Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Fafanua kidogo hapo ni kwanini iambatane na kufunga
Funga inasaidia kupunguza matamanio ile njaa unayoipata kwa kufunga inasaidia kutuliza mawazo na mwili unakuwa hauko active sana tofauti na unapokuwa umeshiba mwili unakuwa na energy ya kutosha kiasi kwamba hupati utulivu. Hata wewe unajua akili yenye njaa na ilio shiba ipi ina mambo mengi
 
Kunamtoto nilipanda nae basi.. leo anataka kukuja kwangu nimuache aondoke bilakuliwa kimasihara sio??[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SAMSUNG-SM-J327A using JamiiForums mobile app
 
Sio kwaajili ya kugongana lakini mkuu.. mimi babu yangu alikufa akiwa na miaka 94 alikuwa na wake watano watoto 20 nalikufa kifo cha uzee sio tezi dume wala nin

Lakini ni kweli mwanaume kama hufanyi mapenzi mara kwa mara kinga ya mwili inaongezeka sana na concentration pia inakuwa juu.. ndo maana washikaji ambao shule walikuwa wanachakata madem wengi walikuwa ndo wanashika mkia

Sent from my SAMSUNG-SM-J327A using JamiiForums mobile app
 
yeye amekufa lakini aliyoyafanyia kazi bado yanaishi.. leo hii unatumia simu,wifi,Bluetooth na wireless charging sababu kuna muhuni mmoja aliamua kuweka pussy pembeni akaamua kupiga kazi.. sio kila mtu anaweza especially huku kwetu afrika tunaendekeza sana chini

Sent from my SAMSUNG-SM-J327A using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kwa wale ambao wakikaa wiki tu lazima apige bao usingizini, hii challenge inaaply?

Ama ni lazima zisitoke?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…