Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge


Miaka mitatu [emoji15][emoji15]
 
Unafanyaje ndg yangu Mbona unaondoka sana dah [emoji1430].

Nimeamua kuongeza na vitu vingine

1. Inakuwa Nofap+ semen retention

2. Kukua spiritually

3. Mazoezi pamoja na

4. Kusoma vitabu

Nikifanya hivi Miezi mitatu nakuwa sio mimi tena
Unaweza mkuu

Sema mimi kitu kinachofanya niwe na discpline ni sina ela na nasubiri mkeka wa depo so naogopa kuchafua damu

Sasa inabidi utafute kitu kitakachokuwa anchor au kitakacho ku drive wewe

Mfano hata dini anza kufatilia mambo ya dini
 
Miaka mitatu [emoji15][emoji15]
Yah, mwakani mwezi wa 4 Mwenyezi Mungu akijaalia nitaitimiza mi3 ila wengi hawaamini wanaona kama motivational story ila nilikuwa siriaz nilivyoanza mkakati ulikuwa mwaka mmoja tarehe ya kuanza niliamua niandike kwenye kitabu changu cha kuandika vitu muhimu .Picha hiyo

Kiapo kikawa nisipotimiza mwaka nichane na kutupa kitabu kizima chenye mambo na kumbukumbu muhimu..
 

Hii Ni commitment ya Hali ya Juu Kabisa Mkuu
Umetisha Sana lazima nyayo Zako nifutae
 
Hii Ni commitment ya Hali ya Juu Kabisa Mkuu
Umetisha Sana lazima nyayo Zako nifutae
Nilikuwa siriaz vibaya mno nikavunja mpk line zangu za simu ninazotumia sana na nikachukua namba muhimu nikasajili mpya ili nisizipate namba zao na wasinipate kabisa wale mademu niliokuwa nikichat nao na kuwa nao karibu kwa kuona kuna asilimia kubwa ya kuniharibia mikakati yangu vilevile ikasaidia kupunguza marafiki ambao hawanifai .

Ikawa kwa mara ya kwanza simu yangu haina namba ya demu hadi sikuamini kila nikitazama contact list yangu yaani ina watu wachache muhimu..
 
Nitumie izo video mzee pm
 
Hii Ni commitment ya Hali ya Juu Kabisa Mkuu
Umetisha Sana lazima nyayo Zako nifutae
Halafu ukijiweka bize hauna papara pisi zinakuja zenyewe haswa ukiwa tall ,dark and handsome kama mimi hapo wewe ndio unakuwa kama bosi

Yaani mimi nashangaa sana wanaume kupapatikia hovyo wanawake mpk wameshatujua sisi maboya na wameanza kutudharau na kutupelekesha kiboya , ukifocous kwenye mambo yako, kujiimarisha na kutulia zaidi hata waliokupotezea wanaanza kukukumbuka.
 

Japo kuna ugumu maana Tamaa Kuna muda zinawaka Kama Moto
Lakini lazima kuchukua uamuzi mgumu
Nimependa njia unazozitumia hasa Hiyo ya kujiadhibu uchane kitabu cha kumbikumbi km hautafika lengo
Mkuu Ni vema Sana uzidi kutupa miongozo mingi kidogo kidogo ili tuvishinde vizingiziti vyote
Punyeto na porn Ni utumwa mbaya Sana Katika maisha najuta kuujua Huu mchezo
Nashukuru nimemaliza mwezi mmoja bila kupiga Wala kucheki porn Kabisa
Nitatoboa Tu najua
 
Kwa style hii tutakosa hela za kusuka [emoji91]
Afe kipa afe refa nataka nipige mwaka mzima. Nataka niwe karibu na Mungu wangu. Kuna mambo ya muhimu sana nataka kuyakamilisha na yanahitaji utulivu wa hali ya juu bila siteresi, gubu na usumbufu. Hela za kusuka nitakuwa natoa na hata huduma zingine lakini kula mbususu hapana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji123][emoji123][emoji123]
 
Kumbe Una advantage ni tall dark.... Kuna kina Sisi huku wenye fufi 5.7 tunapata tabu balaa wala hatupapatikiwi na ndiyo maama tumeamua kuwalia ngumu mazima sasa. Wanasema aawe Nani awe na kale kijamaa kafupi wakati huo huo huyo demu anaekwambia hivyo yeye ana futi 4.6
 
Hakika wewe umewahi kufanya hili zoezi.
Moja kati ya faida kuu za kutunza shahawa ni kuongezeka mvuto.
Ukikaa kwanzia mwezi na kuendelea bila kumwaga shahawa utaona jinsi watu wake kwa waume watakavyovutiwa na wewe.

Kwanza ngozi inang'aa na kumulika tokea mbali(skin glowing) bila kupaka chochote.
Tabia za kiume zinaongezeka mf. Sauti kuwa nzito, misuli kuimarika, ndevu na nywele zitastawi, kuongezeka kimo cha mwili, mabega yanainuka kutengeneza square n.k.(Testosterone inaongezeka kwenye damu)
Watu wachache wanafahamu hili zoezi, chunguza wanasiasa kipindi cha kampeni, viongozi wa dini, wanamichezo, hawa watu hutunza shahawa wanapokuwa kwenye nyakati muhimu.

Kama kuna Me anayesumbuka kupata Ke namshauri atunze shahawa kwa walau mwezi moja then utaona jinsi wanawake watakavyojilengesha hata kama huna habari nao watakuchokoza tu.
Kingine unakuwa na kismati, mtu wa bahati nzuri.
Mwanaume akielezwa faida za hii kitu hatoweza kuelewa kwa undani, urahisi ni ku practice kwa walau mwezi na kujionea mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…