue kweli kweli....
 
Malcom X aliikuwa mdau mkubwa wa hii kitu aliweza kukaa miaka kama 5 plus bila kushiriki ngono na kufocous kwenye mambo ya msingi ,akawa anatoa madini ya uhakika akili imetulia haina parapara.
Tena namkubali sana huyo mwamba... kumbe nae alikuwa memba.... safi sannaa
 
Safi sana mdau.... ni vitabu vya aina gani vinakuwa mwake zaidi. na pia hapo kwenye vishawishi hapo ulikuwa unajiepusha na vushawishi vya aina gani..... tuweke sawa sisi ambao ndiyo tunaanza kujiunga team NoFap...
 
Mkuu nimefanga research mimi mwenyewe zaidi ya miaka 10, nisipo fanya sex mara kwa mara zaidi ya wiki tu hamu ya sex inapungua sana na parfomance inashuka sana.
Aiseee kwa feedback tuliyopewa na wadau waliokaa zaidi ya miezi sita hivyo vitu ulivyoeleza hapo ni kinyume chake, au labda utakuwa na shida nyingine mzee!!!!
 
Inaelekea unapenda sana zile high frictions zinazotokana na kitendo cha pull or push ambacho kinasababishwa na force ya msukumo wa damu toka kwenye moyo wa kidume mpaka kwenye Kombeo kisha kombeo linaanza kunesa nesa huku likikakamaa na kutoa viudenda udenda fulani hivi.... Hapo hapo jamaa anakukamata anapandisha kigauni chako juu juu.... anakushukisha ukuta anaongezea kohozi zito kidogo kwenye kombeo kisha bila kutarajia mara dude chwaaaaaaaa tayari liko ndani.... sasa inaelekea ikifikia tu hatua hiyo wewe unachanganyikiwa kabiiisaaaaaa..........

Lakini kwa usalama wa jamaa na kama kweli unamuhitani kwa muda mrefu mwenye maisha yako basi mwambie haraka sana ajoin team Nofap.
 
Iseee, wanawake kazi wanayo mwaka huu,
Huku inatoka orodha ya mapunga
Huku inatoka orodha ya waliojiunga Nofap

Kwa kweli kwenye hiyo noFap na mimi niandikeni.
Tuone sasa
Karibu sana mtaalam....... na tupo wengi kundini walete na wengine chama lisonge....
NoFap.
 
Ebu ngoja nipite nikaichek
 
Safi sana mdau.... ni vitabu vya aina gani vinakuwa mwake zaidi. na pia hapo kwenye vishawishi hapo ulikuwa unajiepusha na vushawishi vya aina gani..... tuweke sawa sisi ambao ndiyo tunaanza kujiunga team NoFap...
Hapo inategemeana na hobby ya mtu , mimi tokea mdogo uniwekea vitabu vya hadithi , historia , maisha nk ninaweza kukaa kutwa nzima nisitoke nje kucheza na wenzangu hivyo nilivyoianza rasmi hiyo kampeini nikachunguza vitu ninavyopenda ambavyo vinaweza kula mda wangu wa free ninaotumia kuingia site na kufikiria ngono hapo nikaona vitabu na movies na games nikaweka vya kutosha nikichoka vitabu au nikiwa sina moods navyo nahamia movies (Kikorea mapanga shaa) nk
 
Tusije kusikia kesi za kubaka mbuzi humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tena namkubali sana huyo mwamba... kumbe nae alikuwa memba.... safi sannaa
Mwamba tena alikuwa na nafasi ya kuchakata mbususu kibao kimasihara kama angetaka maana yeye alikuwa minister ,maarufu na mwenye ushawishi zaidi Ktk organization ya kupiga ubaguzi wa rangi na harakati za kidini(NOI)pamoja na kuwa teacher wa class section ya wanawake .

Pisi kali kibao zilikuwa zina muadmire lkn mwamba alikuwa hana habari kwa miaka kibao mpk alipoamua kumuoa mmoja kundini Moja kwa Moja wadau wenzake(members)wakamuona bro amesaliti chama wkt yeye alikuwa muhamasishaji mkubwa wa #NoFap.

Jamaa uwezo wake wa kiakili ulikuwa maradufu kuliko kipindi chake cha uhuni mpk kupelekea kukaa jela.
 
Nawaza... ndoto nyevu utazizuiaje..!?
 

Ila kipindi hicho ilikuwa haiitwi No Fap, Jina No Fap lilianzia Reddit kama movement ya kupinga PMO (Porn, Masturbation & Orgasm) baadae wakaanzisha Organization kabisa nofap.com ambayo watu wana-journal No Fap journey, challenges na success stories.
 
Ila kipindi hicho ilikuwa haiitwi No Fap, Jina No Fap lilianzia Reddit kama movement ya kupinga PMO (Porn, Masturbation & Orgasm) baadae wakaanzisha Organization kabisa nofap.com ambayo watu wana-journal No Fap journey, challenges na success stories.
Yes, nimeedit kikundi hakikuwa na harakati hizo ila members (baadhi)walikuwa na misimamo inayofanana na ideas za #Nofap
 
wewe mimi hayo mambo usimwambie mume wangu afanye.
OH!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…