Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Smart
 
Wanangu hii chalenji ngumu ajabu. Jana kidogo nipigwe knockout. Mnafanyeje kubakia ulingoni? Maana kabisa naona adui anarusha makonde mazito ya Tyson cha mtoto yaani hata huruma hana [emoji51][emoji51][emoji51]

Hata hivyo nimedhamiria afe kipa afe refa huu mwezi wa saba lazima nitoboe. Nikishindwa aisee itakuwa failure mbaya sana....
 
Hongera mkuu jitahid afadhali wewe miez 7 sisi wengine ndo kwanza tumeanza
 
Kweny ulimwengu wa pili binadamu ambaye hashiriki sex,hajichui,huyo ni kama ana improve Kinga yake ya kiroho, si rahisi,kukumbwa na mapepo wachafu,sio rahisi kuchezewa,sio rahisi kupata mikosi,Kam ndio mtu unapenda kupuliza puliza basi Kila mti utakoshika lazima ujibu.

Ina onekanaka Kuna Siri kubwa sana kati ya nguvu za upande wa pili na kutoshiriki mapenzi icho tu ndio kitu nacho jua Mimi na nilifundishwa na Babu yang long time ago
 

Mshua alikupiga kamba 100% [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…